Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa wanaramba payroll marambili au ?Yaaani kama vile jamaa wa TISS awe ni DPP,atakula Mshahara wa DPP na TISS?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa situation ya SASA DG wa TISS ana rank ndogo katkika vyeo vya jeshi la Polisi (yeye ni kamishna). Ikitokea akapewa KAZI ya Sirro..ataongezewa cheo na Kuwa IGP cheo ambacho mara nyingi anakua nacho mmoja tuu(Kwa SASA ni wawili) Mangu na Sirro ingawa Sirro ndio kiongozi wa Jeshi Kwa SASA.
CinC ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama,
JWTZ ni jeshi la ulinzi wa nchi, ndilo liko juu,
chini yake kuna TISS ni jeshi la usalama nchi, rais na serikali, sii wengi wanajua kuwa TISS ni jeshi, na DGIS anacheo cha kijeshi!,
Polisi ni jeshi la usalama wa raia ndipo wengine wanafuatia.
P
Mistake tu inatakia ianze CDF--->DGTS--> IGP--->CGP-->CGFNani mwenye cheo kikubwa? Je mtu kwa mfano akitolewa kuwa mkurugenzi mkuu wa idara ya usalama wa taifa TISS na kupewa U-IGP inakuwa imekaaje? Je anakuwa kapanda cheo au kashushwa cheo nani mkubwa kati ya Mkurugenzi wa TISS na IGP maana duh.!
===
Ukiangalia Protokali ya ukaaji wao katika hafla mbalimbali huwa anaanza CDF, IGP ndo anafata DG TISS.
Kwa mtiririko huo Inawezekana IGP akawa yupo juu ya DG.
Mimi nilishangaa kusikia Mbwana Samata nae ni TISS bila kumsahau Diamond .
NaHivi Mangu kaishia wapi ?
DG TISS na IGP vyeo vyao vimefanana hata mishahara yao imelingana tofauti ni ya majukumu yao(ingawaje wote ni maafisa usalama)
Labda kwa ufupi Sana mkuu wa nchi ambae ni rais kazi zake na maagizo yake yake yote nyeti hufanywa na tiss
Ndio wana kiongozi wao amabaye kwa sasa ni meja jenerali ndio kiongozi wa jeshi la akiba.Je wanakiongozi wao kitaifa Kama ilivyo polisi na jwtz???
umeisoma PDF ya TISS au na wewe una mahaba na hicho kikosi maalum kinachomlinda RaisHaiwezekani TISS iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani hata kwa akili ya kawaida..maana tiss inahusika na usalama hata kutokea nje ya nchi, kwa sababu kwa tz hakuna idara tofauti inayohusika na intel za kimataifa kama CIA au MI6, but usalama wa ndani na nje zote ziko tiss..
Sasa haiwezekani iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani wakati inahusika na mambo ya nje
Ofisi ya Rais, Utumishi na utawala bora.Hivi TISS ipo wizara gani? naomba mnisaidie hapo
Mkuu swali la UELEWA TUNikuulize. Swali dogo tu kama unauelewa pale ikulu magogoni au dodoma chamwino polisi kwa maana ya TP na TISS nani wapo kwenye uwakilishi na utumizi mkubwa kwenye ofisi ya rais ambayo ndio ofisi takatifu ya taifa ? Hivi unazijua ikulu lakini au unaongea kama paskali ?
Hapo mwenyewe nimeshindwa kuelewa mkuu.Hivi kumbe kuna jeshi la usalama
Mkuu wa jeshi la kujenga Taifa Jkt mbona hujamuweka hapo?Halafu hukupanga kwa itifaki
1.MKUU WA MAJESHI-CDF
2.MKUU WA JESHI LA POLISI-IGP
3.MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA DG-TISS
4.COMMISIONER GENERAL OF PRISON-CGP
5.COMMISIONER GENERAL OF FIRE- CGF
6.COMMISIONER GENERAL OF IMMIGRATION-CGI
7.DG-TAKUKURU
8.MKURUGENZI WA KUZUIA MADAWA YA KULEVYA.
Hivi ndio vyombe vya ulinzi na usalama kwa itifaki yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mgambo wana mafunzo ya kivita,wako chini ya JWTZ.Ndio maana kila mkoa kuna mshauri wa mgambo ambaye ni afisa wa jeshiHa ha haaa Mgambo Ni Popo.Wakati wa amani wanakua chini ya WIZARA YA MAMBO YA NDANI wakati wa Vita wanakua chini ya WIZARA YA ULINZI NA JKT