Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

True kwa mfano hii story ni ya kisenge ila ile ya Ridhiwani ni true story na waliotoa hizo habari ni jamaa wa Usalama wenyewe.
Kwani huyo ridhiwani ilikuaje akaenda mwenyewe na hilo kontena huko uchina alishindwa kumpanga mzee wake wakapata kile kibari cha kutokugaliwa mizigo ya ubalozi yani wangefanya mzigo unaenda ubalozi si kuna story kwamba hiyo mizigo ya hivyo huwa inapita tu bila check up
 
Km unataka comment zako zisomwe acha kutumia huo mwandiko binafsi sijasoma na sababu ni hiyo font yako haitamanishi mtu kukusoma.
 
Siyo lazima usome wewe, wengine wengi tu wanasoma. Kama kichwa chako kinawasha kwa sababu Magufuli ametajwa usisome. Siyo muhimu. Acha upuuzi.
Mpuuzi ni wewe unayetuandikia mwandiko utafikiri bata kaharisha. Magu akitajwa ndo jina lake linazidi kutamalaki uzuri mkimtaja kwa mabaya watetezi wa mazuri yake wanakuwa wengi kuliko haters
 
Mpuuzi ni wewe unayetuandikia mwandiko utafikiri bata kaharisha. Magu akitajwa ndo jina lake linazidi kutamalaki uzuri mkimtaja kwa mabaya watetezi wa mazuri yake wanakuwa wengi kuliko haters
Waambie mod waziondoe hizo front kwenye system zao sababu wao jamiiforum ndo wameweka wasingeweka watu wasingetumia
 
Na wewe jamaa umeshupalia kubisha balaa! Jamaa amekufafanulia hapo juu vizuri sana! Una uhakika gani kwamba alioshirikiana nao wameacha hizo tabia?
Hata mo mwenyewe huoni anaruka ruka tu mpaka leo anajibu kinafiki nafiki tu!
Makonda alipigwa ban kwenda Marekani sababu unaijua? Je kama alituhumiwa kuvunja haki za binadamu je ni haki gani hizo?
 
Sikia wewe, Magufuli ni mjinga ambaye alikuwa hana akili. Hilo kufanyika wala sio ajabu. Yule alikuwa kichaa ndio maana hata "jengo la Tanesco pale Ubungo alilibomoa ili kuonesha kuwa yeye ana nguvu kuliko JK aliyemkataza asilibomoe wakati akiwa waziri. Hakuwa na busara.
 
Mpuuzi ni wewe unayetuandikia mwandiko utafikiri bata kaharisha. Magu akitajwa ndo jina lake linazidi kutamalaki uzuri mkimtaja kwa mabaya watetezi wa mazuri yake wanakuwa wengi kuliko haters
Mwandiko kama bata kaharisha???? Lol, hiyo inaitwa Times New Roman ndiyo inayotumika mara nyingi kwa barua za ofisi kaka msukuma wewe. Magu ameshakufa RIP na hakuna anayekataa kafanya mazuri wala hatumchukii. Ila pia kafanya mabaya mengi. Hakuna kiongozi malaika aliyepita katika nchi yetu, wana mabaya yao na mazuri yao, kwa hiyo punguza mihemuko, lazima tuseme ubaya wa kila moja kuanzia Nyerere hadi huyu mama anayeendelea kuteka na kuua kwa kwenda mbele, naye pia anayo mazuri yake.
 
Na wewe jamaa umeshupalia kubisha balaa! Jamaa amekufafanulia hapo juu vizuri sana! Una uhakika gani kwamba alioshirikiana nao wameacha hizo tabia?

Kumbe mtekaji hakuwa Magufuli tu ila kitabu kinamueleza yeye tu?

Makonda alipigwa ban kwenda Marekani sababu unaijua? Je kama alituhumiwa kuvunja haki za binadamu je ni haki gani hizo?

Makonda alipigwa ban sababu alitangaza vita against ushoga au na hilo unataka hadi kaflag akujaze ujinga? Mnataka muunde conspiracy yenu tena kujifariji? Hili lilikua wazi na serikali ya TZ kupitia msemaji wake muda ule ilijitenga na kauli za Makonda. FYI, watu wengi tu walipewa makaratasi nje sababu ya kauli za Makonda by claiming prosecution.

Hata mo mwenyewe huoni anaruka ruka tu mpaka leo anajibu kinafiki nafiki tu!

MO kujibu kinafki haimaanishi kwamba alitekwa na Rais. Ni mtu mjinga peke yake anayeweza kuamini hiyo story eti rais akuteke ili kuchukua pesa zako. Hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuamini esp kwenye nchi kama bongo ambayo rais ni almost mfalme. Kila siku mnalia katiba ibadilishwe ili rais apunguziwe madaraka, rais huyo huyo mwenye madaraka yote akuteke kuchukua pesa yako wakati BOT, hazina, mahakama, polisi na taasisi zote zipo chini yake.

Watoto 27 wewe au mtu yeyote anawajua zaidi ya kaflag?
 
Mimi nilihisi hivi mwanzo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…