Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Sijajua kama mtoa mada amemaanisha majadiliano na majibu haya yanayotoka au labda uwezo wangu wa kutanzua mafumbo unafifia??
 
Kikawaida kwenye serikali ya kifamilia, baba ndie kichwa cha nyumba na breadwinner, yaani the providers, na hata katika yake, baba ndio huwa juu, mama chini!. Siku hizi kuna wamama wenye mishahara mikubwa kuliko waume zao, na hata kwenye yale, wao ndio huwa juu halafu baba chini, jee ndio wao wanakuwa kichwa?.
P
Hapana hawawi vichwa, lakini kaka unatumia sana utashi wakati hapa tunazungumzia katiba inasemaje? Hata katika mfano wako wa mwanzo nilioukataa ni katiba ndio inazingatiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DG wa TISS ni mkubwa huyo ndo msimamizibwa usalama wa nchi, polisi ambao IGP anawaongoza ni sehemu ya walinda usalama pamoja na majeshi mengine.

Ndo maana katika level za Wilaya DSO kiitifaki ni mkubwa kuliko OCD au RSO kiitifaki ni mkubwa kuliko RPC kwa level ya mkoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaongea vitu msivyovifahamu, TISS ni idara ndogo sana ambayo isipokuwepo Polisi au Jeshi la wananchi wanaweza kufanya

Polisi kuna kitengo ambacho hakina tofauti na TISS

Polisi anaweza kufanya kazi za Tiss ila Tiss hajui lolote kuhusu kazi za polisi

Haya mawazo ni iwapo mtataka tutumie utashi kama mnavyotaka iwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayalla unatoa wapi MAMLAKA ya kudanganya umma namna hii? KWANZA unasema TISS NI jeshi huo ni uongo mkuu Soma kifungu cha 4 Cha TISS ACT YA MWAKA 1996
NA MAJUKUMU YA TISS YAPO KISHERIA SOMA SECT 5 OF TISS ACT 1996

TISS NI KITENGO AMBACHO KIPO CHINI YA OFISI YA RAIS NA DG WA TISS HUTEULIWA NA RAIS

NA IGP VILE VILE HUTEULIWA

BUT DG WA TISS KUTEULIWA NA RAIS HAIMAANISHI NI MKUBWA KWA IGP KWANI RAIS HUTEUA VIONGOZI WENGI SANA WENGINE WANAVYEO VYA CHINI KM MA DED MA DC WENYEVITI WA BODI MBALIMBALI NA KIRANK DG NI KAMISHNA BUT IGP LAZIMA UWE NA CHEO CHA ZAIDI YA KAMISHNA

MFANO HATA KWENYE WILAYA ZETU KUU ZA WILAYA MKITI NI MKUU WA WILAYA KATIBU NI OCD WASHAURI NA DSO NI WAJUMBE TU WAKAWAIDA NA WENGINE KAMA HAOView attachment 1372605

Sent using Jamii Forums mobile app
You nailed it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni vyombo vya ulinzi na usalama
  1. Top Mkuu wao ni CinC- Amiri Jeshi Mkuu
  2. CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
  3. DGIS ni Mkuu wa jeshi la usalama
  4. IGP ni Mkuu wa jeshi la polisi
  5. Commissioner of Magereza
  6. Commissioner of Uhamiaji
  7. Commissioner of Zimamoto
  8. Commissioner wa Tume ya madawa kulevya
P
I wish I could be IGP
 
Nimeshangaa Sana kumbe wengi humu ni weupe kwenye maambo haya nikifika nitawafafanulia kidogo Niko on safari.
 
Labda kwa ufupi Sana mkuu wa nchi ambae ni rais kazi zake na maagizo yake yake yote nyeti hufanywa na tiss
 
Asilimia 80 ya watu wanaochanganganuwa taarifa nyeti za nchi na kumshauri rais namna Bora ya kufikia maamuzi ni tiss
 
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd
 
Ukiangalia ukaaji kwa zama hizi utachemka,nakumbuka enzi mwana pendwa wa DSM kabla ya Sasa alikuwa kwenye ukaaji ni karibu zaidi ya Magu.Na yeye ni RC tu
unazungumzia ukaaji wa namna yoyote au ukaaji wa kijeshi? (rank)
Makonda yeye anajikalia popote na hata hao Maaskari wake anaoongozana nao hata hawapi Heshima za kijeshi anajiona yeye ni Mkuu akimfuata Rais kwa Cheo
Kijeshi IGP ni juu ya TISS
 
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd

Mkubwa tofautisha matamanio, fikra na katiba.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Kuna classified info ambazo hata igp hatakaa azijue milele jamani cc tule ugali tushibe tylale mengine waacheni tiss waitwe tiss na mjue tiss sio tsd
TISS ni kitengo kilichopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani (ya Simbachawene)
na hutoa kitengo maalum kwa ulinzi wa Viongozi akiwemo Rais, Waziri Mkuu wakuu wa Wilaya nk
sasa ukiona wale walinzi walivyojipanga km wa Obama, wa Gadaffi, au wa Kabila basi unajua saa zote wanaongea na Viongozi wao, hapana wapo watu maalum kisheria
hivyo IGP bado kwa Rank ni juu yao

Kuna jamaa katuwekea PDF hebu ifungue na usome kazi za TISS
https://www.jamiiforums.com/data/at...964_TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
(5) The Director-General shall, subject to this Act and to any directions of a general or specific character given by the President, be the chief executive officer of the Service and responsible to the Minister for the efficient and proper working of the Service.
11.-(1) For the purposes of giving directions under section
10, the Minister may issue to the Director-General written directions with respect to the Service and a copy of any such direction shall, as soon as it is issued, be furnished to the Chief Secretary.
(2) The Director-General shall consult with the Minister on matters concerning-
(a) The general operational policies of the Service; and​
cc Evarist Chahali
 
Yani katika watu wasiojua walinenalo humu kwenye huu Uzi ni pamoja na wewe yani tiss IPO chini ya Mambo ya ndani na wale wavaa suti PSU wako chini ya simbachawene serious....!? Nishaona wengi humu hatujui kitu nashauri huu uzi ufungwe umejaa ukanjanja !
Lugha ni muhimu kwako kwani nimekuambia fungua PDF uijue TISS (Tanzania Intelligence Security Service)
https://www.jamiiforums.com/data/at...964_TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
Tatizo wewe unawajua jamaa wa Ikulu Magogoni tu, wakati wametapaa kila kona, Nachingwea, Kondoa, Karagwe Arusha nk soma kazi zao sio kuangalia hao wanaovaa magwanda na silaha
nimekuelewesha hicho kitengo cha Magogoni ni cha ulinzi wa Kiongozi kikisaidiana na wengine chini ya Director anayewasilisha shughuli kwa Rais ambaye atapata ushauri au kuwasiliana na Waziri wa Mambo ya ndani. (tafsiri yangu)
(4) The Service may, with the approval of the President after consultation with the Minister for Foreign Affairs, enter into an arrangement with the government of a foreign state or an international organization of states authorizing the service to provide the government, institution or organisation with security assessment.
Lugha ikigongana bora UZI ufutwe
1583123065991.png

Rais John Magufuli akizungumza na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama na wengine kutoka Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma waliohudhuria hafla ya kuapishwa kwa Kamishna Diwani Athuman Msuya (wa tatu kutoka kushoto) kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam jana. Picha na Ikulu
anagalia Vyeo kuanzia kushoto kwenda kulia
 
Back
Top Bottom