Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Hao ni vilaza sana tunafanya nao kazi huku hakuna kitu
 
Hao ni vilaza sana tunafanya nao kazi huku hakuna kitu
Mimi ninaishi karibu na Ofisi yao hazizidi mita 150, jioni tupo nao hawakufichi kitu km akiamua na wala si kwa kumpa nyama na kilagi ni watanzania wenzetu, wapo waliostaafu lakini unaa unaendelea,
labda niseme sasa ni amani tupu na woga pia
 
Oh! Kumbe hata mpangilio wa vyeo unatambua mkuu.
 
Uliulizwa ulishamjibu mkuu?

Cc Pascal Mayalla
 
Swali kwani IGP hawezi kuwa TSS?. Kama anaweza je anaripoti kwa nani? Na kama hawezi kwa nn?
 
Kwa matukio Tanzania iliyopitia ni uzembe wa kipilimba, ila baada ya kuingia Mh. Diwani kidogo idara imeimalika kiasi chake ila bado. Tutarajie utendaji wa hali juu kwa siku zijazo.
 

Naomba link ya yule mjeda aliyekamatwa uwanjani kwa kutumia vocha
 
Na Wanawake Je? Maana huwa nasikia wanasema "wanawake ni jeshi kubwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…