Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Nani mwenye cheo kikubwa? Je, mtu kwa mfano akitolewa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa-TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je, anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!

===
 
Nani mwenye cheo kikubwa? je mtu kwa mfano akitolewa kuwa mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa TISS na kupewa u-IGP inakuwa imekaaje? je anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!
Kwamba kishanuka huko ?
 
Kwa situation ya SASA DG wa TISS ana rank ndogo katkika vyeo vya jeshi la Polisi (yeye ni kamishna). Ikitokea akapewa KAZI ya Sirro..ataongezewa cheo na Kuwa IGP cheo ambacho mara nyingi anakua nacho mmoja tuu(Kwa SASA ni wawili) Mangu na Sirro ingawa Sirro ndio kiongozi wa Jeshi Kwa SASA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…