Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Nafikiri ni kusoma na kuchukuabyanayofaa
Na kuachana na pumba ndo Cha msingi
 
Hii ya kumnyima Mkapa hela za kwenda kutibiwa hata kichaa hawezi kuamini, kwahiyo walivyonyimwa nauli ya kwenda South yeye Mkapa na familia yake wakakaa tuu kuangalia ugonjwa?

Haya mambo yanachekesha sana, mkuu. Inabidi uwe zwazwa kuamini. Kaflag anajuwa watanganyika wengi hawana uwezo wa kuchanganua mambo ameona awajaze ujinga.
 
Siamini kabisa Magufuli alimzuia Mkapa asisafiri.

Hakuwa mtakatifu ila hakuwa mtu mbaya kiasi hicho.
Alimwambia anawashwashwa....Alimwambia Mkapa kabisa. Akafunga mdomo. Soma Magazeti au ungekuwa unaangalia YOUTUBE ungeona. Magufuli kuna vitu alifanya vizuri lakini vingi alivyofanya vilikuwa vya kuumiza watu, hakuchelea kuchekelea, hanaga aibu huyo jamaa. Kabendera alikuwa anawasiliana na Magufuli sana, alipoharibu ni pale alipoandika article kwenye The Economist yenye title "Dinosaur of Africa. hiyo ilikuwa kashfa kubwa sana kwa Magufuli angetaka angemuua kwa hasira aliyokuwa nayo. Huyo marehemu Magufuli hazikuwa zikimtosha hata kidogo, chukulia incidence ya kuvunja dirisha la chumba chake.....Hivi katika ukoo wako hata mtoto mdogo angeweza kufanya alichofanya hicho Magufuli, halafu alivyokuwa rais eti ndiyo anaenda kulipa laki mbili au laki nne (Sikumbuki vizuri) ya kulipia dirisha? Unashangaa hawezi kufanya lisilowezekana? Tulikuwa na rais kweli!
 
Siamini kabisa Magufuli alimzuia Mkapa asisafiri.

Hakuwa mtakatifu ila hakuwa mtu mbaya kiasi hicho.
Endelea kutoamini.....Siyo suala la kutoamini ni suala la kufanya aliyoyafanya. Jamaa alikuwa chizi....kwani siri. Wewe akina Anthony DIALLO, msukuma mwenzio hakusema kuna watu wamekuwa marais lakini wana mafaili Mirembe? Amefanya ambayo hata mtoto mdogo asiye na akili asingefanya .
 
Mambo mengine ni kukamilisha utaratibu tu ionekane kwamba Mo ndiye aliyetoa pesa Kwa mikono yake mwenyewe.
 
Hizi habari ni kweli kiasi gani?Haiwezekani mwenyekiti wa ccm taifa na kiongozi wa serikali afanye haya na fedha akachukua mwenyewe
 
Mambo mengine ni kukamilisha utaratibu tu ionekane kwamba Mo ndiye aliyetoa pesa Kwa mikono yake mwenyewe.
Wanashindwa kumwambia kwamba katoe kule ulete hapa ?

Yaani ni rahisi zaidi kumteka mtu (watu kujua kwamba fulani katekwa) alafu fulani at that time ametekwa uwapigie simu watu wa benki kwamba msitoke ili nije na mateka atoe pesa wakati itaonekana transaction fulani ilifanyika wakati mtu ametekwa ?

In what realm of reality does that make sense... Why complicate an issue to that extent ?!!!!. Serikali haishindwi through legal loopholes leo kufreeze akaunti yako na watu kuchota pesa kwa kuleta kisingizio chochote kile (na ukipiga kelele hawakosi kosa ambalo wewe kama mfanyabiashara mkubwa huenda kweli ulilifanya).
 
Duh!..... anyway hao hao kina Mkapa ndio waliompa Urais hivyo walikuwa wanafahamiana vyema.
 
UONGO MWINGINE HAUNA HATA MAANA YAANI MKAPA ALIKUWA HANA HELA YA KUWEZA KUMPELEKA KUTIBIWA HAPO SOUTH AFRICA TU? PIMENI NA UONGO WA KUSEMA
Nimegundua wana JF wengi uwezo wao wa kuchanganua jambo na kuelewa ni duni sana, nawe ukiwa mmojawapo.

Imeandikwa familia ya Mkapa ilinyimwa kibali cha kwenda SA kwa matibabu, na sio kuwa familia iliomba serikali isaidie gharama za matibabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…