Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Soon magaidi tutawarudisha zanzibar nyie ngojeni muone si wanapata kibri toka arabun ipo siku yao!
 
Huwa nacheka sana ninapoona wanaojiita wanaharakati wa kiislamu wanauunganisha uislam na harakati za kupambana na ukolono na kutafuta uhuru.

Ni ufinyu wa mawazo mkubwa sana
 
The bottom line ni kwanini historia yao imepotezwa? Kwanini michango yao haienziwi? Kwanini tusikubaliane na Lisu kuwa Nchi hii imejengwa katika misingi ya Uwongo?...Jipange uje upya Mkuu...
Historia yao akina nani?
 
Huwa nashindwa kuelewa hivi ni kwa nini sisi wa Tanganyika tunakuwa waoga kudai identity yetu ya Tanganyika....
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu
 
Umeongea mengi je ni upi msimamo wako kuhusu muungano?
 
Tatizo lako ni unafki uliojivisha.unajiita muislam then unasema kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.Chuki zako hazina mchango wowote humu zaidi ya kucompliment ukweli unaoelezwa humu.
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Wewe ni mnafik, na possible ni KAFIRI, muislam mzima eti huoni fahari kuwa muislam, unaona fahari kuwa kafiri au? Unazungumzia kuchomwa kwa makanisa na mapadre kuuliwa, kwa fikra zako kama uloyataja yanefanywa na Uamsho hao mapadre wako wangekaa kimya? Mnauana wenyewe kwa wenyewe uko
 
Mzee Mohamed Said wewe ni mmanyema wa Kigoma kwa akina abakorakamo. Mahaba uliyonayo kwa Zanzibar yanatoka wapi? Pambana Tanganyika yako Irudi.

Kamanda!

Mbona unaleta siasa za chuki na ubaguzi wa makabila/kikanda!?

Kwani ndugu zetu wa kutoka Mkoa wa Kigoma hawaruhusiwi kuwa na mahaba kwa ndugu zao wa Kizanzibary!? Daah!

Yeye Maalim Mohamed Said ni Mnyamema wa Mzizima aka D'salaam...na hajatokea Kigoma, asilan!

Tafadhali usilete rabsha na kumkebehi mleta mada!...jitahidi ulete hoja zenye mantik japo kiduchu!?

Hivi lini Kamanda utaacha hizi siasa zenu za ukabila na kuchafuana mitandaoni,jamani!? Daah! Chadema bana!

Ahsanta sana!
 
Mohamed Said dah we acha!
Niliwahi kusema huko nyuma wewe ni mume mkubwa kwao.
Hakuna alileta hoja isipokuwa viroja mpaka sasa.
bado kauli ya mmoja kwa mia inathibiti hapa Jamvini
 
Last edited by a moderator:
Mzee mohamed said.. una undugu na shekhe ponda? naona mmegawana majukumu.. wewe unatumia maandishi.. yeye anatumia majukwaa..na tindikali.. ila mwenzio anakubalika kuliko wewe.. je una mpango wa kubadilisha mbinu.. ili uwe kama mwenzio shekhe ponda?
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Notradamme,
Soma kisa hiki hapo chini:

...baada ya kuongea na mimi nikamuuliza swali,''Umejuaje kama mimi
ni Musilam? Dalili zipi zimekujulisha kuwa mimi ni Muislam?

Yule bwana akanijibu kuwa, ''Mimi nilikuwa napita nje ya hii ''telephone
booth'' na mazungumzo niliyokuwa nasikia ni ya upande mmoja tu na
nilikusikia kwanza ukizungumza Kiingereza kisha Kiswahili.

Nikajiambia lazima nisubiri hapa nje nimuone huyu kijana.
Jinsi ulivyokuwa unaongea ilinidhihirikia kuwa lazima mtu huyu atakuwa
Muislam...''

Hiki ni kisa changu na mtu mmoja kimji kidogo nje ya London kinaitwa
Tilbury.

Huyu bwana alinisikia nikizungumza na akajua kuwa mimi ni Muislam na
akawa na hamu ya kuzungumza na mimi.

Notredamme,
Mimi sikujui lakini nina hakika wewe si Muislam.
Najuaje?

Maneno yako hayakuelekea.
Ila sielewi kwa nini unajinasibisha na Uislam.

Sielewi kipi unakiona hakikukaa vyema kwenye imani yako kiasi cha kujitoa.

Nakupa kisa kingine.

Niko ndani ya tram Alexandria natoka Ramala Station nakwenda kwangu
Saint Stefano.

Behewa zima limejaa Waarabu.
Mswahili ni mimi peke yangu.

Mzee mmoja wa Kimisri akaniuliza kama mimi ni Muislam nikamjibu, ''Alhamdulilah.''
Hakuridhika akataka nimpe ushahidi.

Nikamuuliza, ''Ushahidi gani unataka nikupe?''
Akasema, ''Nisomee Qur'an.''

Nikasoma Surat Fatha.

Akacheka akasema hiyo sura mtu yoyote anaweza kuisoma akanambia, ''Nisomee
kitu chochote katikati ya mashaf.''

Behewa zima limenizunguka kutaka kujua kama kweli huyu mtu mweusi ni Musilam.
Ukitembea duniani utajifunza mengi sana.

Watu wengi hawajui zaidi ya pale wanapoishi.
Hawa Wamisri wanadhani dunia nzima wako Waarabu na Waislam ni Waarabu tu...

Nikamsomea kitu kutoka katika Qur'an nikaanza...''...ila ghasaki layli wa Qur'an l'fajr...
hawakuniachia nimalize behewa zima llilinyanyua mikono huku wakipiga kelele,
''Alhamdulilah, Alhamdulillah...''

Notradamme,
Jitulize nahisi wewe ni kijana mdogo sana.
Tulia ujifunze.

Nami nakuombea dua Allah akupe ilm na akulete katika Uislam.
Amin.

Notradamme,
Ikiwa wewe ni Muislam nakupa changamoto hiyo aya hapo juu niwekee maneno
yaliyotangulia.
 
Jackline1,
Mimi ningekuwa wewe ningeandika hivi, ''Fulani na fulani njooni huku Mohamed Said ameweka post anaihitaji kusahihishwa.''

Hivyo ufanyavyo si ustaarabu na si lugha ya majadiliano.
Huna haja ya kunitukana.
Hiyo magwiji wa historia wanauwezo wa kukusimamisha-mara ya mwisho ulijiumauma sana na hatimae ukakaa kitako- walikwambia nakala mpya ya kitabu chako itabidi ufanye mabadiliko makubwa
 
Huwa unapenda kutumia vitu vidogo vidogo ambavyo vipo visible ili kujenga hoja yako, kwa lengo la ku capture attention ya majority wenye ufinyu wa kupambanua mambo.
Kama hapa unapojaribu kuoanisha Uisilam na balaghashia. Balaghashia ni moja ya mavazi ya kichwani ya kitamaduni maeneo ya arabuni. Ukiwa huko ni sehemu ya maisha ya kawaida sana kuona watu wanaenda kanisani wakiwa wamevaa baraghashia na kanzu.
Hata hapo Zanzibar utakuta wanaweka wamevaa hijab na wanaendakusali kanisani. Inawawezekana una hoja nzuri unataka kuijenga na kuiwasilisha lakini tabia ya kuokoteza tuvitu hutu tudogo twenye mafungamano na tamaduni za watu kwa lengo la kujigeuza 'centre of gravity' inakupunguzia maksi mbele ya watu wafuatiliaji na makini.
Otherwise huwa nakusifu kwa tabia ya kupenda kuandika.

Unaposhindwa kujenga hoja huwa unatafuta defensive mechanism kukataa ukweli.kama mchango wa waislam katika nchi hii hutaki kusikia. na kuutambua basi utambue kila kitu katika uislam ni ibada.

vilevile utambue nyerere hakujifunza kuvaa kibaghashe katika jamii ya wagalatia wa butiama.Bali katika jamii ya kiislam ya pwani.Kama umesoma fasihi au literature usingesumbuka na Titles katika uandishi husymbolize nini?

Vitu vidogo vidogo visible vinakuhofisha kuwa vinajenga attention kwa majority,unataka vitumike vitu vikubwa vikubwa ambavyo haviko visible(Ambiguity) na vijenge attention kwa minority.Nini lengo la uandishi.Je tamaduni za kibaraghashe ni za wagalatia?

Mpaka sasa hujajenga hoja zaidi ya kuchambia style ya uwasilishaji wa ujumbe na maneno yalitumika huku ukidhihirisha ufamu wako katika fasihi ya uandishi upo chini sana.

Whats the content message aliyowasilisha Sheikh Muhammed Said.Please Critisize that with Facts and Logic

Shukran Sana Sheihk Muhammed Said.
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.

Teeh! Teeh! Teeh! Daah!

Sasa Mkuu, mbona umeamua kujivisha joho la "Uislam", lakini wakti huohuo unadai ati huna faghari ya kuwa Muislam!?

Hivi huoni contradiction kwenye hayo maneno/"hoja" yako dhaifu!? Daah!

Kwanini tu usiende pale Mwenge kesho kwa Nabii Kakobe akakubatize!?...tena kwa haraka saana!

Mkuu, mie nakhis weye ni Mgalatia/Kafiri ulokubuhu!...yaani hata nikikuita "Mkristo" itakua pia nimewavunjia hishma baadhi ya Wakristo ninaowaheshimu na kuishi nao vyema!?

Uislam wala pia haukuhitaji wala kuthamini viumbe wa sampuli yako! Mkuu nafikri wafahamu yakua conservative estimations zinasema yakua Waislam wana population ya over 1.6billion, na inazidi kula kukacha!

Sasa, kuondoka/kujitenga kiumbe dhaifu kama weye Mkuu...ni sawa tu na mtu kwenda kukojoa baharini!...yaani huzidishi walaa kupunguza lolote/chochote,au!?

Pia si ajab yakua ati pana self-hate Muslim/s kama weye! Yaani viumbe wa sampuli yako wamo pia katika dini za Christianity,Judaism,Hinduism,Buddhism,Scientology na madhahabi mangineyo mangi mno!

Kwa kifupi, cases kama yako walaa si exceptional/rare...yaani mmejaa tele vigegeu kama nyie duniani humu!

Lakini tunakusihi,tafadhali lete hoja zenye staha na ustaraabu japo kiduchu!...badala ya kutumia lugha kali,mihemuko ya kigalatia na kashfa/matusi!? Daah!

Ahsanta sana.
 
"kuna Waislam wananyanyua silaha kuilinda dini yao. Kama hivyo ni sawa au si sawa hilo tuwaachie maulamaa waamue."

Use your Common SENSE
 
Back
Top Bottom