Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Believe or not kwa Sasa mkubwa kuliko wote ni IGP hakuna cha CDF wala nani maana huyo ndio mwenye taarifa za kiinteligensia inayoweka madarakani chama pendwa
 
Hivi ni vyombo vya ulinzi na usalama
  1. Top Mkuu wao ni CinC- Amiri Jeshi Mkuu
  2. CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
  3. DGIS ni Mkuu wa jeshi la usalama
  4. IGP ni Mkuu wa jeshi la polisi
  5. Commissioner of Magereza
  6. Commissioner of Uhamiaji
  7. Commissioner of Zimamoto
  8. Commissioner wa Tume ya madawa kulevya
P
Nafahamu Idara ya Usalama sijawahi kulisikia hili jeshi la Usalama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye kamati ya ulinzi na usalama ya Taifa(Nchi) unajua mwenyekiti ni nani? Na katibu unamjua?
 
Mkuu unajua tunakuamini sana humu,ila sasa unatuchanganya unaposema kuna jeshi la usalama wa taifa,halafu DGTS hawezi kuwa wa tatu kiprotocali kabla ya IGP.
CinC ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,
JWTZ ni jeshi la ulinzi wa nchi, ndilo liko juu,
chini yake kuna TISS ni jeshi la usalama nchi, rais na serikali, sii wengi wanajua kuwa TISS ni jeshi, na DGIS anacheo cha kijeshi!,
Polisi ni jeshi la usalama wa raia ndipo wengine wanafuatia.
P
 
Nafahamu Idara ya Usalama sijawahi kulisikia hili jeshi la Usalama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana TISS wa kuajiriwa ni wajeshi, wanapitia mafunzo ya kijeshi, wanapiga deppo kama jeshi na wana vyeo vya kijeshi na sio vya kipolisi!.

Ndio maana alipomteua polisi kuwa DGIS watu tumeshangaa, kama tulivyoshangaa kumteua mwanasheria kuwa gavana badala ya mchumi!.
P
 
Samahani kiongozi vipi kuhusu mgambo maana wanasemaga nalo ni jeshi
CinC ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,
JWTZ ni jeshi la ulinzi wa nchi, ndilo liko juu,
chini yake kuna TISS ni jeshi la usalama nchi, rais na serikali, sii wengi wanajua kuwa TISS ni jeshi, na DGIS anacheo cha kijeshi!,
Polisi ni jeshi la usalama wa raia ndipo wengine wanafuatia.
P
 
Wana TISS wa kuajiriwa ni wajeshi, wanapitia mafunzo ya kijeshi, wanapiga deppo kama jeshi na wana vyeo vya kijeshi na sio vya kipolisi!.
Ndio maana alipomteua polisi kuwa DGIS watu tumeshangaa, kama tulivyoshangaa kumteua mwanasheria kuwa gavana badala ya mchumi!.
P
Eti kusema Polisi ni junior kwa TISS nakupinga mpaka kifo, juzi tu nimesoma haya mambo.Hata katiba imewasort CDf, igp...
5/5
 
Mgambo, majeshi ya wanyamapori, JKU, KMKM, vikosi vya idara mbalimbali na makampuni ya ulinzi, ni paramilitary au auxiliary, ni majeshi lakini sio commissioned, hivyo yote yako kwenye kundi la migambo
P

Vipi jeshi la zimamoto wapo kwenye kundi gani?????????????
 
Back
Top Bottom