Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wanakiongozi wao kitaifa Kama ilivyo polisi na jwtz???Mgambo kwa jina lingine wanaitwa Jeshi la Akiba. Nchi inapokuwa kwenye vita na nchi nyingine, hawa wanalitumikia taifa kama wanajeshi wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wakisimama anaanza IGP? kabla ya DGIS?CinC ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,
JWTZ ni jeshi la ulinzi wa nchi, ndilo liko juu,
chini yake kuna TISS ni jeshi la usalama nchi, rais na serikali, sii wengi wanajua kuwa TISS ni jeshi, na DGIS anacheo cha kijeshi!,
Polisi ni jeshi la usalama wa raia ndipo wengine wanafuatia.
P
Seniority ya kijeshi inapimwa na nani mwenye amri, anapokea amri kwa nani,Eti kusema Polisi ni junior kwa TISS nakupinga mpaka kifo, juzi tu nimesoma haya mambo.
5/5
Polisi si alikuwa usalama kwanini mshangae?Wana TISS wa kuajiriwa ni wajeshi, wanapitia mafunzo ya kijeshi, wanapiga deppo kama jeshi na wana vyeo vya kijeshi na sio vya kipolisi!.
Ndio maana alipomteua polisi kuwa DGIS watu tumeshangaa, kama tulivyoshangaa kumteua mwanasheria kuwa gavana badala ya mchumi!.
P
Pamoja na hayoo yoote mwisho wa siku IGP anapokea maagizo kutoka TISS
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa ni mambo ya kiprotokali, hii hutokea hata ZanzibarMbona wakisimama anaanza IGP? kabla ya DGIS?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mzeeComments za vijana wa miaka ya 2000 utazijua tu
Yaani wewe katika binadamu wooote wa kuwatolea mfano ukamuona Ali Kiba kwa haraka haraka
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo TISS agents wameingizwa kote kwenye majeshi na tume...MTU ni luteni Wa jeshi LA Jwtz lakini ndani ni TISS.
Same to magereza,polisi ,takukuru na kwingine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Senior ni IGPNani mwenye cheo kikubwa? je mtu kwa mfano akitolewa kuwa mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa TISS na kupewa u-IGP inakuwa imekaaje? je anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!
Tea tea tuondoke kijana wanguIGP ni mkubwa kuliko DG hata kiitifaki ipo hivyo.CDF, IGP, DG-TISS, CGP..
5/5
Hahaaaa hivi bado hajawa balozi?Kwa situation ya SASA DG wa TISS ana rank ndogo katkika vyeo vya jeshi la Polisi (yeye ni kamishna). Ikitokea akapewa KAZI ya Sirro..ataongezewa cheo na Kuwa IGP cheo ambacho mara nyingi anakua nacho mmoja tuu(Kwa SASA ni wawili) Mangu na Sirro ingawa Sirro ndio kiongozi wa Jeshi Kwa SASA.
Halafu huyo alikuwa soldier na ni kama musibaHivi kumbe kuna jeshi la usalama
Pascal alikuwa ni nangaMkuu unajua tunakuamini sana humu,ila sasa unatuchanganya unaposema kuna jeshi la usalama wa taifa,halafu DGTS hawezi kuwa wa tatu kiprotocali kabla ya IGP.
Mfano wako nikiingilia unaweza kunitia matataniHaya sasa ni mambo ya kiprotokali, hii hutokea hata Zanzibar
Viongozi watatu wakuu wa JMT kitaifa ni Rais, VP na PM, ndipo anafuatia rais wa Zanzibar, lakini ki protokali wakiwa Zanzibar, anaanza rais wa Zanzibar, then rais wa JMT, VP, PM kisha wale VC wawili wa kule, huwezi kusema rais wa Zanzibar ndie mkubwa zaidi ya rais wa JMT kwasababu tuu ametangulia!.
P
Wanatumia utashiNachoona hapa ni vitu viwili wachambuzi hawana majibu ya swali huska ama katiba ipo kimya kwenye hili suala kwahiyo hamna jibu zaidi watu wanatumia utashi wao.