FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Bado unaonyesha jinsi gani upeo wako ulivyo mdogo, Tanzania ina makanisa mangapi ya katoliki na huyo Lukuvi ameenda makanisa mangapi na kushangiliwa?
Ina maana ukitokea ujinga fulani kwenye msikiti mmoja au miwili ya sehemu fulani wewe utasema waislamu wa Tanzania nzima wamefanya ujinga huo??? Hizo chuki za kidini hazitaifikisha popote nchi yetu, narudia tena somesheni watoto waje wafikirie namna ya kutatua matatizo ya kiuchumi sio ku-create chuki za kidini ambazo hazijawahi kusaidia mahali popote duniani!!!
Duh. ulitaka William Lukuvi aende makanisa mangapi ndio ujumbe wa hofu yake kwa Uislam ukufikie?