Kutoka kwenye dawati la Mwenyekiti Baba V

Mwenyekiti asante kwa Nakala.
Nami nichukue nafasi hii kuwapongeza kabanga na Smile kwa hatua walio fikia.

Pia ni mwambie kabanga ajiandae kula chakula kitamu maana Smile anapika akiwa amevaa................

Niko tayari kuondao maneno yangu kama hitahitajika
 
I guess wengine tuwekewe ki chit chat buranchi kisicho na kundi/ujamaa wa kuwa na mwenyekiti...maana huwa siwaelewagi au labda sababu napotaga tu.
 

ahsante mkuu
 
Asije tu akatupiamo picha na hizo sms!

Intelijensia inasema meseji hazijatoka kwangu maana Meseji Senta Namba ni ya nchi nyingine kama ilivyokuwa kwa LEMA na MULONGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…