Rudi upya ukatafute maana ya "ghost city" kisha uje hapa kuweka ufanano wake na jiji la mwanza.Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Tupe elimu pleaseRudi upya ukatafute maana ya "ghost city" kisha uje hapa kuweka ufanano wake na jiji la mwanza.
Huu ni uhujumu uchumiLeo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Polisi bado wanaweweseka na ile Nguvu ya GenZ.Huu ni uhujumu uchumi
Ghost city maana Yake huoni hata mbwa wala nzi mtaani, hakuna gari wala mtu yoyote, husikii muziki wala sauti yoyote zaid ya sauti ya upepo Tu unavuma.Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Labda angelisema deserted cityRudi upya ukatafute maana ya "ghost city" kisha uje hapa kuweka ufanano wake na jiji la mwanza.
Na bado Tanzania haitakuja kurudi kama mwanzo mpaka jambo litokeeLeo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Acha uongo, I'm legend hakukuwa na ma polisi.Mkuu Kuna movie Moja ya will Smith inaitwa I'm legend ndo palikuwa hivyo mkuu au
Hivi unajua nilichokuwa namanisha au unakurupuka mzeeAcha uongo, I'm legend hakukuwa na ma polisi.
Jiji zima alikuwa yeye na mbwa wake tu
Wanakuwa wameenda wapi hao watu,muziki,mbwa na kwanini ubaki upepo tuGhost city maana Yake huoni hata mbwa wala nzi mtaani, hakuna gari wala mtu yoyote, husikii muziki wala sauti yoyote zaid ya sauti ya upepo Tu unavuma.
Ndio ulichomaanisha mkuu??
Ni kweli hata mm nimeshangaa kutokea nyengezi mpaka nyamongolo watu hawapo mtaaniLeo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Mji unakuwa abandoned, kama ilivyokuwa kwa mji wa Chernobyl mwaka 1986 kule Ukraine baada ya kulipuka kwa power plant ya nuclear na mionzi kuanza kusambaa. Serikali ikahamisha raia wote wa mji ule mpaka Leo yamebaki majumba Tu hakuna mtu anaishi.Wanakuwa wameenda wapi hao watu,muziki,mbwa na kwanini ubaki upepo tu
Amekimbilia kupinga tuHivi unajua nilichokuwa namanisha au unakurupuka mzee
Ongeza na yale mazombie ya kijani!Acha uongo, I'm legend hakukuwa na ma polisi.
Jiji zima alikuwa yeye na mbwa wake tu
Silent inve kaa vemaLabda angelisema deserted