Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Unatuonea wivuNimechoka kuotwa... nikimtoa huyu maasai namweka klaree.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatuonea wivuNimechoka kuotwa... nikimtoa huyu maasai namweka klaree.
[emoji1] [emoji1] ... wivu kiaje yaani?Unatuonea wivu
Unaharibu uzi[emoji1] [emoji1] ... wivu kiaje yaani?
Huu hapa? tunaurembaUnaharibu uzi
Bye naenda kwa doctaHuu hapa? tunauremba
TehBye naenda kwa docta
Nani anakusumbua mdogo wangu!!!Ile usumbufu mwingi aseeh... ichukue.
Watu wataambulia vifungo vya maisha humu, we subiriMmeanza kurudisha mijadala ambayo tulishaifunga
Wanaume wa humu wengi wao mamburula, kupenda kuiga iga tu kila kitu! We chunguza![emoji28] [emoji28] [emoji28] wanajifanya wajanja sana ila wanaliwa kiulainiii
Wewe ni Otario Mwenyewe naisi.Folex nnijuwavo mimi akuna kupoteza fedha kama hii ya kwenu.folex ni kununua na kuuza fedha za nchi mbalimbali...je nyie mnanunua kwa nani na mnauza kwa nani na why mtu anauguza pesa??? Why zinaondoka kimoja azirudi?? Sawa kuna kupanda na kishuka thamani ya pesa..why zinapotea mazima?? Na sio thamani kushuka?wewe ni tapeli kama uyo basha ako Otario.Kama hujui kitu haimaanishi hicho kitu hakipo, sasa na mwingine anaweza kukuona tapeli kwa sababu una click mausi kwa miaka ishirini je na yeye atakua sahihi??
Moja ya sifa za mtu wa IT ni kuwa msomaji, mtu anayejifunza na mfuatiliaji wa mambo, je wewe kama mtu wa IT na kama kweli ni mfuatiliaji kwanini usinge google hiyo forex ili utoe hayo mashaka yako??
Au wewe ni wale IT wa kibongo mmnao jua php,html,css mliyojifunza chuoni mkazani hamna kingine cha kujifunza zaidi ya ulivyosoma chuoni?
Kaibieni wajinga sio wote ni mburula humu.endelea kumtetea huyo basha ako wengine atuibiwi kifalafalaKama hujui kitu haimaanishi hicho kitu hakipo, sasa na mwingine anaweza kukuona tapeli kwa sababu una click mausi kwa miaka ishirini je na yeye atakua sahihi??
Moja ya sifa za mtu wa IT ni kuwa msomaji, mtu anayejifunza na mfuatiliaji wa mambo, je wewe kama mtu wa IT na kama kweli ni mfuatiliaji kwanini usinge google hiyo forex ili utoe hayo mashaka yako??
Au wewe ni wale IT wa kibongo mmnao jua php,html,css mliyojifunza chuoni mkazani hamna kingine cha kujifunza zaidi ya ulivyosoma chuoni?
Kuna mmoja huyo mkaka amekopa kopa maskini hajapata kitu!...basi anaongea mwenyewe barabaraniKisa forex ya TMT?
Ipo movie? Niliwahi kusoma kitabuHyo movie ya white Masai una party two yake mkuu?
Ni kweli ndugu yanguWanaume wa humu wengi wao mamburula, kupenda kuiga iga tu kila kitu! We chunguza!
Nzuri balaa my dear itafuteIpo movie? Niliwahi kusoma kitabu
Yarabii la alaminiKuna mmoja huyo mkaka amekopa kopa maskini hajapata kitu!...basi anaongea mwenyewe barabarani
Maneno anayoongea sasa mmmh, anawataja wote!
Ahahaaa witKuna mmoja huyo mkaka amekopa kopa maskini hajapata kitu!...basi anaongea mwenyewe barabarani
Maneno anayoongea sasa mmmh, anawataja wote!
Usipende kuishi kwa hisia mkuu, otherwise utapata shida shida maishani mwako!!Wewe ni Otario Mwenyewe naisi.
Folex nnijuwavo mimi akuna kupoteza fedha kama hii ya kwenu
Ndio maana nikakwambia kama kweli wewe ni mtu wa IT na sio IT uchwara basi usingekaa humu kubwabwaja, ungesha google ukapata majibu!! mpaka hapa nna mashaka sana huo u-IT wako!!!.je nyie mnanunua kwa nani na mnauza kwa nani na why mtu anauguza pesa???
Rudia kusoma huu mfano....Sawa kuna kupanda na kishuka thamani ya pesa..why zinapotea mazima??
Huyo ontario amekutapeli nini? kama amekutapeli kwanini usimpeleke polisi?wewe ni tapeli kama uyo basha ako Otario.
Pia sio wote wamesoma TZ
usidharau watu pumbu tu wewe