Comrade 01
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 601
- 626
JKT ni kamandi (sehemu) ya JWTZ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JKT ni kamandi (sehemu) ya JWTZ
Mfano mzuri Diwan alivyokua na vyeo vitatu......polisi anakula,tiss anakula na kile cheo kingine cha kutokomeza rushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
umeisoma PDF ya TISS au na wewe una mahaba na hicho kikosi maalum kinachomlinda Rais
TISS haipo Ikulu ipo Tanzania nzima na ninaye shemeji yangu wa kike kapewa Wilaya.
Hawa Intelijensia wana kazi nyingi na imeainishwa watakuwa chini ya Waziri wa Mambo ya Ndani, kwa masurufu, uwajibikaji nk, ingawa kuna Member kasema wamehamishiwa kwa Mkuchika (Utumishi na Utawala Bora) ambapo hata January Makamba na Simbachawene wizara yao ilihamishiwa kwa Makamu, hata TAMISEMI ya Mh Jaffo ilikuwa kwa Waziri Mku sasa ipo kwa Rais ni mabadiliko tu ya maamuzi ya Rais
Jeshini kuna kitengo cha Makomandoo, MPs basi mkiwaona hao ndio Jeshi lenyewe kuwa litapiga vita peke yake? maana umefananisha na CIA na M16
Walinzi wa Rais ni kitengo kilichopo TISS Magogoni nk lkn kila Wilaya TISS wapo
MY TAKE
Kwenye Mada inaulizia kutoka Ukurugenzi wa TISS kwenda IGP imekaaje - mm nasema ni kupanda Cheo
Mkurugenzi ana cheo cha chini ya IGP (Sirro na Mangu wapo sawa kwa sasa hapa Nchini
lkn Diwani Msuya yupo Chini mpaka apandishwe / kuvishwa beji na Rais) angalia hapo IGP ana mikasi, Ngao na Bibi & Bw wakati Diwani hana Mikasi
View attachment 1375167 View attachment 1375181View attachment 1375169
Ukwaju,
Mbona unanilisha maneno, wapi nimesema TISS iko ikulu inamlinda rais?? Uwe unaelewa basi ukielekezwa, nimesema TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu:-
Wizara ya mambo ya ndani kama inavyoitwa inahusika na mambo ya ndani ya nchi, ie usalama.. TISS inafanya kazi za usalama wa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,
Nimekupa mifano ya CIA na MI6 kuwa hvyo no vitengo vinavyosimamia intelijensia za kimataifa tu. Kwa sababu kuna vyombo vinavyohusika na usalama wa ndani kwenye nchi zao ie. FBI, MI5 no
Tofauti na hizo nchi Tz tuna chombo kimoja (TISS) ambacho kinachohusika na usalama wa nje ya mipaka na wa ndani ya mipaka
Kwa hyo TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu kazi zake zinavuka nje ya mipaka ya Tanzania.
Sasa usilete habari zako za shemeji yako wa kike aliyepewa wilaya
Huwa navyoona wakikaa kiprotokali;
1. Mkuu wa majeshi. CDF
2. IGP.
3. Usalama wa Taifa.
4. Kamishna Uhamiaji.
5. Kamishna Magereza.
6. Kamishna Fire.
7. Kamishna madawa wa kulevya.
nimecheka saana.
JKT wapo chini ya JWTZ mkuu..
Nani kakudanganya mgambo wanamafunzo ya kivita?Mgambo wana mafunzo ya kivita,wako chini ya JWTZ.Ndio maana kila mkoa kuna mshauri wa mgambo ambaye ni afisa wa jeshi
Kumbe tatizo ni kubwa kuliko nilivyokua nafikiria, kwa hiyo polisi wa kimataifa Interpol iko chini ya wizara ya mambo ya ndani ya Tzhata Polisi pia wanafanya kazi mpaka nje ya nchi ya Tanzania, ndio maana kuna Polisi wa kimataifa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya mwaka 1996 TISS (UWT) kuanzishwa ilikuwa chini ya Wizara ya Mambo ya ndani na mpaka leo wengi wa maafisa waliokuwa huko ni POLISI mishahara na masurufu yako huko,Mimi nakuunga mkono wewe, hata mishahara wanayopata ni ya mambo ya ndani ya nchi japo kuna ka upendeleo fulani hivi wanapata kutoka ikulu ila hawana tofauti na Polisi .
Pale Ikulu kwenye ulinzi wa Rais kuna aina tatu za Walinzi, wengi wanawaita TISS lkn kuna JWTZ makomandoo, inner circle wakifuatiwa na TISS na POLISI na hata mavazi silaha na escort vinajionesha kabisa,TISS enzi za mkoloni na Nyerere iliitwa SPECIAL BRANCH ndani ya Jeshi la Polisi na walikuwa wakiripoti kwa Mkuu wa Polisi sasa sheria ilipotungwa ndiyo ikaanzishwa Idara yao ikiwa na kazi ya kukusanya taarifa mbalimbali na kushauri nini kifanyike lakini pia siyo lazima ushauri wao utekelezwe,sasa kumfananisha mkuu wa polisi eti ni mdogo kwa wa tiss ni kosa sana,jua tu majeshi haya yote yana vitengo kama tiss na hata mfano nchi ikapinduliwa mkuu hizi idara huwa zinapalaganyika kabisa.Toa mahaba yako kwa Idara na angalia uhalisia wa mambo.
Mgambo na JKT ndio Infantry wa kwanza kabisa wanaotangulia mstari wa mbele katika Vita wakiwa katika Section yenye watu 9 Mjeshi anaweza kuwa Koplo (Section Commender) ndani ya PlatoonNani kakudanganya mgambo wanamafunzo ya kivita?
Sawa lakini Ni kweli kuwa wakati wa amani wanakua chini ya Mambo ya ndani wakati wa Vita wanakua chini ya W Ulinzi.Mgambo wana mafunzo ya kivita,wako chini ya JWTZ.Ndio maana kila mkoa kuna mshauri wa mgambo ambaye ni afisa wa jeshi
" MFANO HATA KWENYE WILAYA ZETU KUU ZA WILAYA MKITI NI MKUU WA WILAYA KATIBU NI OCD WASHAURI NA DSO NI WAJUMBE TU WAKAWAIDA NA WENGINE KAMA HAO"
Hapana umetulisha matango pori
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wakati wa Vita ni wote wanakuwa Wanajeshi hata kama wapo Mambo ya ndani, ndio maana Darfur POLISI walikwenda wengi, zipo kazi hukoSawa lakini Ni kweli kuwa wakati wa amani wanakua chini ya Mambo ya ndani wakati wa Vita wanakua chini ya W Ulinzi.
Gavana alimteua mwanasheria kwa sababu amesoma Economic Law na ni Profesa. By the way, Gavana aliyepita alikuwa mchumi kweli?Wana TISS wa kuajiriwa ni wajeshi, wanapitia mafunzo ya kijeshi, wanapiga deppo kama jeshi na wana vyeo vya kijeshi na sio vya kipolisi!.
Ndio maana alipomteua polisi kuwa DGIS watu tumeshangaa, kama tulivyoshangaa kumteua mwanasheria kuwa gavana badala ya mchumi!.
P
Hivi watu wanabishana hivi kwa nini? Katiba imeenda wapi? Huu mjadala kwa upande mwingine unaonyesha kuwa watu tulitamani sana kuwa sehemu ya taasisi hizi ila kwa bahati mbaya hatukubahatika. Mimi mwenyewe hapa nilipo, nilitamani sana kuwa JW au Polisi lakini sikubahatika!Ukwaju,
Mbona unanilisha maneno, wapi nimesema TISS iko ikulu inamlinda rais?? Uwe unaelewa basi ukielekezwa, nimesema TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu:-
Wizara ya mambo ya ndani kama inavyoitwa inahusika na mambo ya ndani ya nchi, ie usalama.. TISS inafanya kazi za usalama wa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania,
Nimekupa mifano ya CIA na MI6 kuwa hvyo no vitengo vinavyosimamia intelijensia za kimataifa tu. Kwa sababu kuna vyombo vinavyohusika na usalama wa ndani kwenye nchi zao ie. FBI, MI5 no
Tofauti na hizo nchi Tz tuna chombo kimoja (TISS) ambacho kinachohusika na usalama wa nje ya mipaka na wa ndani ya mipaka
Kwa hyo TISS haiwezi kuwa chini ya wizara ya mambo ya ndani kwa sababu kazi zake zinavuka nje ya mipaka ya Tanzania.
Sasa usilete habari zako za shemeji yako wa kike aliyepewa wilaya