Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!

Mtu hawezi andika yote sahihi. Kuna kampuni zipo tokea zamani mno. Mie nimejitambua nayaona mabasi ya Zachary Peter,kimotco nimempanda so no wonder.mie sio wewe Bali Ni Aina ya ubongo tulio nao hata mie ninao Ila sio your personality. Yaani ndio nature ya ubongo wetu yaani kila binadamu
Sawa mkuu, kwa jina la bus siyo ishu lakini kuwa Tabora Boys ilikuwa day School never ever. Nimesoma hapo toka ikiwa chini ya Jeshi
 
Hakunaga siri chini ya jua taarifa zikamfikia jamaa, bahati mbaya na mwanamke pia akaniambia hataki tena kuishi na jamaa na anataka tuishi wote! Kazi kwa kweli
Yaan we ni firauni kabisa yaan emu endelea kwanza kenge we umekula mke wa jamaa jamaa anakulisha na Kodi anakulipia yaan anavuja jasho kwa ajili yako na kwa ajili ya mkewe alafu unamletea ufirauni km huo wewe kweli Poker
 
O level kwa tabora boys ilikuwa day school sijui nowdays
Mwaka gani huo? Mimi nilikuwa nakaa kota za walimu toka 1997 na hakukuwa na day schoolers. Nimejoini hapo form one 2002 na still ilikuwa hivyo hivyo na kipindi hicho ndiyo jeshi lilikuwa kama linaondoka. Nitajie huo mwaka labda nilikuwa sijafika hapo
 
Back
Top Bottom