Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Forgiving 190 billions USD in exchange for only 16% is ridiculous!
Binadamu lazima aongee. JK alikuwa anawashawishi watanzania wa ughaibuni warudi nyumbani ili wajenge nchi yao.Ndio maana hata maraisi wa awamu 4 kabla ya awamu ya tano walitekeleza kuyafanya hayo
Walijenga barabara,shule,huduma za afya na mengine mengi
Lakini imekua big deal kwa awamu ya 5 WHY??????????????????????????????????????
Mnataka kutuamini nini
Mnataka kusimika nini
Mnataka kufuta nini
Mkapa alituacha na mrahaba wa 3%
Mtazamo wa mwanasayansi huyu unamchanganya mwenyewe ,anatuelezea matokeo ya Legacy kama ndio Legacy yenyewe.Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China).
______
Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au Pyramid za Misri.
Lakini watawala wengi huacha legacy na kukubukwa kwa MAWAZO mazuri yanayoishi, yenye manufaa ENDELEVU na UJENZI wa MIFUMO mizuri yenye tija kwa kizazi kimoja hadi kingine katika kupambana na UMASIKINI, UJINGA, MARADHI na DHULUMA.
Thomas Jefferson wa Marekani hakumbukwi kwa visima vya maji alivyochimba, bali anakumbukwa kwa Tamko la Uhuru wa Marekani (Declaration of Independence).
Abraham Lincoln hakumbukwi kwa barabara alizojenga huko New York na Michigan, bali anakumbukwa kwa tamko la kishujaa la kuachia huru watumwa (Emancipation declaration) na Falsafa ya demokrasia (Philosophy of democracy).
Yeye ndiye aliyesema "democracy is a government of the people, by the people, for the people" definition ambayo vizazi na vizazi vimeikariri duniani pote. Mtoto wa form one kule Tunguu (Zbar) au Lutindi (Korogwe) ukimtajia Abraham Lincoln hatakumbuka barabara alizojenga huko Maryland, bali atakumbuka "government of the people, by the people, for the people." Hii ndiyo legacy.
Hata Mwalimu Nyerere hatumkumbuki kwa kujenga viwanda vya nguo vya MWATEX na URAFIKI, au kiwanda cha nyama cha TANGANYIKA PACKERS, bali tunamkumbuka kwa MAWAZO yanayoishi ya kudai UHURU, HAKI, UMOJA na HESHIMA ya MWAFRIKA.
Kizazi kijacho hakitakumbuka Stendi za mabasi, wala madaraja ya juu yaliyojengwa miaka 20 au 50 iliyopita, maana hata chenyewe kitajenga yao. Tena ikibidi hizi flyover za sasa watazivunjilia mbali ili wajenge nyingine zenye ubora zaidi, nyingi zaidi na za kisasa zaidi.
Kizazi kijacho kitaona legacy ya watawala wa sasa kikikuta nchi yenye HAKI na UHURU kama vichocheo vya MAENDELEO YA WATU. Kwa hiyo KATIBA bora ni msingi wa LEGACY imara, Sheria nzuri ni kuta za LEGACY imara, na MIPANGO thabiti ni Paa la Legacy Imara. Legacy sio madaraja au stand za mabasi.
Muhimu zaidi Legacy hailindwi, inajilinda. Legacy haitetewi, inajitetea yenyewe. Asomaye na afahamu.! View attachment 1756583
Wasiwasi wangu ni kwamba alipokuwa kwenye kamati ya bunge la Katiba hakuwa ameonja hiyo nafasi.Binafsi sina shaka na aliyepo sasa ,hasa ikizingatiwa kuwa ndiye aliyekuwa Makamu wa Mwenyekiti wwa Bunge la Katiba; mchakato ulioishia njiani.
Tumpe muda.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mtazamo wa mwanasayansi huyu unamchanganya mwenyewe ,anatuelezea matokeo ya Legacy kama ndio Legacy yenyewe.
Legacy ni Imani Kiongozi aliyonayo kwamba itatoa nchi hatua moja kwenda nyingine.Ikiwa imani yake haina matunda chanya Legacy yake inakufa kimyakimya,lakini kama ilikuwa inaleta matokeo yanayoonekana mtatamani kaburi lake lisionekane,kama wanavyoangaika na Mzimu wa Gadaf
Legacy ya Kiongozi ikiwa ni kupata uhuru wa kiuchumi kwa kuboresha miundo mbinu mikubwa na matunda yakaonekana Legacy hiyo itaishi .
Si kila kitu unabuniwa na wengine na kikapigiwa kampeni ukakiita Legacy.
Toka umeambiwa definition ya democracy kwamba ni Government of the people by the people basi ni mwendo wa kukariri tu.The Question is how? hapo ndipo kila kiongozi anaweza akaja na Legacy yake ya kufanya definition ya Demacracy iwe na maana.
Gadafi alikuja na Legacy yake mkaichafua na kuiita udikiteta leo baada ya kumuondoa kinyama kwa Legacy za kukopi walibya wamililia tena.
Niongeze na Nelson Mandela anakumbukwa kwa kupigania uhuru wa Africa kusini na kuleta utangamano kwa taifa. Flyover za Afrika kusini zilijengwa na makaburu lakini hawakumbukwi.Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China).
______
Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au Pyramid za Misri.
Lakini watawala wengi huacha legacy na kukubukwa kwa MAWAZO mazuri yanayoishi, yenye manufaa ENDELEVU na UJENZI wa MIFUMO mizuri yenye tija kwa kizazi kimoja hadi kingine katika kupambana na UMASIKINI, UJINGA, MARADHI na DHULUMA.
Thomas Jefferson wa Marekani hakumbukwi kwa visima vya maji alivyochimba, bali anakumbukwa kwa Tamko la Uhuru wa Marekani (Declaration of Independence).
Abraham Lincoln hakumbukwi kwa barabara alizojenga huko New York na Michigan, bali anakumbukwa kwa tamko la kishujaa la kuachia huru watumwa (Emancipation declaration) na Falsafa ya demokrasia (Philosophy of democracy).
Yeye ndiye aliyesema "democracy is a government of the people, by the people, for the people" definition ambayo vizazi na vizazi vimeikariri duniani pote. Mtoto wa form one kule Tunguu (Zbar) au Lutindi (Korogwe) ukimtajia Abraham Lincoln hatakumbuka barabara alizojenga huko Maryland, bali atakumbuka "government of the people, by the people, for the people." Hii ndiyo legacy.
Hata Mwalimu Nyerere hatumkumbuki kwa kujenga viwanda vya nguo vya MWATEX na URAFIKI, au kiwanda cha nyama cha TANGANYIKA PACKERS, bali tunamkumbuka kwa MAWAZO yanayoishi ya kudai UHURU, HAKI, UMOJA na HESHIMA ya MWAFRIKA.
Kizazi kijacho hakitakumbuka Stendi za mabasi, wala madaraja ya juu yaliyojengwa miaka 20 au 50 iliyopita, maana hata chenyewe kitajenga yao. Tena ikibidi hizi flyover za sasa watazivunjilia mbali ili wajenge nyingine zenye ubora zaidi, nyingi zaidi na za kisasa zaidi.
Kizazi kijacho kitaona legacy ya watawala wa sasa kikikuta nchi yenye HAKI na UHURU kama vichocheo vya MAENDELEO YA WATU. Kwa hiyo KATIBA bora ni msingi wa LEGACY imara, Sheria nzuri ni kuta za LEGACY imara, na MIPANGO thabiti ni Paa la Legacy Imara. Legacy sio madaraja au stand za mabasi.
Muhimu zaidi Legacy hailindwi, inajilinda. Legacy haitetewi, inajitetea yenyewe. Asomaye na afahamu.! View attachment 1756583
Hebu nisaidie Kiongozi... Ni kiongozi gani duniani aliwapa urithi taifa lake kutoka mikononi mwake au mfukoni mwake.. na alifanya mambo ambayo wananchi hawakumtuma awafanyie!?Kujenga shule, barabara na kadahlika siyo legacy, huo niwajibu kwa kiongozi yeyote awae.Huo in mkataba kati yake na wananchi, inaitwa social contract.
Sasa si itakuwa kichekesho kama utawekwa madarakani for public interest na ukafanya kadri ya makubaliano kisha ukaita kuwa ni legacy?
Legacy ni kitu extraordinary anachofanya MTU nje ya mkataba kati ya mtawala na wananchi mkuu.
Sasa kwa maelezo hayo ya huyo Msomi wetu, watu kama akina magufuli watakumbukwa kwa lipi! Kwa kutuletea udikteta na mataga, au!!
Mtangulizi wake JK nae alianza vizuri kwenye mchakato wa Katiba Mpya, lakini mwisho wa siku akakengeuka!
Wewe parachichi unahangaika sana na Chadema, mabosi wako wamekufumua fumua marinda bila kukupa cheo hasira unatukana ovyo. Laana hiyo kukubali kuingiliwa kinyume cha maumbile,Mungu hapendi ndiyo maana aliitia kiberiti Sodoma na Gomora, wewe endelea kuliwa tu utaona mwisho wake.
Kujenga shule, barabara na kadahlika siyo legacy, huo niwajibu kwa kiongozi yeyote awae.Huo in mkataba kati yake na wananchi, inaitwa social contract.
Sasa si itakuwa kichekesho kama utawekwa madarakani for public interest na ukafanya kadri ya makubaliano kisha ukaita kuwa ni legacy?
Legacy ni kitu extraordinary anachofanya MTU nje ya mkataba kati ya mtawala na wananchi mkuu.
Wale mnaodhani flyovers au interchange ni bigdeal mjue kabisa sisi sio mapoyoyo kiasi hicho ile sio hisani ni pesa na kodi ya mtanzania, hakuna kiongozi aliyetoa pesa yake mfukoni kujenga reli, kujenga hospital, kujenga madarasa ile ni kodi ya watanzania na ndio hata kama ni mkopo wao wanalipa sasa awamu ya tano mlisahau hamtumii pesa zenu isipokua ni fedha ya watanzania wote wa dini na vyama vyote sasa mlivyoanza kuwabagua kwa vyama vyao tena wazi wazi hivi unatarajia umbague mtu kesho akeshe anakusema vizuri haipo hiyo
Binadamu lazima aongee. JK alikuwa anawashawishi watanzania wa ughaibuni warudi nyumbani ili wajenge nchi yao.
Kama vitu vinavyojengwa na kuonekana havina umuhimu JK asingehangaika kama alivyofanya angeridhika tu kuona MOI inabakia duni.
Angeridhika na tulivyokuwa wakati anaingia ikulu.
Ni upuuzi kuongelea legacy wakati kijijini kwa huyo jamaa aliye huko nje hakuna maji na umeme wa REA haujafika.
Diaspora huwa wamejawa na nadharia nyingi zisizo na mashiko kwa Tanzania.
Naunga mkono hoja, jamaa kaongea vizuri sana kuhusu legacy, ni virtues na sio material things. Nilidhani utamtafuta umpe kitu kitamu kitamu, chenye thamani, kama kumpa kitu kitamu kama tunda ale, afurahi, mfano mpe tunda kama apple, wewe umege kidogo na kumpa na yeye amege, akipendezewa, mpe yote!. Zile apples nyekundu za South Africa zingefaa sanaBAK huyu Twahir Abbas mwambie aende duka lolote lile aka chukue nguo za Idd nitalipa.
Dah! Nilitaka kukomenti, lakini baada ya kuona picha ya mwandishi, nimeghairi!Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China).
______
Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au Pyramid za Misri.
Lakini watawala wengi huacha legacy na kukubukwa kwa MAWAZO mazuri yanayoishi, yenye manufaa ENDELEVU na UJENZI wa MIFUMO mizuri yenye tija kwa kizazi kimoja hadi kingine katika kupambana na UMASIKINI, UJINGA, MARADHI na DHULUMA.
Thomas Jefferson wa Marekani hakumbukwi kwa visima vya maji alivyochimba, bali anakumbukwa kwa Tamko la Uhuru wa Marekani (Declaration of Independence).
Abraham Lincoln hakumbukwi kwa barabara alizojenga huko New York na Michigan, bali anakumbukwa kwa tamko la kishujaa la kuachia huru watumwa (Emancipation declaration) na Falsafa ya demokrasia (Philosophy of democracy).
Yeye ndiye aliyesema "democracy is a government of the people, by the people, for the people" definition ambayo vizazi na vizazi vimeikariri duniani pote. Mtoto wa form one kule Tunguu (Zbar) au Lutindi (Korogwe) ukimtajia Abraham Lincoln hatakumbuka barabara alizojenga huko Maryland, bali atakumbuka "government of the people, by the people, for the people." Hii ndiyo legacy.
Hata Mwalimu Nyerere hatumkumbuki kwa kujenga viwanda vya nguo vya MWATEX na URAFIKI, au kiwanda cha nyama cha TANGANYIKA PACKERS, bali tunamkumbuka kwa MAWAZO yanayoishi ya kudai UHURU, HAKI, UMOJA na HESHIMA ya MWAFRIKA.
Kizazi kijacho hakitakumbuka Stendi za mabasi, wala madaraja ya juu yaliyojengwa miaka 20 au 50 iliyopita, maana hata chenyewe kitajenga yao. Tena ikibidi hizi flyover za sasa watazivunjilia mbali ili wajenge nyingine zenye ubora zaidi, nyingi zaidi na za kisasa zaidi.
Kizazi kijacho kitaona legacy ya watawala wa sasa kikikuta nchi yenye HAKI na UHURU kama vichocheo vya MAENDELEO YA WATU. Kwa hiyo KATIBA bora ni msingi wa LEGACY imara, Sheria nzuri ni kuta za LEGACY imara, na MIPANGO thabiti ni Paa la Legacy Imara. Legacy sio madaraja au stand za mabasi.
Muhimu zaidi Legacy hailindwi, inajilinda. Legacy haitetewi, inajitetea yenyewe. Asomaye na afahamu.! View attachment 1756583
Sasa mtoto wa Tunguu huko Zanzibari angejuaje habari za Abrahamu kama amejenga barabara wakati alitoshelezwa na kuambiwa habari za maana ya Demokrasia kisha jambo likaishia hapo,ila huko kwao watoto wa huko huenda hata hawajui habari za maana ya Demokrasia aliyoitoa Ahrahamu ila wanajua kuhusu ujenzi wa barabara.Yeye ndiye aliyesema "democracy is a government of the people, by the people, for the people" definition ambayo vizazi na vizazi vimeikariri duniani pote. Mtoto wa form one kule Tunguu (Zbar) au Lutindi (Korogwe) ukimtajia Abraham Lincoln hatakumbuka barabara alizojenga huko Maryland, bali atakumbuka "government of the people, by the people, for the people." Hii ndiyo legacy.
Niongeze na Nelson Mandela anakumbukwa kwa kupigania uhuru wa Africa kusini na kuleta utangamano kwa taifa. Flyover za Afrika kusini zilijengwa na makaburu lakini hawakumbukwi.