roho inauma nilivokutosaHeee...mwaka huu tutazishuhudia ndoa nyingi hapa...
walisema siolewi sasa yako wapi?...kwa raha zangu
nimempa na mume wangu pwd mnaonipm atawajibu mwenyewe
Heee...mwaka huu tutazishuhudia ndoa nyingi hapa...
roho inauma nilivokutosa
Bandugu kwa mamlaka niliyonayo kwa mujibu wa sheria na taratibu na makubaliano yetu hapa chit chat nachukua nafasi hii kuwatangazia rasmi ndoa kati ya kabanga na bibie Smile baada ya kuwa wametekeleza na kufuata taratibu zote..
Hivyo basi kwa taarifa hii kila mwana chit chat atambue kuwa wawili hawa ni wanandoa....SIRUHUSU PINGAMIZI LOLOTE.
Copy: gfsonwin, watu8, Kipipi, Judgement Ruttashobolwa.
Wakatabahu!!
Baba V
ulikuwa hujui?Kumbe alikutongoza ukamtosa! kweli siri huwa zinawasha sana!!!!
Copy: measkron, sweetlady, WiseLady, Passion Lady, FirstLady1, charminglady, ladyfurahia and "many others"
nina hamu ya talakaaa??????? sijui washaniloga?mamito I love you so much...
Ni ngumu sana!! Siwezi jua hiyo makitu mimi!ulikuwa hujui?
nina hamu ya talakaaa??????? sijui washaniloga?
roho inauma nilivokutosa
Kumbe alikutongoza ukamtosa! kweli siri huwa zinawasha sana!!!!
Copy: measkron, sweetlady, WiseLady, Passion Lady, FirstLady1, charminglady, ladyfurahia and "many others"
ulikuwa hujui?
wewe nimwage pm zako hapa na sms zako kwenye simuutakuwa umenifananisha!!
aibu ya nini? uongo?Hahahah...huna hata aibu
nadhani wewe ndo umekuja na kibuyu hapa...Duh! Kimenuka!