Kutoka kwa Mtanzania mwenzetu Twahir Abbas

Prof.Lumumba Huwa anasema hivi "If you will find someone spending one hour explaining what he has done, then he has done nothing. When you have done something you need to shut up and things that you have done they will speak for themselves"
 

Attachments

  • prof Lumumba.mp4
    730.1 KB
Huyu mchaga mpuuzi tu
 
Asante mtoa mada kwa maelezo yaliyonyooka. Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam.
 
Sasa kwa maelezo hayo ya huyo Msomi wetu, watu kama akina magufuli watakumbukwa kwa lipi! Kwa kutuletea udikteta na mataga, au!!

Mtangulizi wake JK nae alianza vizuri kwenye mchakato wa Katiba Mpya, lakini mwisho wa siku akakengeuka!
JK alijinyima fursa nzuri na kubwa ya kutuachia Katiba Mpya kwa kukubali kughilibiwa na Mzee Mkapa,yaani mabilioni yooote yale yaliyotumika kwenye awamu mbili za Tume ya Jaji Warioba na kugharamia Bunge Maalum la Katiba tukaambulia patupu. Lodilofa naye apokee vitasa tu huko aliko.
 
Aliyewabatiza Chadema nyumbu aliona mbali ni mijitu mijinga isiyojitambua kabisa
 
Freddie Matuja, you are a victim of one sided Magufuli propaganda. It's like a carcinomatous disease, we can't help.

All that you think are improvements in mining contracts is mere manipulation of the status quo to the gullible Magufuli and inexperienced top Govt negotiator in the name of Prof Kabudi. You need an advanced accounting knowledge to comprehend the terms that were unilaterally developed by Barrick
 
Mkuu Kalamu,
Shilingi ina sura mbili na kampuni ina assets na liabilities. Kwa ni wema upo kwa JPM mimi nimejikita kwenye mazuri aliyofanya, simzuii mtu anaeona upande wa pili wa shilingi.

Hata JK ambae watu tulidhani tuko huru sana, Kibanda na Dr. Ulimboka walikutana na maswahibu na sote tunamshukuru Mungu walipona japo kuna muandishi wa Channel 10, David Mwangosi aliuwawa mbele ya polisi ambao wanadhamana ya kulinda amani.

Juzi UN wametoa tribute ya JPM, sio kwamba hawajui au hawakumbuki ni yapi alifanya hayakurandana na matarajio ya UN, yet wali-embrace mazuri aliyofanya na yanaweza kuigwa na waliopo kwenye utawala na wale watakaokuja kutawala mbele ya safari.

Tofauti za kifikra ni ubinadamu na ni afya kwenye jamii kutofautina ila sio kwa extent ya matusi. Staha ni utu
 
Umeandika vizuri sana....
akili pana inaweza kuelewa but I bet akili za kuvukia barabara haziwezi kuelewa kabisa
 
Twiga Corporation were born out of negotiations; better try to approach the woman you love and entice to marry her rather than complain.
Before JPM, Tanzania gov has neither been in the board nor corporation executive committee. His efforts was worth embracing and celebrating. If JK and Benard Membe could have managed to do that, I could have celebrated that victory as long as they corporation formed Tanzania become shareholder and not family members of a few politicians.
 
Aliyewabatiza Chadema nyumbu aliona mbali ni mijitu mijinga isiyojitambua kabisa
Wewe parachichi unahangaika sana na Chadema, mabosi wako wamekufumua fumua marinda bila kukupa cheo hasira unatukana ovyo. Laana hiyo kukubali kuingiliwa kinyume cha maumbile,Mungu hapendi ndiyo maana aliitia kiberiti Sodoma na Gomora, wewe endelea kuliwa tu utaona mwisho wake.
 
Kujenga shule, barabara na kadahlika siyo legacy, huo niwajibu kwa kiongozi yeyote awae.Huo in mkataba kati yake na wananchi, inaitwa social contract.
Sasa si itakuwa kichekesho kama utawekwa madarakani for public interest na ukafanya kadri ya makubaliano kisha ukaita kuwa ni legacy?
Legacy ni kitu extraordinary anachofanya MTU nje ya mkataba kati ya mtawala na wananchi mkuu.
 
Forgiving 190 billions USD in exchange for only 16% is ridiculous!
 
Hivi kuna mahusiano gani ma dokta wanaume na ufugaji wa nywele .kwa mfano huyo na dokta maro wa clouds fm
 
Reactions: BAK
Huyu jamaa apewe ulinzi moja kwa moja kutoka ikulu, kaongea fact, watu wanapigania miundombinu ambapo hata wakoloni hatuwakumbuki kwa reli ya kati waliyoiacha na isitoshe miradi yetu hii ilikua ya 10%. Mfukoni leo useme tuotetee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…