KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 225
- 349
AKILI KUBWA SANA WEWE. HII SI BURE YUPO MASTER NYUMA YA HII SINEMA. NI MUDA TU " "Mara paap mwisho wa mwaka upepo unabadilika, anaingia mwingine Giningi, huyo ni pro Jiwe, mara ka flag anasema hicho kitabu alishinikizwa kuandika na mtu flani..
Kumbe naota tu, ngoja nivute shuka nilale, huu mwaka una ndoto za ajabu
Sidhani kama anatengeneza conspiracy yoyote.....
Ila pengine kwa vile anahisi kwa kuwa yeye ni investigative journalist ,basi andhani hawezi kuchomekewa jambo la uwongo na hao watu ambao ni vyanzo vya habari zake. Kwa mfano,,siyo lazima iwe kweli JPM alifariki kwa Civid 19 kama alivyoeleza katika kitabu chake. hata kama huyo source alimueleza hivyo. Vipi kama huyo chanzo chake cha habari kiamlisha uongo kwa makusudi ili kuficha chanzo halisi?
Tuletee wewe FACTS, kama unaona ni dramaNadhani kuna kitu zaidi Kabendera ana Conspire
Kuna drama nyingi sana zimechezwa kwenye hicho kitabu
Tuletee wewe FACTS, kama unaona ni drama
Twende na huyu? Hadithi zenu za zamani?Watanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Mhudumu wa mashineni "TUNA,,, & KUKOBOA"Jiwe angeingizwa Dildo,shauri yake
Magufuli kawa subject katika maelezo ya kitabu chake kutokana na kilichomkuta yeye personally wakati wa utawala wake.Of all the former Presidents of Tanzania akamchagua Magufuli? 20 years of Investigative journalism?
Nitakuwa wa mwisho kuamini story zote kwenye hicho kitabu....
Sasa Historia ya Tz huko mashuleni ina umuhimu gani. Yani mwanafunzi anamaliza chuo kikuu lakini bado anakaririshwa kuwa TANZANIA ilipata uhuru mwaka 1961 (rejea sherehe za uhuru TANZANIA) 😄😄😄😄Yani ni tafraniWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Wewe ndiyo kitukoKabendera amenichekesha sana anaposema kuwa Mo alikuwa anapelekwa bank ili aweke finger print watoe pesa hahahahaha hakika Erick ni mwehu yani watu wenye mamlaka ya kufunga account ya pesa ya mtu na kuchukua pesa wahangaike na wewe kukupeleka bank ili wakatoe pesa hahahaha hakika hichi ni kituko
Tunawasaidia kusummarizewapumbavu a.k.a wanyonge wa magufuri uwezo wa kusoma vitabu hawana
Hii ni kweli kabisaBank zilitakiwa kuripoti miamala yote iliyokuwa inafikia 20 milionwalitakiwa kutoa taarifa za aliyeweka, ameweka kwa nani , jina la aliyeweka na anakaa wapi• • •
Kwa hiyo unatuaminisha kuwa Mkapa alihitaji kibali cha Jiwe ili kusafiri?Dah kusoma na kuelewa huwa ni vitu viwili tofauti, ni wapi ameongelea habari ya Mkapa kukosa hela ya kujitibu?
Umeambiwa alinyimwa kibali sio pesa,
Kipindi cha Magufuli kutoka nje ya nchi hii ni lazima upate kibali chake.
Na alifanya hivyo makusudi baada ya Mkapa kusema kwenye nchi hii hamna mtu ataongeza muhula mwingine zaidi ya miaka 10 akiwa hai
Aliyasema haya siku anazindua kitabu chake
Kwa roho ya korosho ya jiwe naamini kabisa alimnyima kibali
Safari yeyote ya nje ilihitaji kibali cha magufuli mbona hii ilikua waziKwa hiyo unatuaminisha kuwa Mkapa alihitaji kibali cha Jiwe ili kusafiri?
Mbona wafanyakazi tu wa serikali walikuwa wanapata vibali vya kutoka utumishi na wakawa wanasafiri?
Mimi nafikiri mwandishi na sisi wasomaji, tungejikita kwenye kutafuta ukweli. Tusilazimishe vitu fulani vinavyofanya jiwe aonekane mbaya sana au mzuri sana kuliko alivyokuwa.
Hicho kitabu Cha kabendera halazimishwi MTU kusoma au kuamini yaliyopo. Ila ni kizuri kwasababu kimetoa picha ya mambo yaliyokuwa yanaendelea nchini ambyo wengi waliyalalamikiaWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.
Ndio maana ccm inaendelea kua madarakani miaka na miaka na hakuna wanachokifanya cha kimaendeleo lakini wanaendelea tu kwa sababu watu wa kuwatoa hawapo maana ccm imekua ikiwadanganya na kuwafukarisha kwa miaka zaidi ya 60 na bado wanaichagua.
Nadhani Tanzania ni nchi yenye binadamu wa aina yake Duniani, special human species.
Mijinga sana,tena utakuta yanasoma kwa shauku huo upuuziWatanzania bwana, unakuta mtu mzima kabisa na bahati nzuri ameenda shule ajabu utakuta anapoteza muda wake eti ananunua kitabu cha Yerico Nyerere ama Kabendera na anasoma kabisa na mbaya zaidi anaamini ule ujinga ulioandikwa mule😂.