Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Dr Abbas aliwapigia Mwananchi media kufuta video ya interview ya mama yake KabenderaMwananchi walizuiwa kuchapisha hiyo story kwenye magazeti yaoWaandishi wa habari wengi sana wamewahi pigiwa simu za vitisho na Dr AbbasKwa sasa Dr Abbas bado ni katibu Mkuu kwenye hii serikali ya Samia, huyu ni mtu amefanya mambo ya ajabu sana ndani ya utawala wa MagufuliWahandishi wa Habari mliotishwa na Dr Abbas kwa nini bado mko kimya?Dr Abbas aligeuka kama mhariri wa magazeti yote nchini kwa kutumia simu • • • IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Dr. Abbas yeye anasemaje?
 
You lack comprehension skills and it shows.

Kitabu kinasema alimteka MO ili MO aende bank kuwithdraw pesa, nauliza kwa akili zako Rais wa nchi mwenye instruments and controls zote za serikali under his belt anahitaji kukuteka ili achukue pesa zako bank? Rais anashindwa kuipigia hiyo bank, BOT, mahakama, TRA wafreeze accout yako hadi akuteke? Hebu fikirisha ubongo wewe jamaa.

Kitabu kinasema alimnyima Mkapa pesa kwenda SA kupata matibabu sio ruhusa. Elewa tofauti ya pesa na ruhusa. Kwa akili zako ndogo ulizonazo, Mkapa alikosa pesa za kwenda SA mwenyewe kupata matibabu?
Ungekuwa na akili ungejua kwamba MO mi international Icon na si muuza mchicha wa Tandale , yule anaingia kwenye billionaires class na Makampuni yake yanafanya international operations , huyo jiwe pamoja na udumavu wake wa akili alijua fika kwamba huwezi kutumia njia za kutaifisha fedha kinyemela za MO kama alivyofanya kwa raia wengine wa kawaida na wachuuzi wa nchi hii .
Ndio akatumia hao vibaka wake wamteke na kumlazimisha kutoa saini ili ionekane fedha zimetoka kwa ridhaa yake .
Kuna rules zilishawekwa na WTO na ni sharti kufuatwa hasa unapodeal na international business men na companies unless unataka kuifanya nchi ipate vikwazo vya North Korea
Tumia akili wewe zoba
 
Ushenzi WA uchawa na tabia za kishenzi kama mauaji ,utekaji ,blackmail na utesaji wa wanaharakati , wanahabari na raia wanakosoa uatawala wa ccm na ushenzi wa watawala wa Tz ni culture iliyojengwa na magufoooul , may his soul never rest but keep on being tormented eternally in hell !
Kuna mambo mengi ya ovyo aliyaanzisha na mpaka sasa yanaendelea kusumbua Taifa
 
Ndio maana watu kama wewe mnawasapoti akina Magufuli, hata angekuwepo Idd Amin na Mobutu bila shaka mngekuwa mashabiki wao wakubwa. Unajua kwanini? Kwasababu ki-asili wewe ni mkatili na unaona watu wakatili wasiopenda haki ndio marafiki zako.
acha kubashiri mkuu, magufuri alikuwa sawa sana kwa watu kama wewe mnao penda kula kwa dhuruma
 
Ushenzi WA uchawa na tabia za kishenzi kama mauaji ,utekaji ,blackmail na utesaji wa wanaharakati , wanahabari na raia wanakosoa uatawala wa ccm na ushenzi wa watawala wa Tz ni culture iliyojengwa na magufoooul , may his soul never rest but keep on being tormented eternally in hell !
Kuna mambo mengi ya ovyo aliyaanzisha na mpaka sasa yanaendelea kusumbua Taifa
unahangaika tu magu asha kata moto ww umebaki na chuki za kibwege tu
 
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa Mkapa alihitaji kibali cha Jiwe ili kusafiri?
Mbona wafanyakazi tu wa serikali walikuwa wanapata vibali vya kutoka utumishi na wakawa wanasafiri?

Mimi nafikiri mwandishi na sisi wasomaji, tungejikita kwenye kutafuta ukweli. Tusilazimishe vitu fulani vinavyofanya jiwe aonekane mbaya sana au mzuri sana kuliko alivyokuwa.
Familia ya Hayati Mkapa ipo! Kama yaliyoandikwa ni uongo, ina haki ya kuyakana au kuyatolea ufafanuzi.
 
Hahaahaaaa! Legend atabaki legend tu. Wabaya wanajaribu kuzika legancy kila siku lakini wapi!

Legend hakuwahi kushindwa.... Miaka 20 anashinda ubunge, mara mbili anashinda uraisi, kafa anawashinda wafitini. Hadi leo mnajaribu kuua jina lake lakini hata jina linawashinda.
Hovyo kabisa
Aliwashinda akiwa mzima na anaendelea kuwashinda akiwa kaburini.

Hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote, akisha kufa na mambo yake huishia hapo.

Hata leo jina lake likishindanishwa kwenye uchaguzi bila yeye kuwepo atawashinda kwa kura nyingi tu.
 
Ungekuwa na akili ungejua kwamba MO mi international Icon na si muuza mchicha wa Tandale , yule anaingia kwenye billionaires class na Makampuni yake yanafanya international operations , huyo jiwe pamoja na udumavu wake wa akili alijua fika kwamba huwezi kutumia njia za kutaifisha fedha kinyemela za MO kama alivyofanya kwa raia wengine wa kawaida na wachuuzi wa nchi hii .
Ndio akatumia hao vibaka wake wamteke na kumlazimisha kutoa saini ili ionekane fedha zimetoka kwa ridhaa yake .
Kuna rules zilishawekwa na WTO na ni sharti kufuatwa hasa unapodeal na international business men na companies unless unataka kuifanya nchi ipate vikwazo vya North Korea
Tumia akili wewe zoba

Yani kumteka mtu ni rahisi kuliko kutumia mgongo wa serikali? Nchi ngapi zinapora watu wa aina zote pesa kwa mabavu? FYI serikali yeyote ile ndo inaongoza kunyanyasa raia wake kwa mabavu.

Ungejua bank institutions zinavyolinda integrity yao usingeandika haya. Hizo ni grounds tosha kwa bank yeyote ile kufunga milango yake na kuacha hilo soko, sijasikia bank yeyote ile hadi leo, 4yrs after JPM kufariki ikisema neno hata moja. MO mwenyewe yupo kimya hadi leo au bado wanamuogopa jiwe? Kaflag anajua kuliko bank wenyewe, kuliko MO mwenyewe? Hiki ni kituko.
 
Niko kijijini huku bado nakula raha, vipi Kabendera hajamtaja Ridhiwani na lile sakata la makontena ya madawa ya kulevya China na jinsi baba yake alivyokwenda kumuokoa kwenye kitanzi asinyongwe usiku usiku. Dogo kalitia taifa hasara kubwa sana wakati hana faida yoyote ndani ya hii nchi!

Mzee jakaya aliingia mikataba nn nawachina ili dogo aachiwe

Inabidi dishi liwe limeyumba kuamini hizi story za vijiweni.

KIJIWENI.png
 
Jpm hakuwa na uwezo/akili ya kufikiri hivyo. Alikuwa ni takataka nyingine iliyowahi kuishi ikulu

Sawa. Nini kilimshinda Mkapa kwenda SA mwenyewe? Let's play dumb tuamini JPM alimnyima fedha. Mkapa hakuhitaji ruhusa yeyote ile toka kwake.

Watoto 27 wa JPM wewe unawajua? Unamjua mtu yeyote anaewajua zaidi ya kaflag?

MO nae anaogopa kuongea 4yrs later anamuachia kaflag? Kwa akili zako fupi unaamini?
 
Back
Top Bottom