Kutoka kitabu cha Kabendera: Mohamed Dewji alipotekwa alikuwa anapelekwa Benki jioni baada ya wafanyakazi wengine kutoka

Chuki baba! Mtu akiwa na chuki na wewe anaweza fanya lolote lile Ili tuu roho yake ifurahie,mtu akiwa na chuki na wewe, anaweza kumsaidia shetani unyooke!!
 
Nyumba yenyewe ambayo akina Makonda walienda kumficha more ipo ile mtaa ukitoka science unafuata ile barabara ya Rose garden ili kwenda kutokea kwa Mwalimu. Kabla haujafika kituoni upande wa kushoto kuna barabara na bango limeandikwa Atsoko (Mikocheni). Ukiufuata ule mtaa kuna nyumba ina geti jeusi, ipo mwanzoni tu mwa mtaa mwingine...au ngoja niachie hapa
 
😳Watu mnajua mengi.
Nilidhani ilikuwa siri ya kwao tu
 
Eleza tu man. Kwani nani hajui magu alimteka more
 
fred alipigwa risasi na mlinzi wake akiwa camp, m7 akatuma binamu yake kumchukua hyo mlinz ili apelekwe ug kwa mahojiano zaid, wakiwa mpakan mwa rwanda na ug mlinzi akapigwa risas akafa, mpaka leo ukihoji kifo cha fred unawekwa sehemu salama fasta.
Yaani ukitumwa kuua ukakubali ukimaliza tu na wewe wanakuua.

Kuua ni kubaya sana.

Unazungumzia Gen Fred Rweygema?
 
Kabendera amenichekesha sana anaposema kuwa Mo alikuwa anapelekwa bank ili aweke finger print watoe pesa hahahahaha hakika Erick ni mwehu yani watu wenye mamlaka ya kufunga account ya pesa ya mtu na kuchukua pesa wahangaike na wewe kukupeleka bank ili wakatoe pesa hahahaha hakika hichi ni kituko
 
Mzee jakaya aliingia mikataba nn nawachina ili dogo aachiwe
 
Endelea kutupa updates
 
Hivi ni benki gani vile? 🀣
 
UMEWAZA SANA
 
Nadhani kuna kitu zaidi Kabendera ana Conspire

Kuna drama nyingi sana zimechezwa kwenye hicho kitabu
Sidhani kama anatengeneza conspiracy yoyote.....
Ila pengine kwa vile anahisi kwa kuwa yeye ni investigative journalist ,basi andhani hawezi kuchomekewa jambo la uwongo na hao watu ambao ni vyanzo vya habari zake. Kwa mfano,,siyo lazima iwe kweli JPM alifariki kwa Civid 19 kama alivyoeleza katika kitabu chake. hata kama huyo source alimueleza hivyo. Vipi kama huyo chanzo chake cha habari kiamlisha uongo kwa makusudi ili kuficha chanzo halisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…