Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Wewe mbona unanunua gazeti la Uhuru, nani kakukataza?
 
hapa mnataka kupoteza watu maboya kuua ile kauli ya kuondolewa kwa mkapa na timu ile
 
Legasi legasi legasi.
 
Unaweza kuthibitisha hayo yaliyo andikwa?....Usisahau kuwa hicho ni kitabu tu kimeandikwa na binadamu kama wewe so akili kumkichwa...Yawezekana/sivyo.
 
Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?

This is insulting our intelligence...
 
Mimi nimechoka hapo baada ya kifo cha Magufuli, Kulikuwa na 50Kgs za dhahabu hapo Ikulu,
Ikabidi zisafirishwe kwenda Chato na baadhi ya maafisa, Kule kulikuwa na strong room iliyokutwa pia mahela kibao.

Jamaa waliosafirisha mzigo, baada ya kukabidhi wakiwa wanarudi Dar wakapata ajali wakafa, taarifa ikatoka walikuwa wamelewa.

Mke wa mmoja wao akakana mumewe hajawahi kunywa pombe huo ulevi kaanza lini?.

Mambo yakaishia hapo

Dunia imebeba mengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…