GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Dr. Abbas yeye anasemaje?Dr Abbas aliwapigia Mwananchi media kufuta video ya interview ya mama yake KabenderaMwananchi walizuiwa kuchapisha hiyo story kwenye magazeti yaoWaandishi wa habari wengi sana wamewahi pigiwa simu za vitisho na Dr AbbasKwa sasa Dr Abbas bado ni katibu Mkuu kwenye hii serikali ya Samia, huyu ni mtu amefanya mambo ya ajabu sana ndani ya utawala wa MagufuliWahandishi wa Habari mliotishwa na Dr Abbas kwa nini bado mko kimya?Dr Abbas aligeuka kama mhariri wa magazeti yote nchini kwa kutumia simu • • • IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Ungekuwa na akili ungejua kwamba MO mi international Icon na si muuza mchicha wa Tandale , yule anaingia kwenye billionaires class na Makampuni yake yanafanya international operations , huyo jiwe pamoja na udumavu wake wa akili alijua fika kwamba huwezi kutumia njia za kutaifisha fedha kinyemela za MO kama alivyofanya kwa raia wengine wa kawaida na wachuuzi wa nchi hii .You lack comprehension skills and it shows.
Kitabu kinasema alimteka MO ili MO aende bank kuwithdraw pesa, nauliza kwa akili zako Rais wa nchi mwenye instruments and controls zote za serikali under his belt anahitaji kukuteka ili achukue pesa zako bank? Rais anashindwa kuipigia hiyo bank, BOT, mahakama, TRA wafreeze accout yako hadi akuteke? Hebu fikirisha ubongo wewe jamaa.
Kitabu kinasema alimnyima Mkapa pesa kwenda SA kupata matibabu sio ruhusa. Elewa tofauti ya pesa na ruhusa. Kwa akili zako ndogo ulizonazo, Mkapa alikosa pesa za kwenda SA mwenyewe kupata matibabu?
acha kubashiri mkuu, magufuri alikuwa sawa sana kwa watu kama wewe mnao penda kula kwa dhurumaNdio maana watu kama wewe mnawasapoti akina Magufuli, hata angekuwepo Idd Amin na Mobutu bila shaka mngekuwa mashabiki wao wakubwa. Unajua kwanini? Kwasababu ki-asili wewe ni mkatili na unaona watu wakatili wasiopenda haki ndio marafiki zako.
unahangaika tu magu asha kata moto ww umebaki na chuki za kibwege tuUshenzi WA uchawa na tabia za kishenzi kama mauaji ,utekaji ,blackmail na utesaji wa wanaharakati , wanahabari na raia wanakosoa uatawala wa ccm na ushenzi wa watawala wa Tz ni culture iliyojengwa na magufoooul , may his soul never rest but keep on being tormented eternally in hell !
Kuna mambo mengi ya ovyo aliyaanzisha na mpaka sasa yanaendelea kusumbua Taifa
Familia ya Hayati Mkapa ipo! Kama yaliyoandikwa ni uongo, ina haki ya kuyakana au kuyatolea ufafanuzi.Kwa hiyo unatuaminisha kuwa Mkapa alihitaji kibali cha Jiwe ili kusafiri?
Mbona wafanyakazi tu wa serikali walikuwa wanapata vibali vya kutoka utumishi na wakawa wanasafiri?
Mimi nafikiri mwandishi na sisi wasomaji, tungejikita kwenye kutafuta ukweli. Tusilazimishe vitu fulani vinavyofanya jiwe aonekane mbaya sana au mzuri sana kuliko alivyokuwa.
Badilikeni la sivyo mtaishia vibaya kama hao katili wenzenu.acha kubashiri mkuu, magufuri alikuwa sawa sana kwa watu kama wewe mnao penda kula kwa dhuruma
Aliwashinda akiwa mzima na anaendelea kuwashinda akiwa kaburini.Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!
Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
kuisha ni kuisha hata ukiisha vizuri umeiishaBadilikeni la sivyo mtaishia vibaya kama hao katili wenzenu.
Lazima maana ni haibu kwa taifa halafu eti leo dogo anapewa uwaziri, si kutucheka watanzania huku jamani?Sem naamini aliyevujisha hii siri hatuko naye, walishamalizana naye.
Ndiyo, yule Mze ni mpuuzi kweli. Hakustahili kabisa kuwa rais wetu, hafai hata kutajwa kwa mema kama yapo.Mzee jakaya aliingia mikataba nn nawachina ili dogo aachiwe
Ungekuwa na akili ungejua kwamba MO mi international Icon na si muuza mchicha wa Tandale , yule anaingia kwenye billionaires class na Makampuni yake yanafanya international operations , huyo jiwe pamoja na udumavu wake wa akili alijua fika kwamba huwezi kutumia njia za kutaifisha fedha kinyemela za MO kama alivyofanya kwa raia wengine wa kawaida na wachuuzi wa nchi hii .
Ndio akatumia hao vibaka wake wamteke na kumlazimisha kutoa saini ili ionekane fedha zimetoka kwa ridhaa yake .
Kuna rules zilishawekwa na WTO na ni sharti kufuatwa hasa unapodeal na international business men na companies unless unataka kuifanya nchi ipate vikwazo vya North Korea
Tumia akili wewe zoba
Kwa hiyo hata Hili nalo MO, alilificha akamuachia Kabendera
Niko kijijini huku bado nakula raha, vipi Kabendera hajamtaja Ridhiwani na lile sakata la makontena ya madawa ya kulevya China na jinsi baba yake alivyokwenda kumuokoa kwenye kitanzi asinyongwe usiku usiku. Dogo kalitia taifa hasara kubwa sana wakati hana faida yoyote ndani ya hii nchi!
Mzee jakaya aliingia mikataba nn nawachina ili dogo aachiwe
Jpm hakuwa na uwezo/akili ya kufikiri hivyo. Alikuwa ni takataka nyingine iliyowahi kuishi ikulu
True kwa mfano hii story ni ya kisenge ila ile ya Ridhiwani ni true story na waliotoa hizo habari ni jamaa wa Usalama wenyewe.