Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014


Hivi ulisoma between the lines nilichoandika! Well, hata kama ndiyo uelewo wako ulivyo, But if my brains still serves me correct mauaji ya Mwemba chai yalifanywa na Alhaji Ali Hassan Mwinyi (Rukusa kula nguruwe , nyoka etc). Hao waislamu kuingiliwa msikitini kwa nguvu yamefanywa na huyo Kikwete wako unayeshadadia hapa JF, hao masheikh wa Zanzibar wanakamatwa na kufunguliwa mashitaki na wenzao hao 99.9%. BTW, hivi unaweza kunikumbusha mara ya mwisho IGP wa nchi hii mkristu alikuwa nani? Je ni sahihi pia wakiristu wakisema kwamba watu wanaochoma makanisa na shule zao mioto hawakamatiki kwasababu IGP ni mwislamu itakuwa sahihi? Waumi wa dini hii ya "Mwenyezi Mungu" hamkosi VIOJA. Kwahiyo fukuto hilo la chini chini la waislamu ndiyo maandalizi ya JIHAD kama ilivyo Boko Haram na Al Shabaab?
 
Habari mzee Said mimi naomba kuuliza tu huyo kiongozi wa Tanganyika aliyekuja znz na msalaba mzito wa dhahabu shingoni ni yupi huyo mzee wangu?
 

Halafu kuna majuha watakuamini kuwa wewe unaujuwa kweli Uislaam.

Kwa hakika umejidhihirisha kuwa una hofu ya Uislaam zaidi ya William Lukuvi?

Pole sana.
 
Niliambiwa kuwa Mtu Mwenye kula Nguruwe huwa mropokaji, mpayukaji haya hana... Mag3 unakula Nguruwe? Kwanini Wasabato hawali?
Huyo Nyerere alikuwa anakula nguruwe,na akiingia ukumbini WAZEE wote wa gerezani wanasimama na kuitikia ndio baba hata kama wamemzidi umri-usicheze na akili
 
 
"kuna Waislam wananyanyua silaha kuilinda dini yao. Kama hivyo ni sawa au si sawa hilo tuwaachie maulamaa waamue."

Use your Common SENSE

Common sense ni grey area!

Yawezekana common sense yako weye, ni nightmare au comedy kwa mwangine!?

Sasa tumia sense kufahamu hili,Ok!?

Ahsanta.
 
Matawana,
Upo ushahidi vipi Kanisa linaongoza serikali.

Tatizo ni hofu ya marais wote kuukubali ukweli huu.

Kwa mtazamo wa KIDINI KWANZA kwa kila jambo uko sahihi Mzee Mohamed. Vinginevyo serikali yetu haina wala haiongozwi na DINI. Mungu wetu sote hana DINI.

Umemsikia Waziri Mkuu wa UK alichokisema juzi kuwa nchi ile ni ya Kikristo?
 
huu mjadala wa kihistoria wcha mimi niendelee kujifunza mema, mabaya nayaacha.
 
Safety,
Hapana haja ya kunitukana kwani mie sijatukana.
 
Mkuu kanisa lina mikono kuanzia serikalini hadi kwenye mashirika nyeti kama TRA, BOT nk...siku zote walikuwa wanaoperate kimya kimya thru CEOs na Wakurugenzi Waajiri ndiyo maana Ratios kwenye ajira tofauti zake ni mbingu na ardhi hata kwa wafanyakazi wahudumu!!! so ile hoja eti waislam hawajasoma ni kaputi kwakuwa nafasi zilizokuwa za STD VII hadi kidato cha nne wameshika wao kutokana na upendeleo wa HR waliowekwa strategically na Kanisa...Kama alivyosema Lisu, Ukweli lazima utaibuka tu hatakama itakuwa imechelewa kwa muda gani... Ili kuepusha machafuko kwa nchi hii dawa ni kujenga Jamii yenye fursa sawa kwa wote kama walivyofanya wenzetu wa nchi za ASIA or Mashariki ya mbali...
 
Umesema kweli mzee,kwa wale ambao yamewagusa haina maana kutoa matusi km wafanyavyo bungeni bali leteni hoja kupinga alichosema mzee Mohammed.Lazima tuwe waadilifu ili tuwe na amani chuki na ubaguzi hautatufikisha mahala.Na km kweli kuna chuki za kidini bac ni kinyume na mafundisho ya dini vitabu havijasema umdhulumu mtu kwakua haamini dini yako. Na ww kama unahoja ya kumwita ktk fini yako c kwachuki bali mpe hoja za wazi za kuonesha ukweli wa unachoamini. Na kwa yale yalipita solution tumrudie Mungu tusidhulumiane hapo tutaishi kwa amani.
 
 
Kitabu cha "Kwaheli Ukoloni Kwaheli Uhuru" cha Dr.Harith Ghassany, kumbe kilipigwa marufuku Zanzibar, juzi kwenye bunge la katiba nilimuona mjumbe mmoja akifanya reference kupitia kitabu hicho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…