sherehe bado kitchen party kesho...karibu sana
wewe nimwage pm zako hapa na sms zako kwenye simu
aibu ya nini? uongo?
Kumbe alikutongoza ukamtosa! kweli siri huwa zinawasha sana!!!!
Copy: measkron, sweetlady, WiseLady, Passion Lady, FirstLady1, charminglady, ladyfurahia and "many others"
Unapokuwa na uhakika lazima uchukue uamuzi mgumu...
nina hamu ya talakaaa??????? sijui washaniloga?
sherehe bado kitchen party kesho...karibu sana
Duh! Kimenuka!
hongera mama..! Mje niwapime afya zenu before ndoa
Asije tu akatupiamo picha na hizo sms!
unatamani itokee ?
Intelijensia inasema meseji hazijatoka kwangu maana Meseji Senta Namba ni ya nchi nyingine kama ilivyokuwa kwa LEMA na MULONGO