Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Udikteta wa Nyerere, alipowapoteza Aboud Jumbe na Dourado, walipohoji muungano.Lipi?
Amandla.......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udikteta wa Nyerere, alipowapoteza Aboud Jumbe na Dourado, walipohoji muungano.Lipi?
Amandla.......
Wewe subiri kufungwa kwani unawasema kina alhaj.Elimu ya madrasa haiko sawa na div one ya kanisa na haitakuwa hivyo mpaka ukamilifu wa dahari!Yah hii ni elimu ya madrasa ambayo haiko sawa na Div one ya kanisa iliyojaa nchi nzima,
Na usomi wenu wakuvaa tai na kufungua mabaa kila kona na usomi wenu kipi chakujivunia katika nchi hata tusimame na mataifa mengine kujivunia? Mmefisadi nchi mmefilisi mmeiba kila sehem, mmekaa kujisifu kijuha tu mmesoma, usomi wenu umetusaidia nini kama nchi?
Huwa unapenda kutumia vitu vidogo vidogo ambavyo vipo visible ili kujenga hoja yako, kwa lengo la ku capture attention ya majority wenye ufinyu wa kupambanua mambo.
Kama hapa unapojaribu kuoanisha Uisilam na balaghashia. Balaghashia ni moja ya mavazi ya kichwani ya kitamaduni maeneo ya arabuni. Ukiwa huko ni sehemu ya maisha ya kawaida sana kuona watu wanaenda kanisani wakiwa wamevaa baraghashia na kanzu.
Hata hapo Zanzibar utakuta wanaweka wamevaa hijab na wanaendakusali kanisani. Inawawezekana una hoja nzuri unataka kuijenga na kuiwasilisha lakini tabia ya kuokoteza tuvitu hutu tudogo twenye mafungamano na tamaduni za watu kwa lengo la kujigeuza 'centre of gravity' inakupunguzia maksi mbele ya watu wafuatiliaji na makini.
Otherwise huwa nakusifu kwa tabia ya kupenda kuandika.
Hahahahahaha. AlhamduliLlah nipo kabla ya Nyerere hajawa Waziri Mkuu wala Tanganyika haijapata Uhuru, nakumbuka fash fash za Uhuru nikizitazama nilipokuwa mdogo, nyumbani kwetu, nyumba ya pili kutoka nyumba ilipozaliwa TANU.Lazima ulizaliwa juzi. Nyerere hajawahi kuficha imani yake wala kumzuia mtu kufuata imani yake au kutofuata imani yake. Kwenye utawala ndipo hakuangalia dini ya mtu. Hili hauwezi kuelewa maana kwako wewe Ummah ni muhimu kuliko chochote. Hautaweza kumpa Kafir haki yake pale anapodhulumiwa na muislamu mwenzako.
Amandla....
Kama ilikuwa dhuluma alofanya mbona sasa CA wanataka kubadili style ya muungano wewe na kichaka chenu cha familia ya kifalme hamtaki!Mmkelia kututisha tuu na serikali 2.Udikteta wa Nyerere, alipowapoteza Aboud Jumbe na Dourado, walipohoji muungano.
Anahusikaje?Bibi Naona mmepata ground ya kuonesha ushetani wenu mnakomaa kinoma!Mbona wewe usiende Yerusalemu ukasema huo mji ni wa waislamu?
Hahahahahah, nchi iliyokuwa na wakimbizi wengi duniani ni Tanzania, juzi juzi tu, Jee, wale walikimbia nini makwao na wakarundikana Tanzania? nikukumbushe?
Halafu wale Watanzania waliojiripua na au kuhamia nchi nyingi za Europe, walikimbia nini? Hebu muulize jamaa yako, MzeeMwanakijiji na au wajiitaowabeba maboksi (wengi tu) wam humu, wao walikimbia nini hapa?
Kwanza napenda uelewe, population ya natives wa Europe aka wazungu, inapunguwa ni kwa kuwa hawazaliani sana, unategemea watazaliana sana na wao wanaoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, kama hiyo haitoshi, sasa wanaoana na mbwa. Unategemea nini kitawakomboa? Uislaam pekee:
Hebu jismee hii habari kidogo, upate faida:
The Islamic future of Britain
Britain is in denial. If population trends continue, by the year 2050, Britain will be a majority Muslim nation
Soma zaidi: The Islamic future of Britain - The Commentator
WEWE lazima utakuwa na masters ya ile kitabu inayosomwa back to front aka alubadili- akili yako imedumaa- kwanini usivae mkanda wa mabomu ukakutane na mabikra tisini na tisa huko kwa muumba wako??????Yah hii ni elimu ya madrasa ambayo haiko sawa na Div one ya kanisa iliyojaa nchi nzima,
Na usomi wenu wakuvaa tai na kufungua mabaa kila kona na usomi wenu kipi chakujivunia katika nchi hata tusimame na mataifa mengine kujivunia? Mmefisadi nchi mmefilisi mmeiba kila sehem, mmekaa kujisifu kijuha tu mmesoma, usomi wenu umetusaidia nini kama nchi?
Lipi?
Amandla.......
Hahahahahaha. AlhamduliLlah nipo kabla ya Nyerere hajwa Waziri Mkuu wala Tanzania haijapata Uhuru, nakumbuka fash fash za Uhuru nikizitazama nilipokuwa mdogo, nyumbani kwetu, nyumba ya pili kutoka nyumba ilipozaliwa TANU.
Unaongelea, kuhusu kutokuzuwia imani za watu na Nyerere? nadhani wewe ndio utakuwa u bwana mdogo sana kama huvijui visa vya Nyerere kwa Waislaam, Jee, umeshawahi kupewa kisa EAMWS na BAKWATA? nadhani bado, ngoja nimuombe Al-Alama Mohamed Said atudonolee japo "kiduchu", kwa faida yako na ya wengi. Japo Al-akh Ritz atutupie mistari "kiduchu" hapa.
Vipo visa na mikasa mingi sana ya Nyerere kunyanyasa na kudhulumu Waislaam, Utavijuwa tu, kidogokidogo.
Ngoja nikuulize, Jee, unajuwa Nyerere alipewa fedha na Ghaddafi za kujenga msikiti kwao, lakini alizikalia mpaka kafa hajaujenga? Jiulize kwanini?
Hujui au limekuelemea? si kosa lako, ni hofu hiyo imekushika.
Ngoja nikusaidie kiduchu hizi data zitakusaidia.Porojo za mitaani. Nchi yenye waislamu wengi Ulaya ni Ufaransa na wengi ni wakimbizi. Serikali ya huko na wananchi wake wameishawastukia ndio maana Le Pen amefanya maajabu safari hii. Hali kadhalika Uingereza.
watanzania wengi waliojilipua ni kutoka Zanzibar, waislamu wenzako. Cha kujiuliza ni kwa nini wanajilipua katika nchi za magharibi badala ya nchi za kiislamu kama Afghanistan, Pakistan, Yemen, Somalia n.k.!
Kambi kubwa ya wakimbizi duniani iko Dabaad nayo imejaa waislamu wanaowakimbia waislamu wenzao.
Amandla.......
Ngoja nikusaidie kiduchu hizi data zitakusaidia.
Miji ya Ulaya ambayo Uislam unakuwa kwa kasi ya ajabu ni hapa.
1) Amsterdam 14%
2) Antwerp 16%
3) Barcelona 6%
4) Berlin 6%
5) Birmingham 26%
6) Blackburn 28%)
7) Bradford 15%
8) Brussels 15%
9) Cologne 12%
10) Copenhagen 7%
11) Frankfurt 11%
12) Marseille 20%
13) Paris 15%
14) Mancherster 15%
Tuishie hapo kwanza bado sijakuwekea Marekani.
Hawa wote ni wakimbizi ngoja nikuwekee na Masheikh wa Kizungu.
Mimi ni pro chadema ila nondo za M. Said nazikubali...
Tatizo letu hatutaki kusikia ukweli...
Kumbe wewe ndio Ngongoseke? Mpunguze basi hizo ID.
Muulize huyo Al Alama Mohamed Said kuhusu mahusiano ya karume na hiyo EAMWS? Na unajua nani alianzisha hiyo EAMWS na kwa nini waswahili katika TANU waliipinga?
Unazungumzia ule msingi uliokuwa Chang'ombe, pesa mkazinywa na baadae mkadhulumiana wenyewe.
Au unazungumzia Chuo Kikuu chenu kinachotia fora mlichopewa baada ya Kafir mmoja kuchukua mali ya umma na kuwapa?
Amandla.....
Whereas all foreign nationals who have legally resided in the country for five years have the right to vote in local elections, Moroccans traditionally turn out in low numbers, while turnout among Turks is comparable to that among native Dutch.
After the 2003 elections, there were at least ten MPs from Muslim background among the 150 Members of Parliament,[SUP][13][/SUP] but as few as three among them may have been active believers, while two explicitly classified themselves as ex-Muslims.
Naona uko kwenye keyboard huku umeshika yale maji yenu mnayaita ya dhahabu,
Usichanganye huyo faiza foxy na mimi Ngongoseke,
Usijali kama hoja nzito omba msaada mbona wenzako wako wengi tu hapa jf!?
www.themuslimtimes.orgUshahidi, please!
Amandla.....