Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Mkuu hii nchi imejaa watu wajinga aisee
 
Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?

Umeambiwa alinyimwa kibali sio pesa,

Kipindi cha Magufuli kutoka nje ya nchi hii ni lazima upate kibali chake.

Na alifanya hivyo makusudi baada ya Mkapa kusema kwenye nchi hii hamna mtu ataongeza muhula mwingine zaidi ya miaka 10 akiwa hai

Aliyasema haya siku anazindua kitabu chake

Kwa roho ya korosho ya jiwe naamini kabisa alimnyima kibali
Yaani Mkapa akose kibali cha kwenda South??
 
Task Force za Jiwe zikiongozwa na kina Kabudi zilikuwa zinatoa fedha kwenye account za wafanyabiashara bila kuwaambia au mawasiliano, unakuta wamesepa na mzigo na ndivyo nchi ilikuwa inaendeshwa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Mbona mwandishi kajichanganya sana!? Kwa Mo anasema walikuwa wanasubiri jioni mida ya bank kufungwa wanaenda na Mo bank kutoa pesa ila kwa wafanyabiashara wengine walikuwa wanatoa wao wenyewe tu! Sasa kama walikuwa na uwezo wa kutoa pesa bila muhusika kuwepo ilikuwaje kwa Mo wakawa wanalazimika kwenda naye!?
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu.
 
Tuanatakiwa tutambue kuwa hakuna kifo kilikuwa cha ghafla kama cha Mkapa hata Magu mwenyewe alipatwa na mfadhaiko mkubwa sana.

Lakini pia hiyo ilikuwa ni trend ya kupelekea kifo chake mwenyewe, wazito wengi wa karibu na Magu walipotezwa kwanza ili kukifanya kifo kwa wakubwa kionekane cha kawaida kwa watanzania ili hata watakapomu eliminate yeye watu wasijoji sana na bahati nzuri kina Tumiakili walishaandika before atakuwa eliminated.

Na kajamaa kalikosuka mipango hii kapo kanatabasamu tu kametulizana kuleee kenyewe hata hakaguswi.

Kwahiyo hivi vitabu ni mwendelezo wa kumfanya Magu aonekane alikuwa wa hovyo sana maana wakijilinganisha kazi aliyoipiga kwa miaka michache na kazi walioifanya wao kwa miaka mingi wanaonekana hawajafanya kitu ndiyo maana inafikia hatua wadhamini watu wamwandike vibaya ili achukiwe na watu lakini bado wanaangukia pua. Walianza na kumtenbeza nchi nzima baada ya kufariki wakitegemea watu watazomea na kufurahia sana kifo chake mayokeo yake watu wakaupokea msiba kwa simanzi kubwa na kutandikiwa kanga na majani ishara ya ushindi kila alikopita, mradi wao ukafeli vibaya sana baada ya hapo zikafuata drama za kutosha kuonekana Magu atapotea lakini ndo kwanza jina linazidi kutajwa kuliko hata bibi aliyeko magogoni leo.

Naamini kuna mengine mengi yataandikwa na kusemwa juu ya ubaya wa mwamba lakini kazi alizozifanya zinamtetea kwa kiwango kikubwa. Na pia kile kitabu cha profesa wa kizambia vitakuja kusimama kama ishara ya ushindi kwa vizazi vijavyo.

Kuna utekaji mwingine ulifanywa na magenge ya kihalifu ya wabaya wa Magu ili kuondoa itulivu nchini na aonekane nchi imemshinda na sababu yao ya kumu eliminate iungwe mkono na wana dip state wengine lakini ukweli pamoja na ukali na ukatili unaosemwa Magu alikuwa na huruma sana.

Kirusi cha taifa hili kipo kimetulizana tu na siku kikiondoka nadhani ndiyo taifa litaanza kufuata misingi ya uwajibikaji na kulinda tasilimali za taifa ili zitumike kwa manufaa ya wote.
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Kusoma kitabu cha kijinga kama hicho ni kupoteza muda.ni kitabu cha kufikirika zaidi na hakina ukweli.nitashangaa kama serikali itakaa kimya huku viongozi wakichafuliwa.kwa nini kitabu hakikuandikwa wakati mhusika yuko hai?
 
Kabendera amenichekesha sana anaposema kuwa Mo alikuwa anapelekwa bank ili aweke finger print watoe pesa hahahahaha hakika Erick ni mwehu yani watu wenye mamlaka ya kufunga account ya pesa ya mtu na kuchukua pesa wahangaike na wewe kukupeleka bank ili wakatoe pesa hahahaha hakika hichi ni kituko
Huwezi ukajua sana, yawezekana kabendera, kunawatu ndio wanamcotrol kuandike hivi yeye taarifa anazipata kupitia wao waliofanyiwa haya mavituko, katka utawala wa magu,?
 
Tulia ww usijifanye mjanja kuponda ccm ili tusinunue kitabu ww ni bashite umeandika maana na ww ulihuska kweny huu ujinga sasa naona unahamasisha ujinga ili watu wasinunue ukjidai unaponda ccm kueepo madarakan
 
Waitaje hiyo Bank. Mtu ambaye alikuwa ametekwa wanaruhusuje atoe fedha nyingi tena mida ambayo sio ya kazi.

Bank kuu ikiwezekana iipige faini kubwa hiyo bank na maafisa wake wachukuliwe hatua. Financial sysytem zinahitaji kulindwa kwa gharama kubwa sana.

Hivi baada ya kujua matajiri wote ama wateja wakiamua kuondoa fedha benk unadhani nini kitatokea.

Tuna mifumo ya hovyo sana ya kibenki ndiyo maana kila taasisi inaweza kuingilia taarifa za wateja.
Ww hujielewi kwelikweli

Hiv kuna mtu anaweza tunishiana misuli na serk wakikuamulia jambo au wakiiamulia taasis yoyote?

Serk wanaogopa taasisi moja tu nayo ni dini bas wanajua wakicheza ovyo hapo biashara imeisha
 
Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.

Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.

Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Tangu lini ukweli ukawa ujinga? Wewe umeamua kumfanya Magufuli mungu wako!
 
Wewe ndiyo kituko

Kulikuwa na ulazima Gani wakati wa Escrow watu kwenda na magunia kuchukuwa pesa Bank wakati wangeweza kupelekewa na magari majumbani kwako??

Acha hizo hujui nyamaza!
Watz wanajifanya wajuaji sn kumbe hamna lolote yan anataka akili yake inavyowaza bas iwe hivo yan Bure kabisa wabongo
 
Hicho kitabu ni kitamu kama unapenda rumors za corridor of power...

Hizo za Ben Saanane zimepigwa sana huku, hizo za Mo zimepigwa sana huku, mengine kaambiwa na washkaji zake aliowa mention kwenye kitabu..

Tusiamini kila kitu mkuu .. .ask questions.
Kupinga kwa watu sio ndo kuondoa ukweli, kitabu hiki kipo kama stori uwezekano wa kuwa kweli upo na uongo, mangapi huwa yanasemwa, na watu wanapinga, yanakuja kuwa kweli??
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Njia za mafanikio sio rahisi......
 
Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?

This is insulting our intelligence...
Labda walitaka nyaraka na ushahidi vioneshe Mo alitoa mwenyewe pesa. Baadaye asije kufungua kesi kuidai 'sirikali'.
Sema bado maswali ni mengi.
Mfano pesa hazikuingia serikalini alizichukua Magu, Mara zilitumika kwenye uchaguzi!
 
Exactly!

Hata mimi wala simtetei Magufuli.

Ila mtu akija na stori zake akiniambia Magufuli alifanya hivi au vile, nikiona simulizi yake haiingii akilini, nitahoji mpaka pale utaponishawishi zaidi.
Nyinyi ndo hata uambiwe unatombewa mke wako na jamaa Fulani huamini unasema mpaka ushuhidie unamuamini mkeo sana,..kama anapgwa miti hadharani..
Mzee unataka ushahidi kabisa wa mambo kama hayo wakati yalifanyika yabaki siri.
 
Labda walitaka nyaraka na ushahidi vioneshe No alitoa mwenyewe pesa. Baadaye asije kufungua kesi kuidai 'sirikali'.
Sema bado maswali ni mengi.
Mfano pesa hazikuingia serikalini alizichukua Magu, Mara zilitumika kwenye uchaguzi!
Sasa hapo mpaka umteke ili atoe pesa ? (Yaani uongeze risks involved) Huwezi kutuma wadau tu na kumtisha asaidie hiki au kile ama sivyo ataona cha mtema kuni au deal zake ambazo hazijakaa sawa utazizima ? Hakuna kitu ambacho Serikali haiwezi kufanya tena mara nyingi kwa kupitia legal loopholes let alone kona kona za kusadikika..., Which makes me wonder huenda hii ni mbinu ya waliopo sasa kuonesha waliopita walikuwa wabaya zaidi ili wao waonekane wana nafuu (ingawa hawa wa leo ndio walewale wa jana)

 
Back
Top Bottom