Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Usishangae sana.
Hii ni nchi ambayo ukiwaambia leo kuwa Zuchu ni freemason, wataamini.
Ukiwaambia Jakaya na Membe ni mtu na mdogo wake, wataamini.

Ndio watu tulionao.
 
Usishangae sana.
Hii ni nchi ambayo ukiwaambia leo kuwa Zuchu ni freemason, wataamini.
Ukiwaambia Jakaya na Membe ni mtu na mdogo wake, wataamini.

Ndio watu tulionao.
Ndio maana unaona wamewekewa mabango ya freemason na utapeli mwingine kwa sababu wapo wengi Akili zao zimeshikiliwa au tuseme kwamba wana Akili zisizokuwa na Akili !
Wanaburuzwa kirahisi sana !
 
usisababishe watu wamtukane mama bila sababu...anyway ameshapata mafao yake
 
mk
mkapa kwenda sauzi ni mpaka kibali? mbona watu wa kawaida tu wanaenda sauzi kila siku
 
Baada ya Ben Sanane kupigwa risasi Ikulu, walinzi walisikia milio ya risasi walinzi wote wakahamaki nini kimetokea, walipoulizana kwenye mawasiliano wakajibiwa kwamba kuna kichaa aliruka ukuta wa ikulu na kuingia ndaniwamemuwahi na kumpiga hizo risasi walinzi wasiwe na wasiwasi, Hii habari inakujulikana kwenye mifumo, walijua tukio la Ben lilivyotokea
 
Jiwe alikuwa shetani mtu.
 
Utawala wa Jiwe ulikuwa na mambo mengi sana . Kama ulivyosema Kuna mahela mengi sana yalikutwa Chato underground room namahela mengine yaliyofichwa China kwa Balozi , mnaobosha bisheni lakini Kabendera Cha mtoto info ni nyingi sana zaidi ya alizotoa .
 
Wahuni sio.watu.wazuri wakiwa chini ya.commanding officer Bash. Walimvisha khanga.moo.dewji.

Ila mo alipata.anachostahili utajiri.wake.una unyonyaji sana utalipaje wafanyakazi vibarua miaka na.miaka bila mkataba.sh.4000.
 
Kwa hizi dondoo hichi kitabu cha kabendera ni muhimu sana kukisoma na.kuelewa.the other side ya late JPM. Makonda. Mbowe na upinzani kwa.ujumla.

Ukweli utafichwa ila utaibuka tuu. Tutaelewa the otherside ya.wengi kati ya.viongozi wetu wa vyombo mbalimbali na.maamuzi yao yanasukumwaga na nini.
 
So ndio zile nyingine walizikuta chato magetoni
 
Kwani ni zako?,si ninpesa zetu,?,tusipangiane mkuu,kwani shule si tulienda wenyewe, natuka graduate ,tulia, tunanunua vitabu ,hata wewe andika tutanunua,maana unqweza kusoma kitabu kujua umbumbu wa muandishi ama uwezo wake
 
Ulitaka habari zisambae sikufukie na wewe lof!?
 
Kwa hiyo wewe kipimo cha Intelligence Quotient ni mama yako Mwalimu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…