You lack comprehension skills and it shows.
Kitabu kinasema alimteka MO ili MO aende bank kuwithdraw pesa, nauliza kwa akili zako Rais wa nchi mwenye instruments and controls zote za serikali under his belt anahitaji kukuteka ili achukue pesa zako bank? Rais anashindwa kuipigia hiyo bank, BOT, mahakama, TRA wafreeze accout yako hadi akuteke? Hebu fikirisha ubongo wewe jamaa.
Kitabu kinasema alimnyima Mkapa pesa kwenda SA kupata matibabu sio ruhusa. Elewa tofauti ya pesa na ruhusa. Kwa akili zako ndogo ulizonazo, Mkapa alikosa pesa za kwenda SA mwenyewe kupata matibabu?