Kutoka kwa Ontario; ujumbe wa manufaa kwa baadhi yetu

Wewe ni Otario Mwenyewe naisi.Folex nnijuwavo mimi akuna kupoteza fedha kama hii ya kwenu.folex ni kununua na kuuza fedha za nchi mbalimbali...je nyie mnanunua kwa nani na mnauza kwa nani na why mtu anauguza pesa??? Why zinaondoka kimoja azirudi?? Sawa kuna kupanda na kishuka thamani ya pesa..why zinapotea mazima?? Na sio thamani kushuka?wewe ni tapeli kama uyo basha ako Otario.
Pia sio wote wamesoma TZ usidharau watu pumbu tu wewe
Kaibieni wajinga sio wote ni mburula humu.endelea kumtetea huyo basha ako wengine atuibiwi kifalafala
 
Wewe ni Otario Mwenyewe naisi.
Usipende kuishi kwa hisia mkuu, otherwise utapata shida shida maishani mwako!!

Umeanza kumuita mleta mada ontario sasa umehamia kwangu!!

Folex nnijuwavo mimi akuna kupoteza fedha kama hii ya kwenu

Alafu ni forex gani unaisema haina loss mkuu?

Labda nikupe mfano, kwa sasa 1dola inachezea tsh 2240!

Mfano nikanunua dola moja na kuihold alafu rate ikashuka mpaka 1dola = 2000tsh, je hapa huoni utakua umepata hasara ya 240? au forex gani unayoijua wewe, embu itaje tuijue na sisi!!

.je nyie mnanunua kwa nani na mnauza kwa nani na why mtu anauguza pesa???
Ndio maana nikakwambia kama kweli wewe ni mtu wa IT na sio IT uchwara basi usingekaa humu kubwabwaja, ungesha google ukapata majibu!! mpaka hapa nna mashaka sana huo u-IT wako!!!

Sawa kuna kupanda na kishuka thamani ya pesa..why zinapotea mazima??
Rudia kusoma huu mfano....

Mfano nikanunua dola moja na kuihold alafu rate ikashuka mpaka 1dola = 2000tsh, je hapa huoni utakua umepata hasara ya 240? au forex gani unayoijua wewe, embu itaje tuijue na sisi!!

wewe ni tapeli kama uyo basha ako Otario.
Huyo ontario amekutapeli nini? kama amekutapeli kwanini usimpeleke polisi?

Pia sio wote wamesoma TZ

Kutokusoma au kusoma Tanzania haimaanishi wewe huwezi kuwa mjinga na usiyelemika!!!

usidharau watu pumbu tu wewe

Kwa hiyo wewe hutaki kudharauliwa alafu muda huo huo unatukana watu, uko serious kweli wewe mwana IT wa kitanzania?

NB: Twende kwa hoja mwana IT matusi waachie wengine, wewe hayakufai otherwise utaendele ku prove ni jinsi gani elimu yako haijakusaidia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…