Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Watanzania bwana, unakuta mtu anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama kabendera na anasoma kabisa😂.

Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo.
Wewe mbona unanunua gazeti la Uhuru, nani kakukataza?
 
Magufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
hapa mnataka kupoteza watu maboya kuua ile kauli ya kuondolewa kwa mkapa na timu ile
 
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###

Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,

Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu

Nawakumbusheni msome kitabu
Legasi legasi legasi.
 
Unaweza kuthibitisha hayo yaliyo andikwa?....Usisahau kuwa hicho ni kitabu tu kimeandikwa na binadamu kama wewe so akili kumkichwa...Yawezekana/sivyo.
 
Kwamba Fingerprint ya Mo ilikuwa inatakiwa kutoa hizo Pesa ? Yaani watu wenye Power ya kuteka, kufreeze akaunti na kupigia mameneja wakae mpaka jioni kutoa pesa wanashindwa kushinikiza pesa iwe transferred popote wanapotaka au wakati wowote wanaotaka ?

This is insulting our intelligence...
 
Mimi nimechoka hapo baada ya kifo cha Magufuli, Kulikuwa na 50Kgs za dhahabu hapo Ikulu,
Ikabidi zisafirishwe kwenda Chato na baadhi ya maafisa, Kule kulikuwa na strong room iliyokutwa pia mahela kibao.

Jamaa waliosafirisha mzigo, baada ya kukabidhi wakiwa wanarudi Dar wakapata ajali wakafa, taarifa ikatoka walikuwa wamelewa.

Mke wa mmoja wao akakana mumewe hajawahi kunywa pombe huo ulevi kaanza lini?.

Mambo yakaishia hapo

Dunia imebeba mengi sana.
 
Back
Top Bottom