Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Labda kwa ufupi Sana mkuu wa nchi ambae ni rais kazi zake na maagizo yake yake yote nyeti hufanywa na tiss
Diwani Athumani ni kutoka POLIISI Wizara ya Mambo ya ndani, alishhawahi kuwa RPC Mbeya, Mkuu wa TAKUKURU, akitokea Kagera, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai DCI na zote zipo chini ya Mambo ya ndani soma Mwananchi wametafsiri majukumu yake kwa Waziri wake na Rais au Waziri yeyote
Njia walizopita mabosi hawa Usalama wa Taifa
Magufuli amteua Diwani kuwa bosi Usalama wa Taifa
1583124412961.png
 
Tiss ndo mkubwa wa woote. Kazi yake ni ya kimya kimya. Hana uniform wala cheo kinachoonekana. Tiss wanaachwa hivyo hivyo. Hao tiss ndo wanapendekeza majina ya hao ma IGP, CDF , na hata Rais wa nchi anaoendekezwa na TISS. TISS NI USALAMA WA NCHI KWA UJUMLA. TISS WAPO JESHINI.POLISI.MAGEREZA, MPAKA IKULU
Acha kucheza na Igp, angalia wanavyosimama kiprotokali wakiwa na rais, Mkurugenzi wa Tiss anakaa mbali sana

CDF, IGP.......

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tiss ndo mkubwa wa woote. Kazi yake ni ya kimya kimya. Hana uniform wala cheo kinachoonekana. Tiss wanaachwa hivyo hivyo. Hao tiss ndo wanapendekeza majina ya hao ma IGP, CDF , na hata Rais wa nchi anaoendekezwa na TISS. TISS NI USALAMA WA NCHI KWA UJUMLA. TISS WAPO JESHINI.POLISI.MAGEREZA, MPAKA IKULU

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kila kiu, kama wasipoelewa hapo watakuwa na matatizo makubwa.
 
N
Umemaliza kila kiu, kama wasipoelewa hapo watakuwa na matatizo makubwa.
Nimewaeleza ila kwa makusudi Kuna watu wa hivyo vitengo humu wanapotosha makusudi ; vetting zote nyeti nchi hii zinafanywa na tiss halafu useme dgi wa tiss ni mdogo utakuwa na MAPUNGUFU makubwa akilini hebu angalia polisi wote 99% wanawaogopa tiss lakini huwezi kuta tiss anamwogopa polisi katu labda amjue ni mwanakitengo mwenzake wa higher rank halafu ukubwa wa tiss hauonekani kwa macho Bali kwa impact nimeshangaa hata PASKAL ameshindwa kulielezea hili what matters ni impact na sio protocol zinazooneka kwa macho!
 
Wale viongozi wwa vyombo vya ulinzi na usalama wote wamependekezwa na DGIS ndio wajue sio mtu wa mchezo mchezo. Hata kwenye ngazi ya mkoa RSO huwa hawamzungumzii ila ana nguvu sana katika ngazi ya mkoa na viongozi wote katika ngazi ya mkoa wanatambua nguvu yake.
 
TISS ni kitengo kilichopo chini ya Wizara ya Mambo ya Ndani (ya Simbachawene)
na hutoa kitengo maalum kwa ulinzi wa Viongozi akiwemo Rais, Waziri Mkuu wakuu wa Wilaya nk
sasa ukiona wale walinzi walivyojipanga km wa Obama, wa Gadaffi, au wa Kabila basi unajua saa zote wanaongea na Viongozi wao, hapana wapo watu maalum kisheria
hivyo IGP bado kwa Rank ni juu yao

Kuna jamaa katuwekea PDF hebu ifungue na usome kazi za TISS
https://www.jamiiforums.com/data/at...964_TZ_Intelligence_Security_Services_Act.pdf
(5) The Director-General shall, subject to this Act and to any directions of a general or specific character given by the President, be the chief executive officer of the Service and responsible to the Minister for the efficient and proper working of the Service.
11.-(1) For the purposes of giving directions under section
10, the Minister may issue to the Director-General written directions with respect to the Service and a copy of any such direction shall, as soon as it is issued, be furnished to the Chief Secretary.
(2) The Director-General shall consult with the Minister on matters concerning-
(a) The general operational policies of the Service; and​
cc Evarist Chahali
Haiwezekani TISS iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani hata kwa akili ya kawaida..maana tiss inahusika na usalama hata kutokea nje ya nchi, kwa sababu kwa tz hakuna idara tofauti inayohusika na intel za kimataifa kama CIA au MI6, but usalama wa ndani na nje zote ziko tiss..

Sasa haiwezekani iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani wakati inahusika na mambo ya nje
 
Yaani umetushangaa kutokujua alafu kumbe na wewe hujui lolote.
Hivi kumshauri Rais ina maanisha wewe ni mkubwa sana kuzidi?
Hivi kweli mshauri wa Rais tuseme kwenye masuala ya afya tuseme anaweza kuwa mkubwa kumzidi Ummy?
Kweli IGP aongozaye Jeshi la Polisi awe chini ya Mkurugenzi wa Idara tena wenye mafunzo ya Jeshi Usu?
Nchi nyingi sana idara ya usalama wa taifa unakuta iko ndani ya Jeshi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unadhani mshauri wa rais wa mambo ya afya ni daktari wa kawaida??
 
N
Nimewaeleza ila kwa makusudi Kuna watu wa hivyo vitengo humu wanapotosha makusudi ; vetting zote nyeti nchi hii zinafanywa na tiss halafu useme dgi wa tiss ni mdogo utakuwa na MAPUNGUFU makubwa akilini hebu angalia polisi wote 99% wanawaogopa tiss lakini huwezi kuta tiss anamwogopa polisi katu labda amjue ni mwanakitengo mwenzake wa higher rank halafu ukubwa wa tiss hauonekani kwa macho Bali kwa impact nimeshangaa hata PASKAL ameshindwa kulielezea hili what matters ni impact na sio protocol zinazooneka kwa macho!
Raia haogopwi! ila nasikia wanachohofia hao mapot, TIss ni wambea.

5/5
 
Haiwezekani TISS iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani hata kwa akili ya kawaida..maana tiss inahusika na usalama hata kutokea nje ya nchi, kwa sababu kwa tz hakuna idara tofauti inayohusika na intel za kimataifa kama CIA au MI6, but usalama wa ndani na nje zote ziko tiss..

Sasa haiwezekani iwe chini ya wizara ya mambo ya ndani wakati inahusika na mambo ya nje
Mjinga anaelezwa kwa fimbo kama hizi ulizompa
 
Umeona sasa ulivo mkuu? Hata kwenye familia mtoto wa mwisho awe ndiyo anailea familia na baba na mama wapo utasema mtoto ndiyo mkubwa?
TISS enzi za mkoloni na Nyerere iliitwa SPECIAL BRANCH ndani ya Jeshi la Polisi na walikuwa wakiripoti kwa Mkuu wa Polisi sasa sheria ilipotungwa ndiyo ikaanzishwa Idara yao ikiwa na kazi ya kukusanya taarifa mbalimbali na kushauri nini kifanyike lakini pia siyo lazima ushauri wao utekelezwe,sasa kumfananisha mkuu wa polisi eti ni mdogo kwa wa tiss ni kosa sana,jua tu majeshi haya yote yana vitengo kama tiss na hata mfano nchi ikapinduliwa mkuu hizi idara huwa zinapalaganyika kabisa.Toa mahaba yako kwa Idara na angalia uhalisia wa mambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikuulize. Swali dogo tu kama unauelewa pale ikulu magogoni au dodoma chamwino polisi kwa maana ya TP na TISS nani wapo kwenye uwakilishi na utumizi mkubwa kwenye ofisi ya rais ambayo ndio ofisi takatifu ya taifa ? Hivi unazijua ikulu lakini au unaongea kama paskali ?
 
Back
Top Bottom