lugoda12
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 276
- 574
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How Thing Got Started😅😅😅"Nawajulisheni kwamba nimeandika barua kwa katibu mkuu, nimeondoa kusudio la kugombea nafasi ya makamu mwenyekiti wa chadema Tz bara, na nimewasilisha barua ya kugombea uenyekiti wa chadema Taifa" Mh. Tundu Lissu
Legasi imejengwaChama cha DEMOKRASIA na maendeleo kwa hina wacha tuone kwa vitendo. mkivuka hapa mtajenga legacy ya kujivunia kama chama bora na cha mfano.
Futa hii comment 🤣🤣🤣Ha ha haaaaa
CHADRAMA nawaonea huruma sana
Sijui kama anaikumbuka.....ataikimbiaFuta hii comment 🤣🤣🤣