Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

Kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS na kuwa IGP hii imekaaje?

ee bwana we hao watu walikuwa wakihesabu hata visoda vya bia unazokunywa enzi hizo
uwape watahesabu uwanyweshe watahesabu
na walivyotapakaa huwezi kuwajua, ukikumbuka ya Ulimboka, Roma, Clouds hata ya Mbunge kutwanga risasi ni kumuchia Mungu tu
ni Dude lililotapaa kila kona
Hao ni vilaza sana tunafanya nao kazi huku hakuna kitu
 
Hao ni vilaza sana tunafanya nao kazi huku hakuna kitu
Mimi ninaishi karibu na Ofisi yao hazizidi mita 150, jioni tupo nao hawakufichi kitu km akiamua na wala si kwa kumpa nyama na kilagi ni watanzania wenzetu, wapo waliostaafu lakini unaa unaendelea,
labda niseme sasa ni amani tupu na woga pia
 
Hivi ni vyombo vya ulinzi na usalama
  1. Top Mkuu wao ni CinC- Amiri Jeshi Mkuu
  2. CDF ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
  3. DGIS ni Mkuu wa jeshi la usalama
  4. IGP ni Mkuu wa jeshi la polisi
  5. Commissioner of Magereza
  6. Commissioner of Uhamiaji
  7. Commissioner of Zimamoto
  8. Commissioner wa Tume ya madawa kulevya
P
Oh! Kumbe hata mpangilio wa vyeo unatambua mkuu.
 
Pascal Mayalla, inaonekana muundo wa TISS kisheria ulifanyiwa kazi wakati wa Rais Mkapa.

Either huku nyuma taasisi hiyo ilikuwa chini ya Mzee Mzena, Col. Hassy Kitine, Ag DGIS Augustine Mahiga, Lt. Gen. Imran Kombe then mabadiliko kisheria yakafanyika wakati wa Apson.

Je wakati huo, kitengo kisheria kilikuwa kikitambulika kwa jina gani??

Naomba kuwasilisha


Sent using Jamii Forums mobile app
Uliulizwa ulishamjibu mkuu?

Cc Pascal Mayalla
 
Swali kwani IGP hawezi kuwa TSS?. Kama anaweza je anaripoti kwa nani? Na kama hawezi kwa nn?
 
Unaweza ukawa na sababu kusema hivyo lakini pia idara inaonekana imezidi kuwa bora siku hadi siku,kuteteleka kupo kwa taasisi yoyote ile ila mpaka sasa idara imepiga hatua sana.

Hata nchi zilizo na nguvu za kijeshi duniani tumeona ni namna gani idara zao za kijasusi zilivyoyumba mara kwa mara na kutoa mwanya kwa maadui kutekeleza yao.

Mfano shambulio la WTC miaka ile NY na PENTAGON idara za ujasusi hasa CIA walikuwa na taarifa za kutokea kwa mashambulio nchini mwao ila kwa sababu walizozijua wenyewe viongozi wa CIA na FBI hawakuwa wakishea taarifa za kijasusi hadi dakika za mwisho wakapigwa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa matukio Tanzania iliyopitia ni uzembe wa kipilimba, ila baada ya kuingia Mh. Diwani kidogo idara imeimalika kiasi chake ila bado. Tutarajie utendaji wa hali juu kwa siku zijazo.
 
Ok nakukubali Kamanda, mm nilizoea yale ya kizamani ya Platoon kuwa na askari 27 section 3 Redio na Platoon Commender. kumbe kuna section Commender mbeba RPG
Nakushukuru kwa ufafanuzi ila kutokana na majeshi na Nchi au operation za Nchi tofauti section inaweza kuanzia askari wa4 mpaka 15

Naomba link ya yule mjeda aliyekamatwa uwanjani kwa kutumia vocha
 
Na Wanawake Je? Maana huwa nasikia wanasema "wanawake ni jeshi kubwa"
 
Back
Top Bottom