McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,558
Wewe unaongelea mfumo kristo au vyama?
Kumbuka, hata wanga na wachawi wana vyama vyao.
Ivi huu mfumo kristo ambao mnaulalamikia toka uhuru naamini kabla ya uzao wako umekuta wenzako wanalia na wewe umeongeza sauti za kulia na amini nakuambia utaacha kizazi chako na kijacho kikilia kuhusu mfumo kristo maana ndio kitu pekee mnaweza ivi inakuaje nchi hii imepita kwenye mikono ya ma-raisi wa JMT wawili waislamu sahau upande wa ZNZ ambako kiti cha uraisi na almost safu yote ya uongozi ipo chini ya uislamu bado mnalia mnakandamizwa kama sio mawazo mgando,angalia mfn sasa ivi raisi wa JMT na makamu wake na uongozi wa SMZ ni dini gani bado nao wana-support mfumo kristo kama sio mazoea tu ya kulalamika wakati wenzenu wanapiga hatua nyie mnapambana nao hakika kwa kukaa na kulia kama wewe sahau kusogea hata hatua moja na hao unaowalalamikia hautawakuta milele,ivi wakristo wa Tz wanavokaa kimya mnadhani hakuna changamoto?ni vile tunajua vitendo ni msingi sio maneno nasikia fahari kuona hatua zetu na kasi yetu muda sio mrefu tutakaa mbali na nyinyi na hatutosikia tena kelele za vilio vyenu na bado tutakua kwenye ardhi moja ya Tanzania.