kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
gone, forgotten!!!!! Akapambane huko na mazuri na madhambi yake ,,,,, ! Kila nafsi itaonja mauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usishangae sana.Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Hakika !Usishangae sana.
Hii ni nchi ambayo ukiwaambia leo kuwa Zuchu ni freemason, wataamini.
Ukiwaambia Jakaya na Membe ni mtu na mdogo wake, wataamini.
Ndio watu tulionao.
Ndio maana unaona wamewekewa mabango ya freemason na utapeli mwingine kwa sababu wapo wengi Akili zao zimeshikiliwa au tuseme kwamba wana Akili zisizokuwa na Akili !Usishangae sana.
Hii ni nchi ambayo ukiwaambia leo kuwa Zuchu ni freemason, wataamini.
Ukiwaambia Jakaya na Membe ni mtu na mdogo wake, wataamini.
Ndio watu tulionao.
usisababishe watu wamtukane mama bila sababu...anyway ameshapata mafao yakeMama yangu ni mwalimu mstaafu, nilivyomsimulia baadhi ya tuhuma hizi aiseee alijibu ni wajinga tuu watakaoamini huu uzushi tena wa kiwango kidogo sana, mama yangu ni mwalimu mstaafu ila ana high IQ kuliko hata hawa wanaojiita great thinkers wanaoamini uongo wa wazi wazi. Kitabu kimejaa mauongo hata mtoto wa form one aliye smart kichwani hawezi kuamini
mkapa kwenda sauzi ni mpaka kibali? mbona watu wa kawaida tu wanaenda sauzi kila sikuMagufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Jiwe alikuwa shetani mtu.###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Utawala wa Jiwe ulikuwa na mambo mengi sana . Kama ulivyosema Kuna mahela mengi sana yalikutwa Chato underground room namahela mengine yaliyofichwa China kwa Balozi , mnaobosha bisheni lakini Kabendera Cha mtoto info ni nyingi sana zaidi ya alizotoa .Mimi nimechoka hapo baada ya kifo cha Magufuli, Kulikuwa na 50Kgs za dhahabu hapo Ikulu,
Ikabidi zisafirishwe kwenda Chato na baadhi ya maafisa, Kule kulikuwa na strong room iliyokutwa pia mahela kibao.
Jamaa waliosafirisha mzigo, baada ya kukabidhi wakiwa wanarudi Dar wakapata ajali wakafa, taarifa ikatoka walikuwa wamelewa.
Mke wa mmoja wao akakana mumewe hajawahi kunywa pombe huo ulevi kaanza lini?.
Mambo yakaishia hapo
Dunia imebeba mengi sana.
So ndio zile nyingine walizikuta chato magetoni###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Kwani ni zako?,si ninpesa zetu,?,tusipangiane mkuu,kwani shule si tulienda wenyewe, natuka graduate ,tulia, tunanunua vitabu ,hata wewe andika tutanunua,maana unqweza kusoma kitabu kujua umbumbu wa muandishi ama uwezo wakeWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Ulitaka habari zisambae sikufukie na wewe lof!?You're missing the point.
Habari za utekaji wa Moh zilienea sana na zilikuwepo kwenye media karibu kila siku. Kama lingekuwa jambo la wazi namna hiyo mpaka Benki iwe inajua (lazima wangejua kuwa pesa zinatolewa kwenye akaunti ya important client), obviously habari zingesambaa mtaani, na hata Investigative journalists wangeipata hiyo story by then, hata kama polisi walihusika moja kwa moja.
Inawezekana ni kweli state machinery ilihusika kumteka Moh, lakini hapo kitachoshangaza ni dhana kuwa walikuwa wanaenda naye benki kuwithdraw mapesa. Hapo sikubali.
Kwa hiyo wewe kipimo cha Intelligence Quotient ni mama yako Mwalimu!Mama yangu ni mwalimu mstaafu, nilivyomsimulia baadhi ya tuhuma hizi aiseee alijibu ni wajinga tuu watakaoamini huu uzushi tena wa kiwango kidogo sana, mama yangu ni mwalimu mstaafu ila ana high IQ kuliko hata hawa wanaojiita great thinkers wanaoamini uongo wa wazi wazi. Kitabu kimejaa mauongo hata mtoto wa form one aliye smart kichwani hawezi kuamini
We dumaza shingo....wenzio tulikuwa tunapishana koridoni na Waziri wa Ujenzi!ogopa sana kuendekeza nyege unaweza ukabaka mwanao...akaishia kujiua!Toa mifano inayoendana na Ukweli basi.
Waziri aende kulala Mabibo hostel sababu hana hela ya lodge au gesti.....? Acheni kufanya character assassination
Victoire