Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,135
- 3,392
Kiilikuwa kibali cha serikali. Wafanyakazi tulikuwa tunaomba kibali kutoka utumishi (ofisi ya Rais). Agizo la kwamba tutasafiri kwa kibali ndio lililotolewa na Rais. Kama mimi mtumishi wa umma nilikuwa naruhusiwa kusafiri kwa kibali, yaani Mkapa ndio angekataliwa?Safari yeyote ya nje ilihitaji kibali cha magufuli mbona hii ilikua wazi
Hapa sipo kumtetea JPM au kumlaani, ila napendelea ukweli na mantiki.