Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Dini sio wala haijawahi kuwa issue Tanzania.., matatizo ni ya watu kama nyie mnayoifanya kuwa issue. Mnapandikiza chuki baina ya watu..., Hivi mtu akishikia bango sasa hivi kwamba waarabu walitutesa watu weusi na kutuchukua kama watumwa kipindi kile (kwa kuwaambia wajukuu zake) hapo atakuwa amejenga au ameongeza nini ?

Issue isiwe Nyerere alifanya nini ili kudumisha au kubomoa bali ni wewe unafanya nini na unachofanya kinajenga au kubomoa.

Hilo swali kamuulize Lukuvi na viongozi wako wa kanisa
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Wewe endelea kuiabudu ile picha ulioiweka hapo sebuleni kwako acha kuongea pumba humu
 
Jasusi Mag3 nguruvi MWANAKIjiji Son of Alaska njooni huku Mohamed Said ameshaanza kumwaga pumba anaitaji kusahishwa
jackline, nimepita tu baada ya kuliona jina langu limetajwa na sitasumbuka kusoma zaidi yaliyomo ndani ya thread hii for that would be stooping and I choose never to stoop. Mohamed Said? Ndio nani huyo tena? Hilo jina nililifuta kabisa katika orodha ya...ooops, I had promised myself not to ever stoop...! Samahani jackline, nakitoa, huo muda wa kupoteza sina! Kwa sasa tunajadili namna ya kujenga msingi imara wa taifa...Katiba inayoitambua Tanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo magwiji wa historia wanauwezo wa kukusimamisha-mara ya mwisho ulijiumauma sana na hatimae ukakaa kitako- walikwambia nakala mpya ya kitabu chako itabidi ufanye mabadiliko makubwa

Tatizo la kuwa na stress za maisha ndo kama hivi, unaongea kitu hata hueleweki alimradi tu nawe ionekane walau umecomment.
Kwa kukusaidia ili uondokane na huu msongo wa mawazo ambao umekuwa ukikusumbua kwa siku nyingi bila kupata tiba. Chukua haya ninayokwambia na utapona kabisa mpaka siku yako ya mwisho hapa duniani. Tiba hii ingia katika mwanga na toka haraka sana huko gizani. Ingia katika nuur ya Uisilamu utaishi maisha yenye amani tele.

Pole sana ninaelewa ni wengi sana wenye matatizo kama yako lakini kwa kukufahamisha zaidi wale wazungu ambao unawaamini sana sasa hivi wameitambua hii tiba ninayokuelezea hapa na kwa hakika mamia kwa mamia wanaingia katika diyn ya Haq ili kuondokana na stress zilizokuwa zikiwasumbua kwa muda mrefu sana. Hujachelewa amka sasa uingie katika Nuur. Usikubali kabisa kuendelea kuwa mfuasi wa wanaowaambia wafuasi wao kuwa dini yao hawawazi kuielewa mpaka wapate roho mtakatifu.

Huwezi samehewa dhambi kupitia kwa mtu kama hao viongozi wako wanavyokuelekezeni. Aidha kwa tafakur zaidi jaribu kutumia muda mchache kwa kutumia akili ambazo umejaaliwa na Muumba kuhoji ni vipi mungu akauliwa?, ni vipi mungu akadhalilishwa? ni vipi mungu alieumba mwanadamu halafu tena azaliwe na huyo mwanadamu aliyemuumba.

Karibu katika Mwanga....
 
Dugu,
Mtafute Max Shimba atakupa dini ambayo huenda ukaona fahari kujivunia. Au Kiranga.

Kwa nini umeamua kubakia katika uislamu? Nani anakulazimisha?

Kumbuka Mungu anaweka kumbukumbu ya yote unayoyasema na unayoyafanya,Kwa siri au dhahiri.Unaelewa kuwa Mungu ni hakimu.

Wanaotaka taifa la kiislamu wahamie Oman. Kwa nini nawe usihame? Unachokitaka wewe ni nini?

Wewe unataka serikali ngapi? Kwa sababu zipi?

Lini uliingia katika Uislamu? Je uislamu wako uliupata Oman?

Asikuumize kichwa huyu.... tazama maana ya jina lake hapa:

Notre Dame
Line breaks: Notre Dame
Pronunciation: /ˌnɒtrə ˈdɑːm

, nɔtʀ(&#601😉dam/
· A Gothic cathedral church in Paris, dedicated to the Virgin Mary, on the Île de la Cité (an island in the Seine). It was built between 1163 and 1250 and is especially noted for its innovatory flying buttresses and sculptured facade.
Origin

French, literally 'our lady'.
 
kuna usemi kuwa afya haijengwi kwa matofali...na hii ndio nawasoma baadhi ya watu kuwa wanamtazamo kuwa pale zanzibar itakapokuwa chini ya misingi ya dini baadhi mambo yatakuwa mtelemko. ni vyema kama mchangiaji mmoja alivyoainisha kuwa dini hizi ni mapokeo tu hakuna hata mmoja anaweza nieleza kuwa zina uasili wa kiafrika. kwa nini basi tutumie dini hizo kubaguana? mataifa yaliyomakini yanajikita katika kuboresha hali ya watu wake na kupiga hatua kimaendeleo ya mtu na hadi taifa. leo hii watanzania zaidi ya asilimia 50 wanakosa huduma za msingi za afya, maji na elimu. sidhani kuwa walio wengi wanakosa huduma za kiroho. mtaalamu mmoja (yo yo ma)alisema maendeleo endelevu ni jinsi kizazi kimoja kinavyopokea mambo kutoka kizazi kimoja na kuyaboresha kwa kizazi kijacho. je dini ni jambo letu la knock at midnight? ukiangalia hoja zote zina maslahi binafsi zilizojificha kwenye mwamvuli wa dini. ni wakati muafaka kwa wazanzibari kusimamia maendeleo na kuishinikiza serikali kuwajibika na wananchi nao kwa nafasi walizonazo kuwajibika katika kuleta maendeleo...mambo ya kufikiria misaada toka taasisi za kimataifa kuwa zitaleta maendeleo ni kuonyesha jinsi tulivokuwa wavivu kufikiri na kutatua matatizo yetu. pia hakuna dini ilo bora kupita nyingine basi na kila mtu apewe haki basi ya kuabudu na kuishi. co-existence ni jambo la kujivunia na si kubaguana.
 
Crying babies kwa miaka lundo tunabaki kusikiliza wakilia wanaonewa wao tu na kukandamizwa effort pekee ni kuongeza sauti ya vilio while the other side wanapiga hatua how come mboni zetu ziwe zimeona mwembe chai tu au kesi za masheikh na tunajipa upofu kwenye mengine kule Znz mapadre wanashambuliwa,nyumba za akina Mushi zinachomwa as if wako nchi ya jirani na vipi kuhusu tindikali tunaamini ni matendo ya kawaida sababu hakuna vilio vya sauti kua ni uonevu instead wanaangalia ni vipi wagange yajayo,ushabiki wa ki-imani lazima uangaliwe kwa jicho la tatu leo kaongea Lukuvi ni bora mpambane nae yeye mwenyewe simtetei kama kwa mtazamo wenu amepotoka ila ila ukitoa dhamans aliopewa sauti yake haina na tofauti na wanaosimama kwenye mihadhara wakiwaunga mkono uhamsho kwa matendo yao,leo bado tunaelezana kua Mwl Nyerere alitupatia uhuru akiwa kabebwa mabegani mwa waislamu basi kwa nini hao waislamu wasiwe mabegani mwa Nyerere na bado anaatazamwa kama Nyerere na sio mkristo ila hao wengine wanakua addressed as waislamu kwa maana hawana majina ila dini.
Tuacheni mawazo mgando nchi hii haiwezi kuendelea kwa kukaa vibarazani na kuongeza sauti za vilio kua fulani anaonewa badala ya kusimama ili uanze kupiga hatua naamini siku si nyingi wengine watakua wamefika mbali sana hata vilio hawatavisikia ndipo sentensi zitakapoanza na "tuNGE....." inakera hata kauli ya Lukuvi inawafanya mpate sababu ya kutoa vilio kwenye Jamhuri inayoongozwa na ma-Raisi wa upande wenu ivyo Lukuvi kama tone tu baharini punguzeni vilio hamkeni.
Na sijui tatizo ni nini kiongozi akivaa msalaba wa dhahabu akiwa anaingia Znz,siamini kama baraghashia ya Mwl ilikua faraja kwa wengine wakati tunajua alikua akiabudu pale Msasani kwenye kanisa la imani yake.
 
ha ha ha....mud huyu mzee anasahau pia kumtaja mwanamapinduzi halisi wa zanzibar JOHN OKELLO aliyekomesha utawala wa KIARABU HUKO ZANZIBAR. Tanzania haitakuwa tayari kuiacha Zanzibar ianguke totally in the hands of terrorists.we cant allow that.we have seen innocent people wakiuawa kwa mabomu,majambia na kumwagiwa tindikali.lukuvi spoke what he has experienced.how many times should we prove this?tumeona masheikh na mapadre wakimwagiwa tindikal na kikundi cha kikafiri/kikatili cha uamsho wa shetan.huyu mohd ni mtu anayemwabudu shetan kwa kuyaunga mkono mauaji kma haya.. wewe kufika London au kuzijua aya si kigezo.shetan mbona azijua vizur zaid yako.itakuwa wewe agent? no no no...we cant allow this.na tutazuia kuvunjwa Muungano kwa nguvu zote. uwezo tunao,nia tunayo na sabab tunazo. kwan hatuon nijeria?centre republic?
 
jackline, nimepita tu baada ya kuliona jina langu limetajwa na sitasumbuka kusoma zaidi yaliyomo ndani ya thread hii for that would be stooping and I choose never to stoop. Mohamed Said? Ndio nani huyo tena? Hilo jina nililifuta kabisa katika orodha ya...ooops, I had promised myself not to ever stoop...! Samahani jackline, nakitoa, huo muda wa kupoteza sina! Kwa sasa tunajadili namna ya kujenga msingi imara wa taifa...Katiba inayoitambua Tanganyika.

Teh teh teh!? Aisee Mag3 huna hata aibu. Kweli ukiwa mgala unaepigania mfumo basi unaweza kuwa pia kichaa.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha....mud huyu mzee anasahau pia kumtaja mwanamapinduzi halisi wa zanzibar JOHN OKELLO aliyekomeshs utawala wa KIARABU HUKO ZANZIBAR. Tanzania haitakuwa tayari kuiacha Zanzibar ianguke totally in the hands of terrorists.we cant allow that.we have seen innocent people wakiuawa kwa mabomu,majambia na kumwagiwa tindikali.lukuvi spoke what he has experienced.how many times should we prove this?tumeona masheikh na mapadre wakimwagiwa tindikal na kikundi cha kikafiri/kikatili cha uamsho wa shetan.huyu mohd ni mtu anayemwabudu shetan kwa kuyaunga mkono mauaji kma haya.. wewe kufika London au kuzijua aya si kigezo.shetan mbona azijua vizur zaid yako.itakuwa wewe agent? no no no...we cant allow this.na tutazuia kuvunjwa Muungano kwa nguvu zote. uwezo tunao,nia tunayo na sabab tunazo. kwan hatuon nijeria?centre republic?

Chizi Maarifa,
Sijasahau kumtaja John Okello.

Nitakuwekea habari za Okello na wanamapinduzi wengine
ambao historia ya Zanzibar haiwataji.

Unaandika kwa hamaki.
Unatoa maneno makali.

Ukiingia katika majadiliano katika hali kama hiyo unajipunja.
Unajipunja vipi?

Unakuwa akili yako ushaipiga kufuli.
Akili haiwezi tena kupokea kitu nje ya hayo unayoyajua.

Siku chache zilizopita katika website yangu nimeandika maneno
haya kuhusu historia ya mapinduzi ya Zanzibar:

''Mara tu lilipodhihiri tatizo la serikali mbili au tatu niliweka mada
kadhaa katika website yangu na katika nyingine mbili nikisema
kuwa hapatawezekana kamwe mtu yeyote kuweza kufanya tafakuri
ya maana na kuweza kuchangia katika mada hiyo bila ya kujua
historia ya kweli ya mapinduzi ya Zanzibar.

Ukishajua historia ya kweli ya mapinduzi ya Zanzibar hapo mtu
anaweza kuwa katika hali ya siyo tu kuchangia bali hata kujua
kwa nini kwanza, hii leo historia ya mapinduzi imetiwa mkono na
kubadilishwa.

Pili atajua kwa nini hao mashujaa khasa wa mapinduzi yenyewe
hawatajwi; na tatu kutokakana na kujua hayo mawili yalotajwa
ataelewa kwa nini Zanzibar leo haitakiwi kuwa huru.

Katika sherehe za kuadhimisha miaka 50 ya mapinduzi zimetolewa
medali kadhaa kwa wale mashujaa wa mapinduzi.

Ikiwa unaijua historia ya kweli ya mapinduzi utashangazwa kwa
kukosekaaa majina ya wapangaji wa mapinduzi.

Na hakika kuna wengi wameshangaa mbona kinara wa mapinduzi
Abdallah Kassim Hanga hakuenziwa?

Hanga
kafutwa katika historia ya Zanzibar.

Ukimsikia Hanga anatajwa basi atatajwa na wale ambao wameumizwa
jinsi alivyouliwa kishenzi.

Mbona Oscar Kambona hakuenziwa?
Mbona Victor Mkello hakuenziwa?

Mbona Aboud Mmasai hakuenziwa?
Mbona Mohamed Omar Mkwawa hakuenziwa?

Vipi kuhusu John Okello?

Vipi Mwalimu Nyerere aliyetoa msaada mkubwa kutoka Tangayika,
msaada wa fedha na ''logistics'' hatajwi popote wala hakuenziwa?

Wako wengi waliostahili medali hawakupewa medali.

Mbona halitajwi jeshi la mamluki wa Kimakonde kutoka mashamba ya

mkonge ya Sakura na Kipumbwi waliokuwa chini ya Victor Mkello na
kuvushwa kuja Zanzibar na Mzee Mkwawa, mamluki ambao ndiyo waliua
watu wengi katika mapinduzi yale?

Hebu tuanze na kujiuliza kwa nini mambo yako hivi?
Hapa kinafichwa kitu gani?

Kwa wenye kujua historia ya kweli ya Zanzibar na kwa nini serikali ya
Sheikh Mohammed Shamte ilipinduliwa hawashangai kusikia William
Lukuvi kenda kanisani kusema aliyosema kuwa kuna hofu Zanzibar
itaimarisha Uislam ikiwa itaachiwa kuwa huru.

Kwa sasa nitaishia hapa niwaache wana jamvi wahangaishe akili na fikra
zao.''

Chizi Maarifa,

UAMSHO hawajafanya hayo unayosema.

Hakuna ushahidi wowote kuwa wamehusika katika jinai.

Na ningeweza kukupekeka mbali zaidi katika majadiliano haya lakini nitakuwa
nimekutwisha mzigo ambao naamni kabisa si makamo yako.

Lakini chukua muda na usome historia ya Irish Republican Army (IRA) yako
mengi yatakayokusaidia kuujua ulimwengu.
 
Tatizo la kuwa na stress za maisha ndo kama hivi, unaongea kitu hata hueleweki alimradi tu nawe ionekane walau umecomment.
Kwa kukusaidia ili uondokane na huu msongo wa mawazo ambao umekuwa ukikusumbua kwa siku nyingi bila kupata tiba. Chukua haya ninayokwambia na utapona kabisa mpaka siku yako ya mwisho hapa duniani. Tiba hii ingia katika mwanga na toka haraka sana huko gizani. Ingia katika nuur ya Uisilamu utaishi maisha yenye amani tele.

Pole sana ninaelewa ni wengi sana wenye matatizo kama yako lakini kwa kukufahamisha zaidi wale wazungu ambao unawaamini sana sasa hivio wameitambua hii tiba ninayokuelezea hapa na kwa hakika mamia kwa mamia wanaingia katika diyn ya Haq ili kuondokana na stress zilizokuwa zikiwasumbua kwa muda mrefu sana. Hujachelewa amka sasa uingie katika Nuur. Usikubali kabisa kuendelea kuwa mfuasi wa wanaowaambia wafuasi wao kuwa dini yao hawawazi kuielewa mpaka wapate roho mtakatifu.

Huwezi samehewa dhambi kupitia kwa mtu kama hao viongozi wako wanavyokuelekezeni. Aidha kwa tafakur zaidi jaribu kutumia muda mchache kwa kutumia akili ambazo umejaaliwa na Muumba kuhoji ni vipi mungu akauliwa?, ni vipi mungu akadhalilishwa? ni vipi mungu alieumba mwanadamu halafu tena azaliwe na huyo mwanadamu aliyemuumba.

Karibu katika Mwanga....
JINI NI NINI?
Katika lugha ya kiarabu, neno jini linamaanisha
kitu kilichofichwa au kisichoonekana QURAN
1:7.1 Neno hili hutumiwa na Waarabu kwa ajili
ya kutaja jina fulani. Kwa Waarabu, Jini
anayevaa sura ya kike humwita Jinivya, hivyo
majini Ghul/Ghilan, nao hujifunua kwa sura ya
kike.
Katika imani ya Kiislamu, wao huamni kwamba
Majini hutofautiana na Mashetani. Majini
waliosilimu wao huitwa majini mazuri na hawa
wakiwa katika hali kujionyesha kwa wanadamu,
hao huitwa AJINU na wale walioacha kusilimu
mwaka 610 AD (Baada ya Kristo) katika safari
ya mtume Muhamad alipotoka Taifa , wao
wanaitwa Mashetani . Hivyo, wao wanapokuwa
katika hali ya kutoonekana huitwa ALBAHATWA
lakini pia Majini wote wanapokuwa katika hali
ya kutoonekana waweza kuitwa ALBAHATWA,
yaani PEPO.
Muislamu huamini kwamba kuna majini ya kike
na kiume. Lakini pia , huamini kuwa Majini
huoana na kuzaliana QURAN 55:56 na kuwa
Majini huzaa sana kuliko binadamu na kwamba,
Jini mmoja anaweza kuzaa watoto 300, na
kuwa Jini huzaa watoto 3 hadi 4 kwa mkupuo.
Somo QURAN 55:26-28 na kuwa Majini
wanaweza kuishi miaka 400-1,000 kisha
wanaweza kufa. Tofauti yao na binadamu ni
kwamba wao wanaishi miaka mingi kuliko
binadamu. Lakini pia, huamini kuwa wapo
Majini wanaokula, wanaomeza, wanaokunywa,
ila tofauti yao na wanadamu ni kwamba wao
hula kwa kutumia mkono wa kushoto. Pia
hiamini kuwa Majini wana uwezo wa kuzaa na
Wanadamu. Soma QURAN 17:64. Waislamu
huamini kwamba mtu anauwezo wa kuoa au
kuolewa na Jini bila kujua, na mwanadamu
anauwezo wa kumuua Jini. Soma QURAN
57:14-15
SURATULJINN
Ndani ya QURAN pia imo sura inayoitwa
Suratuljinn ( QURAN 72 ). Sura hiyo huitwa
hivyo kwa sababu ni sura ya Majini (Mapepo).
Kwa nini wanatajwa Majini katika imani ya
Kiislamu?
Majini wanatajwa sana katika dini ya Kiislamu
kwa kuwa ni waislam kwa kusilimu, kwa
kuiamini Quran tukufu aliyopewa mtume
Muhamad.. Majini walisilimu na kuwa Waislamu
mwaka 620 AD(Baada ya Yesu) 72:1-14
QURAN. Hivyo basi, unapotumia neon jinni
maana yake unatumia lugha ya Kiarabu
ukimaanisha Pepo mchafu. Ni kama Spoon/
kijiko, vyote ni kitu kimoja. Ndani ya Quran,
neon “PEPO” limetumika kama Paradiso,
mbinguni. Lakini pia, tunapata neon jingine
liitwalo AKHERA ila neon hilo halimaanishi
PARADISO, bali kwa lugha ya Kiarabu neon hili
“AKHERA” lina maana ya KUZIMU. Lakini pia
ukiangalia ndani ya SURALJINN ( QURAN
72:1-2, 8-9, 12 ) Mapepo hawa wanajieleza
waziwazi kabisa kuwa mwanzo waliishi
Mbinguni, walipogeuka kwa kuasi, walitegwa na
Mungu. Linganisha na maandiko haya katika
Biblia ( UFUNUO WA YOHANA 12:7-9; YUDA
1:6-8; UFUNUO 20:10; UFUNUO 21:8 ). Kwa
mujibu wa dini ya Kiislamu, hawa majini
( Mapepo ) waliotegwa na Mungu Mbinguni
wakiwa Malaika huko na kutupwa Duniani
baada ya kuasi huko, sasa, wakati wa mtume
Muhamad katika safari yake ya kurudi Taifa
mwaka 620 AD (baada ya Yesu) wapo
walioamini na kuona kuwa Quran ni ya ajabu ya
kuwatangazia neema ya kuabudu. Katika vol
8-9, husema , wanapojaribu kwenda Mbinguni
( walikotoka zamani ), hukuta ile Mbingu
imezungushiwa vimondo vya moto. Hivyo, hudai
kuwa mbingu yao iko Akhera, yaani Kuzimu,
maana Mbingu ya juu ina moto na hawana
uwezo wa kwenda huko. SOMA ( QURAN 72:9 ),
Mbingu ina utisho wa moto ila Akhera
( kuzimu ) hakuna shida kwao .
Hivyo basi, kulingana na jinsi Allah asemavyo
ndani ya Quran kuwa nimeumba binadamu na
majini ili muniabudu ( QURAN 57:58 ; 51:56) na
kuwa , mbinguni mwao Majini wamo waabuduo
(Majini waliosilimu mwaka 620 AD ,SOMA
QURAN 72:14, ambao ni wema wanaosafiri na
kurithi uzima wa milele upatikanao Akhera
( Kuzi mu ). Lengo kubwa la Shetani na Majini
ni kufanya urafiki na wanadamu wengi ili kwa
wingi huo apate watu wengi wa kwenda nao
JEHANAMU ( QURAN 6:128 ). Jambo la
muhimu kujua hapa ni kwamba moto wa milele
hakuwekewa Mwanadamu bali ni Shetani na
malaika zake wote ( Majini au mapepo ). Hawa,
hawana nafasi tena ya kuungama au kutubu.
Yesu Kristo hakuwa na urafiki wowote na
Shetani wala Mapepo ( Majini ), aliyaamuru
kutoka ndani ya watu waliokuwa wakiteswa
nayo ( MATHAYO 8:29: MARKO 5 N,K )
Wakati Yesu anaondoka hapa duniani,
alichukuliwa na wingu na kupaa kuelekea juu.
Mbinguni ni juu kama Quran inavyothibitisha.
Yesu aliweza kupaa na kuingia Mbinguni lakini
Majini ( Mapepo ) waliosilimu wakijaribu tu,
wanakutana na moto mkali. Tumeona kuwa
Majini ambao ni Waislamu kwa kusilimu,
wanaishi AKHERA yaani Kuzimu. Je, Waislamu
wengine unadhani wataishia wapi milele?
 
unakosea unapochukua kauli ya "mtu mmoja" na kujumuisha na watu wengi...then kumbuka aliyesema hayo yupo ktk nafas ile kama kiongoz wa kisiasa na nchi yetu haina dini..
 
Tatizo waislam hamuishi kulingana na maana yenyewe ya uislam. Uislam ni maana wala sio dini. Eti walipigania uhuru wa tanganyika, mbona "amnut" walitaka uhuru usitolewe hadi nao wasome. Naomba usome vizuri historia. Kwa mada nyingi za udini humu jf kunadalili ya vita, just y maccm hayaruhusu muunhano uvunje coz wamehisi kinachukuja.
 
mohamed said....nawajua hao wote pamoja na akina Abdulrahman Babu,Khamis
Abdallah-Ameir, the two former Umma Party
leaders. si kwa sura. nawafaham kwa misimamo na michango yao katika mapinduzi pamoja na Muungano. najua unajua kuwa hata Karume alitaka Zanzibar na Tanganyika iwe nch moja kabisa Nyerere akakataa...unadhan ilikuwa ni kwa nin? pengine unajawa na ujivuni ukidhan wewe wajua zaidi na hili mimi huliona kwenye matamshi yako.wasahau dunia ya leo si suala la umri sana.ni suala la kujibiidisha katika kutafuta illimu iwe dunia au akhera.wapemba wengi bado wanadhana fulan fulan katika akil zao wakihusisha na utawala wa kiarab karne hizo na hali halisi.twajua ni waz wao mara kadhaa wamekuwa wakidhan ni tabaka la tofauti na hawa weusi ti.uamsho na harakat zao tumeziona mohamed said.ukitaka kutokubal hili ni uamuz wako.ubaguzi wa wa bara huku zanzibar mkubwa sana hili wala huhitaj kuwa na certificate ya investigation kugundua.lakin bara wapo wapemba weng wakifanya biashara wakijenga na kuhusiana na wabara. dhana ya kutumia uislamu kutaka kuungwa mkono watu wenye ufaham wameishaishtukia muda sasa.kuwa ukitaka pata sympathy toka kwa moslems sema unapigania dini yao sema wanakandamizwa n.k mimi si muumin wa nyerere na sitawah kuwa hata siku moja.namheshimu kama binadamu mwingne yeyote.lakin nsingepend kumhukumu kwa dini yake.nimefundishwa na prof mmoja muislam wa kujitanabaisha hasa but katika darasa lake hakueneza udini kama wengne ambavyo hufanya.na kwa udhahiri husema amesoma shule ya kikristo akuwa muislam na dini yake iliheshimiwa sana.ila kuna watu kadhaa wataka tumia dini kama mwamvul wa kutimiza matakwa yao
 
Huwa unapenda kutumia vitu vidogo vidogo ambavyo vipo visible ili kujenga hoja yako, kwa lengo la ku capture attention ya majority wenye ufinyu wa kupambanua mambo.
Kama hapa unapojaribu kuoanisha Uisilam na balaghashia. Balaghashia ni moja ya mavazi ya kichwani ya kitamaduni maeneo ya arabuni. Ukiwa huko ni sehemu ya maisha ya kawaida sana kuona watu wanaenda kanisani wakiwa wamevaa baraghashia na kanzu.
Hata hapo Zanzibar utakuta wanaweka wamevaa hijab na wanaendakusali kanisani. Inawawezekana una hoja nzuri unataka kuijenga na kuiwasilisha lakini tabia ya kuokoteza tuvitu hutu tudogo twenye mafungamano na tamaduni za watu kwa lengo la kujigeuza 'centre of gravity' inakupunguzia maksi mbele ya watu wafuatiliaji na makini.
Otherwise huwa nakusifu kwa tabia ya kupenda kuandika.

Hembu thibitisha ubayoyasema....japo kwa picha tuuuuu....HIJAB ni vazi rasmi la WAISLAM na limetajwa ndani ya QURAN.
 
Soon magaidi tutawarudisha zanzibar nyie ngojeni muone si wanapata kibri toka arabun ipo siku yao!

Na nyinyi mtarudishwa huko mlipotoka mnazani DSM ni kwenu mtarudi huko RUKWA, BUKOBA, MBEYA, IRINGA, SHINYANGA.KIGOMA,MARA N.K huko ndio kwenu
 
Huhitaji kua bias katika facts and logic ili umfurahishe mtu.ukweli siku zote huumiza.kipi kilicho kuumiza na kukuliza tukupe maneno ya kukupoza.

mchango wa waislam katika uhuru wa nchi hii umesingiziwa ni mtiririko wako tena dah!

Unaangalia ukamilifu wa mtu kuanzia mtu mwenyewe.Huku ni kuattack personality ya mtu. "Dont judge a book by its cover" deal with the content.

malumbano ya kidini ndio mind set inayokuzuia kusoma historia ya uislam Tanzania.

Imani ya dini si sehemu ya jukumu lako.U should Claim that Mtu anachoamini ndicho humsukuma kufanya maamuzi afanyayo.Do u belive in killing Albinos for wealth?

Your welcome.
Utavunja mabeka na kusuka kichwa bure.
Wewe unatumia Moyo kufikiri wakati mimi ninatumia kichwa. unalazimisha kuni drug to your level of religious conflict, wakati tayari nimekuambia kuwa thats not my battlefield. Siwezi kutafuta sifa ya imani toka kwa wanadam, hiyo nitaitafuta kwa Mungu ninayemuamini.
Hata kama waislam au wakristo walikuwa na mchango katika kuleta uhuru wa Tanganyika, dhambi ipo wapi hapo, maana nchi inaundwa na watu kutoka makundi tofauti ya kijamii, kuanzia makundi wasomi, waumini/dini, makabila, wakulima, wafanyakazi, wafanyabiashara, watoto na mengine mengi ambao kwa umoja hutajwa kama wananchi na walikuwa na mchango wao katika harakati hizo, lakini wakaamua kuzika tofauti zao hizo na kuamua kujitambulisha kama wananchi/waafrika/wapigania uhuru.
Kuna posts humu zipo tayari kwa hicho ukitakacho, siyo mimi.
Kwangu mimi tofauti ya rangi, umri, dini, kimo, unene, wembaba, kabila, elimu kwangu zote ni tofauti ambazo huzichukua kama nakshi zipambazo jamii ya mwanadam ili iwe sehemu isyoishiwa changamoto kwa lengo la kumfanya mwanadam aendelee kutumia akili zake kiazi hata kizazi.
NIMEMALIZANA NA WEWE.
 
Naongea kama muislamu........
Naomba MODS MUNINUKUU.
Sioni fahari Kuwa muislamu.
Waislamu(sio uislamu) ni moja kati ya matatizoya msingi katika taifa letu.
Mnahubiri(kinyume na uislamu) uadui na utengano zaidi ya upendo na mshikamano..
Ni wanafik (kinyume na uislamu).
UAMSHO( WAISLAMU) mnaua viongozi wa dini na kuchoma makanisa(kinyume na uislamu).
Bado MNA akili ya KITUMWA ya kudhani MUARABU ndio MTU bora(wakati ndio mtenda dhambi mkubwa)
Nawashauri tuu ndugu zangu katika imani (waislam) kama mnataka taifa LA kiislamu basi HAMIENI OMAN.... Kwani si kuna ndugu zenu wanaowafadhili.
Serikali 3 au ya NKATABA haipo hata mdhikiri mkiwa watupu

Kuwa mkweli...mara yako ya mwisho kuingia msikitini ilikuwa lini.....?
 
Chizi Maarifa, asante sana kwa michango yako. Huyu jamaa ni hatari sana. Leo kwa mara ya kwanza amesema wazi kuwa anashabikia mauaji kwa kile anachoona ni utetezi wa dini yake. Kama kawaida yake huwa hajibu hoja bali kutukumbusha jinsi wazungu makafir wanavyomheshimu! Yeye hajui kuwa kutumika kwa kitabu chake kufundishia au hata yeye kualikwa kutoa somo hakuna maana ya kukubalika. Hauwezi kusoma historia ya Ulaya kikamiilfu bila kusoma Mein Kampf!

Hizo historia zake anazodai ni za kweli zishakuwa debunked humu mara chungu mzima. Inakubaliwa na wapuuzi ambao wanaona kuelezwa kuwa kwa alijulikana MUISLAMU kwa sababu alikuwa akiongea kiswahili na kiingereza Uingereza ni ufunuo mkubwa! Jitihada zake za kutufanya kuamini kuwa uhuru uliletwa nchi hii na "wazazi" wake PEKE YAO waliokuwa wakiishi Gerezani zimeonekana kuwa ni usanii wa hali ya juu. Na hata hii ya ukujaribu kuwaosha mikono waislamu wa unguja kwa mauaji waliyoyafanya wakati wa Mapinduzi nalo ni usanii wa aina hiyo hiyo. Mtu anayeshindwa kuwalaani wakina Boko Haram na Al Shaabab ni beneath contempt. Mtu anayejidai kusimamia haki lakini anakuwa kimya wanapouawa wakristu wasio na hatia na wengine kumwagiwa maji hastahili heshima. Mtu, anayejibalagua kama mpenda haki, lakini anamlaani muislamu mwenzake aliyediriki kutofautiana nae katika kunyamazia maovu yanayofanywa na baadhi ya wanadini wenzake, haitakii mema jamii yetu (wafuasi wake wanatumia jina lake kuonyesha kuwa sio muislamu lakini wenyewe hawaoni taabu kujiita David au Bill!). Humu ndani kuna waliokunywa Kool Aid yake ambao wanadai bila aibu kuwa ni wakristu waliotenda maovu dhidi ya wakristu wenzao. Yote haya kwa sababu hakuna kiongozi wa kikristu aliyeamka na kuwahimiza makafir wenzake waamke na kuwachinja waislamu na kuchoma misikiti yao! Watu kama hawa wanashindwa kuelewa msingi wa upendo na uvumilivu ulio nguzo ya ukristu.

Ni very tempting kum-ignore mtu kama huyu maana tumemzoea lakini hatari yake ni kuwa hana tofauti na Goebbels aliyeamini uongo ukiurudia mara nyingi unakuwa ukweli. Anastahili kupingwa kwa nguvu zote kila anapoleta sumu yake.

Amandla......
 
Jackline1,
Naomba kwa hisani yako nipatie majina ya hao ''magwiji wa historia'' kwa kuwa
sikumbuki kitu kama hicho unachoeleza.

Ila ninachojua ni kuwa Prof. James Giblin wa Chuo Kikuu Cha Iowa na Mkuu wa
Idara ya Historia alinialika chuoni kwake na nilitoa mhadhara.

Nilipomaliza ile nakwenda kukaa Prof. Jonathan Glassman wa Idara ya Historia
Northwestern University, Evanston Chicago akanidaka akaniomba mada ile ile
nende nikaiwasilishe chuoni kwake.

Mada yangu ilikuwa, ''Islam and Politics in Tanzania.''

Hawa ni wasomi makini na wamesoma kitabu changu na kuandika ''review.''
Hicho kitabu changu ulichokitaja hawa wanakisomesha kwenye vyuo vyao.

walikuwa wanakuchora mbulula wewe ukafikiri unaongea kitu cha maana
 
Back
Top Bottom