Kutoka kuwa jiji lenye watu wengi hadi kuwa ghost city kwa leo

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu. Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.

Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
 
Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.

Rudi upya ukatafute maana ya "ghost city" kisha uje hapa kuweka ufanano wake na jiji la mwanza.
 
Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Huu ni uhujumu uchumi
 
Ghost city maana Yake huoni hata mbwa wala nzi mtaani, hakuna gari wala mtu yoyote, husikii muziki wala sauti yoyote zaid ya sauti ya upepo Tu unavuma.
Ndio ulichomaanisha mkuu??
 
Na bado Tanzania haitakuja kurudi kama mwanzo mpaka jambo litokee
 
Mkuu Kuna movie Moja ya will Smith inaitwa I'm legend ndo palikuwa hivyo mkuu au
 
Ghost city maana Yake huoni hata mbwa wala nzi mtaani, hakuna gari wala mtu yoyote, husikii muziki wala sauti yoyote zaid ya sauti ya upepo Tu unavuma.
Ndio ulichomaanisha mkuu??
Wanakuwa wameenda wapi hao watu,muziki,mbwa na kwanini ubaki upepo tu
 
Leo jijini Mwanza kumekuwa kama ghost city yaani hakuna watu kbs na baadhi ya maeneo machache tu ndo utakuta watu.
Sikutegemea kuona hili yaani jiji zama limetulia limepigwa baridi kinoma polisi wamejazana kila pahala.
Maduka mengi yamefungwa jiji letu halikuwa hivi asee .
NB: sikupiga picha maana polisi wangezingua
Ni kweli hata mm nimeshangaa kutokea nyengezi mpaka nyamongolo watu hawapo mtaani
 
Wanakuwa wameenda wapi hao watu,muziki,mbwa na kwanini ubaki upepo tu
Mji unakuwa abandoned, kama ilivyokuwa kwa mji wa Chernobyl mwaka 1986 kule Ukraine baada ya kulipuka kwa power plant ya nuclear na mionzi kuanza kusambaa. Serikali ikahamisha raia wote wa mji ule mpaka Leo yamebaki majumba Tu hakuna mtu anaishi.
 
Kwahiyo pale nyegezi Kona na pale mkuyuni pote ni peupe?
 
Back
Top Bottom