Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Nafikiri ni kusoma na kuchukuabyanayofaaLengo la kusoma kitabu ni kuongeza maarifa maana maarifa yamefichwa kwenye maandishi hivyo lazima usome vitabu ili kuyapata hayo maarifa yaliyofichwa kwenye maandiko ama maandishi.
Sasa unasomaje kitu ambacho hakikuongezei maarifa ama jambo jipya lolote. Huo muda si bora ulale ama ucheze karata.
Na kuachana na pumba ndo Cha msingi