Wakati mwalim Nyerere anapendekeza mfumo wa kura tatu mwaka 1958 kule mkoani Tabora ,ilikuwa mbinu ya kanisa kutaka kushika hatamu.
Watu waliomfadhili Nyerere kama aki na Dossa Azizi,Abdulwahid Sykes na Mshume kiate wote akawageuza mateka ndani ya nchi waliyoipigania.
Haya ya Lukuvi yamezidi kuwafumbua macho waislaam waliokuwa katika usingizi mzito ,kuwa Mfumo Kristo hauna namna ya ku oparate zanzibar kama hakuna muungano.
Alichokisema Lukuvi ni ushahidi tosha wa chuki za wakatoliki dhidi ya Waislaam wa Tanzania.
Tatizo la wakristo wengi hawasomi vitabu baada ya kupata zile elimu za kupeana,Hata akija Askofu kuwahutubia wasomi wa kiwango cha uzamili na uzamivu hukuti wakihoji jambo lolote ,wanaburuzwa licha ya usomi wao.
Ukisoma kirabu kilichoandika na Padri Sivalone kiitwacho Kanisa katoliki na siasa Tanzania bara,Dr.Sivalone kaweka mambo yote wazi kama alivyoweka Likuvi kule kanisani.
Yote yaliyosemwa na ustadh Ilunga ,Shekh Ponda Issa Ponda,na Mashekh wa taasisi ya uamsho ni mafunzo tosha kwa mtu mwenye nia njema na nchi yetu.
Badala ya serikali kuyafanyia Kazi wakakimbili kuwakamata na kuwaweka gerezani na kumtumia Mkristo mwenzao mwenye siasa kali DPP Elieza Felishi kuwadhibiti kwa kuwanyima dhamana ili kuizima sauti ya waislaam isisikike.
Lkn kwa kuwa uwongo huwa haudumu hata siku moja,Yaleyale waliyoyasema Mashekhna kuitwa wachocheza yaliposemwa na aki na Tundu Lissu kanisa likatikisika na hatimae tukaletewa hati feki ya Muungano.
Sikumwona DPP akiamrisha Aki na Lissu wakamatwe kwa uchochezi na hii ndio chuki iliyopo hadharani na huhitaji kujitoa akili ili kumuelewa Mohammed Saidi.
Pamoja na kanisa kuasisi mfumo wa kinyonyaji,lkn tunaumia wote wakiwemoWakristo nawaislaam.
Watanzania wengi wapo vijijini na huko hakuna huduma za Afya ,Maji wala miundombinu bora.
Endeleeno kuwashangilia watu ambao hata Wabrazilwaliwakataa kutokana na historia ya unyonyaji.
Waislaam haturudi nyuma na kama mtatumia mabavu kuendelea kutukandamiza,tupo tayari kushika silaha ili tukose wote,hakuna mtu mwenye hati miliki ya Tanzania,waislaam hawana cha kupoteza tena mbele ya mfumo kandamizi uliodumu kwa miaka hamsini.