mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Pascal Mayalla,
Aisee wewe mzee,naona umechachawa baada ya membe kulimwa umeme.maana unasema kaonewa.
Toka lini IGP akaripoti kwa waziri wa mambo ya ndani???nenda hata getini ikulu hesabu nani anaingia pale kila siku asubuhi,jiulize kama kuna haja ya kufanya hivyo ikiwa wanakunywa chai wote na waziri wake hapo wizara ya mambo ya ndani.ndio maana hata huyo waziri kichaa akatolewa sababu alisahau mipaka yake.
TISS au DGTISS hakuna mahali anatoa amri,hata sheria inawaagiza watoe taarifa na kushauri tu,kama taarifa ina uzito sana itazunguka iende juu(kwa rais),kisha irudi kama amri.hawana uwezo wa kupeleka amri moja kwa moja polisi,hawana uwezo huo kisheria wala kikatiba.