Wewe nimekwambia unatakiwa ukaguliwe!
Hali huko inaonekana si shwari!!!
filipo unanitakia nini mimi? Mbona unanisakama hivyo?
kwanini hajakaguliwa tu...
huku shwari tend bam bam ...
Hajakaguliwa Mkuu, ndio maana nasisitiza lazima huyu Lady doctor aje nimkague!
hebu fanya wima ...
Mwenzio mbona ana hamu ya kuachika!!! Angalia vizuri Mkuu!
Nataka nikukague bibie!!!!