Kumbe mtekaji hakuwa Magufuli tu ila kitabu kinamueleza yeye tu?
Makonda alipigwa ban sababu alitangaza vita against ushoga au na hilo unataka hadi kaflag akujaze ujinga? Mnataka muunde conspiracy yenu tena kujifariji? Hili lilikua wazi na serikali ya TZ kupitia msemaji wake muda ule ilijitenga na kauli za Makonda. FYI, watu wengi tu walipewa makaratasi nje sababu ya kauli za Makonda by claiming prosecution.
MO kujibu kinafki haimaanishi kwamba alitekwa na Rais. Ni mtu mjinga peke yake anayeweza kuamini hiyo story eti rais akuteke ili kuchukua pesa zako. Hata mtoto wa darasa la kwanza hawezi kuamini esp kwenye nchi kama bongo ambayo rais ni almost mfalme. Kila siku mnalia katiba ibadilishwe ili rais apunguziwe madaraka, rais huyo huyo mwenye madaraka yote akuteke kuchukua pesa yako wakati BOT, hazina, mahakama, polisi na taasisi zote zipo chini yake.
Watoto 27 wewe au mtu yeyote anawajua zaidi ya kaflag?