nimekukumbuka pia baba paroko. kamchina kalizingua bana yaan kamchina kaliporudi kuwa fresh ile kufungua jf nakuta holaa! nikakutana na litaarifa duuh nikanunaje sasa!
king please i love u so much without u am nothing
kwani mie ni mama Maria hadi nikuhurumie?!!?
toooobaaaa roho yangu!kuuumbeeee pacha?
ohoooops mom afadhali uwe around maana
Na leo nimejinywea campary tu,ningetupia ile kitu kali,nikapiga cha arusha ungelia,rudi nyumbani kungwiyo akutafuta!afu mamii utasababisha niachike bwana ukishakunywa tabu tupu
Wewe ni zaidi yake .......lol!
pacha nini tena? Tumeokoka na tunampenda Yesu.
Mambo???
Kunajambo naomba nikunong'oneze..
hahahahahaaaa
hao wako wakisha kuja naomba Vin Diesel Bishanga na Chimbuvu waje wabebe watoto wao honey sasahivi ni zamu ya kulea watoto wako
Pouwa!
Ninong'oneze tu ila angalia usije ning'ata sikio
Aiseee!,kumbe na akina naniliii wana baba zao?afu haka kamiss neddy baba ake atakua bishanga tu,katoto kabishiiiii!
inamaana baba paroko ndio anamendea mtt wetu?maparoko wanaoa kwani cku hizi?sijaenda kanisani cku nyingi usikute sheria zimebadilishwa mi sijui!