Kutoka kwenye Utajiri mpaka kuishi kwenye lindi la umasikini!



"Mkate wenge mejaa"😂
kumbe akili zenyuu sio kosa lenu ni kawaida huko bange kubeli miraa bado pombe karee😎!!
 
Katika misheni za ujangiri hajakutana na kina master huko a.k.a Umughaka ???
 
Kama uliyaweza maisha ya kigoma-kasulu-kibondo basi wew ni kiboko popote unaishi

Mkeo umemchalanga na mapanga lakin wewe unaenda kula vya wenzio

Matukio yote hayo lakin polisi hukuwah kulala,ulikuwa na nyota ya ajabu sana
Hii stori imenifunza kuwa WABAYA HUTENGENEZWA.
Jamii ikichukua jukumu lake katika malezi huenda tukapata kizazi bora na kinyume chake ni kweli
 
Wanawake wa kinyamwezi ni hatari kwa afya yako
 
Yeah yeah ....
Here we gou ..
Iz lk story about NYOKAA, TUMBONII ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC ETC
enzi hizo our native land Arusha ikiwa On firE.











but mwendelezo plzz ..
 
Hivi ni kwanini hii sehemu inaua sana, kuna mteremko au njia nyembamba?

Nafikiri nimepita njia hiyo kutokea Arusha kwenda Mererani lkn ramani imenitoka sina kumbukumbu na mwonekano wa eneo hilo
Daraja la Nduruma lilikuwa likiua sana wakati barabara ilikuwa finyu.

Pia ndiko mteremko mkali unaishia ujitokea Arusha mjini.
Huo mteremko ni mkali magari yakifeli breki hasa magari makubwa huleta madhara.
Kwasasa barabara ni mbili na daraja limejengwa vizuri sana ni ngumu gari kuangukia mtoni
 
OK, kumbe ni barabara kuu ya Moshi - Arusha!

Ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…