Kumbuka alitekwa na binadamu...Unaweza kuthibitisha hayo yaliyo andikwa?....Usisahau kuwa hicho ni kitabu tu kimeandikwa na binadamu kama wewe so akili kumkichwa...Yawezekana/sivyo.
Usome kingereza unajua?hebu leteni pdf ya hicho kitabu tusome na wengine
Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutgMagufuli aliambiwa kuhusu ugonjwa wa Mkapa, ilikuwa Covid 19 ina msumbua na alikuwa na hali mbaya sana, madaktari na familia waliomba apelekwa Afrika ya Kusini kupata matibabu sahihi kutokana na hali yake kuwa mbayaMagufuli akakata kutoa ruhusa ya matibabu mpaka kifo kilimpomkuta wakasema ni homa ••IN THE NAME of the PRESIDENT: MEMOIRS of a JAILED JOURNALIST
Kuna kitu kinaitwa burden of proof, hii ni kanuni kwenye sheria inayotaka anaetoa tuhuma kuthibitisha hizo tuhuma na sio anaetuhumiwa.Mbona wanao tajwa kwenye kitabu hicho hawajitokezi kukanusha yaliyo ndani ya kitabu hicho?
Hiyo ni inshara ya kuwa kilicho andikwa ni kweli.
Usitake kupoteza lengo jiwe alikuwa mtu wa hovyo.
Mkuu matusi yote ya nini hayo?!Nyie wagumba, matasa na mahanithi msiozaa huwa mna shida sana. Sasa lengo la kusema na kusisitiza ana watoto 27 ni nini?😀😀😀
Sana Sana Tanzania Kuna Mengi Sana Bado Hatujayasikiamzilankende mnyago, tutasikia na kujua mengi.
Kama mtu unaweza kununua kitabu cha Yerico Nyerere, ccm inahitaji mtutu wa bunduki wa nini kuendelea kubaki madarakani?CCM inabaki madarakani kwa kutumia mtutu wa bunduki na wala sio kwa sababu watu wananunua vitabu vya yeriko na kabendera usijitoe ufahamu mkuu
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
###Kwa wale wavivu wa kusoma vitabu Matukio mbalimbali ndani ya kitabu cha kabendera yatakuwa huku kwenye huu uzi ###
Fedha zilikuwa zinatolewa kwenye account za kampuni, bank manager walikuwa wanapigiwa simu kusubiria bank jioni, kisha Mo anatokea akiwa na watu wa mfumo kutoa fedha. Mo bana kumbe anaficha vitu vya ajabu hivi kwa mujibu wa kitabu,
Mgogoro ulikuwa ni wa kikodi, baada ya kuchallenge Jiwe akamdaka na kushinikiza ile pesa ilipwe, ikalipwa cash akachukua Jiwe cash na haikuingia serikalini, wafanyabiashara wengi wamefanyiwa huu mchezo na ndio fedha baadhi alitumia kwenye uchaguzi huu
Nawakumbusheni msome kitabu
Wewe bwana nani anaichagua ccm, unawalaumu wananchi bure wakati dunia nzima inafahamu kwamba ccm hawashindagi kura bali ni wizi wanafanya na ndio maana tume ya uchaguzi ni mali yao na wanaitumia kwa makusudi ya kuwabakiza madarakani.Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?Ebu mda mwingine tuwe tunashirikisha akili zetu vizuri alizotujaalia Mwenyezi Mungu,hivi kweli late Mkapa kwa pesa alizokuwa nazo alishidwa kwel kwenda south kwa matibabu kwa vile magu alikataaa yeye kwenda soutg
Alafu tunaweka Kwa KiswahiliIli Wanafunzi Kuanzia Chekechea Mpaka Chuo Kikuu Wakisome Na Kukifanyia Mitihani