Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Kutoka kofia ya barghashia ya Nyerere 1964 hadi msalaba wa William Lukuvi 2014

Yah hii ni elimu ya madrasa ambayo haiko sawa na Div one ya kanisa iliyojaa nchi nzima,
Na usomi wenu wakuvaa tai na kufungua mabaa kila kona na usomi wenu kipi chakujivunia katika nchi hata tusimame na mataifa mengine kujivunia? Mmefisadi nchi mmefilisi mmeiba kila sehem, mmekaa kujisifu kijuha tu mmesoma, usomi wenu umetusaidia nini kama nchi?
Wewe subiri kufungwa kwani unawasema kina alhaj.Elimu ya madrasa haiko sawa na div one ya kanisa na haitakuwa hivyo mpaka ukamilifu wa dahari!
 
Huwa unapenda kutumia vitu vidogo vidogo ambavyo vipo visible ili kujenga hoja yako, kwa lengo la ku capture attention ya majority wenye ufinyu wa kupambanua mambo.
Kama hapa unapojaribu kuoanisha Uisilam na balaghashia. Balaghashia ni moja ya mavazi ya kichwani ya kitamaduni maeneo ya arabuni. Ukiwa huko ni sehemu ya maisha ya kawaida sana kuona watu wanaenda kanisani wakiwa wamevaa baraghashia na kanzu.
Hata hapo Zanzibar utakuta wanaweka wamevaa hijab na wanaendakusali kanisani. Inawawezekana una hoja nzuri unataka kuijenga na kuiwasilisha lakini tabia ya kuokoteza tuvitu hutu tudogo twenye mafungamano na tamaduni za watu kwa lengo la kujigeuza 'centre of gravity' inakupunguzia maksi mbele ya watu wafuatiliaji na makini.
Otherwise huwa nakusifu kwa tabia ya kupenda kuandika.

Ahahaha alie kuambia balaghashea ni vazi la utamaduni la warabu ni nani?
vazi la utamaduni la warabu ni vilemba si balaghashea na hivo vilemba pia vinatofautiana na sehemu ufungaji cha misri na yemen ni tofauti Dubai na Oman ni tafauti so vazi la asili la kichwani kwa warabu ni kilemba si balaghashea hotomuona bedui hata siku moja kuvaa balaghashia yeye nikilemba wala haijui hiyo balaghashia
 
Lazima ulizaliwa juzi. Nyerere hajawahi kuficha imani yake wala kumzuia mtu kufuata imani yake au kutofuata imani yake. Kwenye utawala ndipo hakuangalia dini ya mtu. Hili hauwezi kuelewa maana kwako wewe Ummah ni muhimu kuliko chochote. Hautaweza kumpa Kafir haki yake pale anapodhulumiwa na muislamu mwenzako.

Amandla....
Hahahahahaha. AlhamduliLlah nipo kabla ya Nyerere hajawa Waziri Mkuu wala Tanganyika haijapata Uhuru, nakumbuka fash fash za Uhuru nikizitazama nilipokuwa mdogo, nyumbani kwetu, nyumba ya pili kutoka nyumba ilipozaliwa TANU.

Unaongelea, kuhusu kutokuzuwia imani za watu na Nyerere? nadhani wewe ndio utakuwa u bwana mdogo sana kama huvijui visa vya Nyerere kwa Waislaam, Jee, umeshawahi kupewa kisa cha EAMWS na BAKWATA? nadhani bado, ngoja nimuombe Al-Alama Mohamed Said atudonolee japo "kiduchu", kwa faida yako na ya wengi. Japo Al-akh Ritz atutupie mistari "kiduchu" hapa.

Vipo visa na mikasa mingi sana ya Nyerere kunyanyasa na kudhulumu Waislaam, Utavijuwa tu, kidogo-kidogo.

Ngoja nikuulize, Jee, unajuwa Nyerere alipewa fedha na Ghaddafi za kujenga msikiti kwao, lakini alizikalia mpaka kafa hajaujenga? Jiulize kwanini?
 
Udikteta wa Nyerere, alipowapoteza Aboud Jumbe na Dourado, walipohoji muungano.
Kama ilikuwa dhuluma alofanya mbona sasa CA wanataka kubadili style ya muungano wewe na kichaka chenu cha familia ya kifalme hamtaki!Mmkelia kututisha tuu na serikali 2.
 
Mimi ni mkristo na kwa kweli sifurahishwi kabisa na shutuma za waislamu dhidi ya wakristo maana zinachochea kuchukiana katika ngazi ya chini kabisa na hivyo kutengeneza mazingira ya civil unrest na genocide. Lakini baada ya kauli ya Pengo, Lukuvi na Mtetemela nimeanza kujiuliza hivi kuna ukweli katika hoja za waislamu kuhusiana na mfumo wa utawala. sie wakristo wengine na hasa wapentekoste hatujawahi kuwa sehemu ya mfumo huu. Hata kama kuna manufaa hawa maskofu wanapigania basi huwa wanafaidi peke yao kwa siri. Swali langu wana maslahi gani na mfumo huu uliopo mbona wanautetea kufa na kupona?
 
Anahusikaje?Bibi Naona mmepata ground ya kuonesha ushetani wenu mnakomaa kinoma!Mbona wewe usiende Yerusalemu ukasema huo mji ni wa waislamu?

Uuongelee Ukristo Tanzania na Pengo usimtaje? itakuwa humtendei haki.

Kwani sisi tunaandika katiba mpya ya Palestine au ya Tanzania? hata niitaje Jerusalem?
 
Hahahahahah, nchi iliyokuwa na wakimbizi wengi duniani ni Tanzania, juzi juzi tu, Jee, wale walikimbia nini makwao na wakarundikana Tanzania? nikukumbushe?

Halafu wale Watanzania waliojiripua na au kuhamia nchi nyingi za Europe, walikimbia nini? Hebu muulize jamaa yako, MzeeMwanakijiji na au wajiitaowabeba maboksi (wengi tu) wam humu, wao walikimbia nini hapa?

Kwanza napenda uelewe, population ya natives wa Europe aka wazungu, inapunguwa ni kwa kuwa hawazaliani sana, unategemea watazaliana sana na wao wanaoana wanaume kwa wanaume, wanawake kwa wanawake, kama hiyo haitoshi, sasa wanaoana na mbwa. Unategemea nini kitawakomboa? Uislaam pekee:

Hebu jismee hii habari kidogo, upate faida:

The Islamic future of Britain

Britain is in denial. If population trends continue, by the year 2050, Britain will be a majority Muslim nation


Soma zaidi: The Islamic future of Britain - The Commentator

Nakushangaa wewe muislamu unachukua fear-mongering ya British Nationalists kama ushahidi wa kuongezeka kwa waislamu Uingereza. Mwandishi nia yake ni kuwatisha waingereza ili wawabane mbavu waislamu. Kitu ambacho ni dhahiri wamefanikiwa ukiangalia kupanda chati kwa UKIP na wakina Cameroon kuanza kutamka kuhusu ukristu wa uingereza. Matokeo yake ni kuwa hizo viza mnazojipanga kuanzia usiku wa manane hamta zi pata, ndugu zenu waliojilipua watatafutiwa kila sababu watimuliwe n.k. Ufaransa nako vile vile. Wadachi walianza zamani. Na hata Norway wako njiani kuwashughulikia. Nyinyi mnabaki kushangilia kuwaua mapadri na kuchoma makanisa huku kwetu bila kujua athari zake.

Amandla......
 
Yah hii ni elimu ya madrasa ambayo haiko sawa na Div one ya kanisa iliyojaa nchi nzima,
Na usomi wenu wakuvaa tai na kufungua mabaa kila kona na usomi wenu kipi chakujivunia katika nchi hata tusimame na mataifa mengine kujivunia? Mmefisadi nchi mmefilisi mmeiba kila sehem, mmekaa kujisifu kijuha tu mmesoma, usomi wenu umetusaidia nini kama nchi?
WEWE lazima utakuwa na masters ya ile kitabu inayosomwa back to front aka alubadili- akili yako imedumaa- kwanini usivae mkanda wa mabomu ukakutane na mabikra tisini na tisa huko kwa muumba wako??????
 
Hahahahahaha. AlhamduliLlah nipo kabla ya Nyerere hajwa Waziri Mkuu wala Tanzania haijapata Uhuru, nakumbuka fash fash za Uhuru nikizitazama nilipokuwa mdogo, nyumbani kwetu, nyumba ya pili kutoka nyumba ilipozaliwa TANU.

Unaongelea, kuhusu kutokuzuwia imani za watu na Nyerere? nadhani wewe ndio utakuwa u bwana mdogo sana kama huvijui visa vya Nyerere kwa Waislaam, Jee, umeshawahi kupewa kisa EAMWS na BAKWATA? nadhani bado, ngoja nimuombe Al-Alama Mohamed Said atudonolee japo "kiduchu", kwa faida yako na ya wengi. Japo Al-akh Ritz atutupie mistari "kiduchu" hapa.

Vipo visa na mikasa mingi sana ya Nyerere kunyanyasa na kudhulumu Waislaam, Utavijuwa tu, kidogokidogo.

Ngoja nikuulize, Jee, unajuwa Nyerere alipewa fedha na Ghaddafi za kujenga msikiti kwao, lakini alizikalia mpaka kafa hajaujenga? Jiulize kwanini?

Kumbe wewe ndio Ngongoseke? Mpunguze basi hizo ID.

Muulize huyo Al Alama Mohamed Said kuhusu mahusiano ya karume na hiyo EAMWS? Na unajua nani alianzisha hiyo EAMWS na kwa nini waswahili katika TANU waliipinga?

Unazungumzia ule msingi uliokuwa Chang'ombe, pesa mkazinywa na baadae mkadhulumiana wenyewe.

Au unazungumzia Chuo Kikuu chenu kinachotia fora mlichopewa baada ya Kafir mmoja kuchukua mali ya umma na kuwapa?

Amandla.....
 
Porojo za mitaani. Nchi yenye waislamu wengi Ulaya ni Ufaransa na wengi ni wakimbizi. Serikali ya huko na wananchi wake wameishawastukia ndio maana Le Pen amefanya maajabu safari hii. Hali kadhalika Uingereza.

watanzania wengi waliojilipua ni kutoka Zanzibar, waislamu wenzako. Cha kujiuliza ni kwa nini wanajilipua katika nchi za magharibi badala ya nchi za kiislamu kama Afghanistan, Pakistan, Yemen, Somalia n.k.!

Kambi kubwa ya wakimbizi duniani iko Dabaad nayo imejaa waislamu wanaowakimbia waislamu wenzao.

Amandla.......
Ngoja nikusaidie kiduchu hizi data zitakusaidia.

Miji ya Ulaya ambayo Uislam unakuwa kwa kasi ya ajabu ni hapa.

1) Amsterdam 14%
2) Antwerp 16%
3) Barcelona 6%
4) Berlin 6%
5) Birmingham 26%
6) Blackburn 28%)
7) Bradford 15%
8) Brussels 15%
9) Cologne 12%
10) Copenhagen 7%
11) Frankfurt 11%
12) Marseille 20%
13) Paris 15%
14) Mancherster 15%
15) Rotterdam 15%
16) London 13%
17) Leicester 18%
18) Malmo 10%
19) The Hague 14%
20) Vienna 8%

Tuishie hapo kwanza bado sijakuwekea Marekani.

Hawa wote ni wakimbizi? ngoja nikuwekee na Masheikh wa Kizungu.
 
Ngoja nikusaidie kiduchu hizi data zitakusaidia.

Miji ya Ulaya ambayo Uislam unakuwa kwa kasi ya ajabu ni hapa.

1) Amsterdam 14%
2) Antwerp 16%
3) Barcelona 6%
4) Berlin 6%
5) Birmingham 26%
6) Blackburn 28%)
7) Bradford 15%
8) Brussels 15%
9) Cologne 12%
10) Copenhagen 7%
11) Frankfurt 11%
12) Marseille 20%
13) Paris 15%
14) Mancherster 15%

Tuishie hapo kwanza bado sijakuwekea Marekani.

Hawa wote ni wakimbizi ngoja nikuwekee na Masheikh wa Kizungu.

Ushahidi, please!

Amandla.....
 
Kumbe wewe ndio Ngongoseke? Mpunguze basi hizo ID.

Muulize huyo Al Alama Mohamed Said kuhusu mahusiano ya karume na hiyo EAMWS? Na unajua nani alianzisha hiyo EAMWS na kwa nini waswahili katika TANU waliipinga?

Unazungumzia ule msingi uliokuwa Chang'ombe, pesa mkazinywa na baadae mkadhulumiana wenyewe.

Au unazungumzia Chuo Kikuu chenu kinachotia fora mlichopewa baada ya Kafir mmoja kuchukua mali ya umma na kuwapa?

Amandla.....

Naona uko kwenye keyboard huku umeshika yale maji yenu mnayaita ya dhahabu,
Usichanganye huyo faiza foxy na mimi Ngongoseke,
Usijali kama hoja nzito omba msaada mbona wenzako wako wengi tu hapa jf!?
 
Last edited by a moderator:
Whereas all foreign nationals who have legally resided in the country for five years have the right to vote in local elections, Moroccans traditionally turn out in low numbers, while turnout among Turks is comparable to that among native Dutch.
After the 2003 elections, there were at least ten MPs from Muslim background among the 150 Members of Parliament,[SUP][13][/SUP] but as few as three among them may have been active believers, while two explicitly classified themselves as ex-Muslims.

Katika wabunge 10 waislamu, watatu ndio waliokuwa wanafuata imani yao kwa dhati na wawili walishajitoa kwenye huo uislamu. Huku ni Netherlands.

Amandla....
 
Back
Top Bottom