Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
nimekukumbuka pia baba paroko. kamchina kalizingua bana yaan kamchina kaliporudi kuwa fresh ile kufungua jf nakuta holaa! nikakutana na litaarifa duuh nikanunaje sasa!
Yaani we acha kidogo nikimbizwe bugando kwa presha maana kukosekana kwa JF ni balaa
Ila kwa sasa nafurahi kukuona hapa!!