Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,551
Bandugu kwa mamlaka niliyonayo kwa mujibu wa sheria na taratibu na makubaliano yetu hapa chit chat nachukua nafasi hii kuwatangazia rasmi ndoa kati ya kabanga na bibie Smile baada ya kuwa wametekeleza na kufuata taratibu zote..
Hivyo basi kwa taarifa hii kila mwana chit chat atambue kuwa wawili hawa ni wanandoa....SIRUHUSU PINGAMIZI LOLOTE.
Copy: gfsonwin, watu8, Kipipi, Judgement Ruttashobolwa.
Wakatabahu!!
Baba V
Hivyo basi kwa taarifa hii kila mwana chit chat atambue kuwa wawili hawa ni wanandoa....SIRUHUSU PINGAMIZI LOLOTE.
Copy: gfsonwin, watu8, Kipipi, Judgement Ruttashobolwa.
Wakatabahu!!
Baba V
Last edited by a moderator: